Tarehe 9 December ni sherehe ya Uhuru wa Tanganyika. Lakini tangu tuungane na Zanzibar Tanganyika itilikufa. Sasa kuna haja gani ya kusherehekea hii siku. Je tunaposherehekea kwa nini huwa...
CHADEMA, CUF: Mpinzani halisi atajulikana kesho
Na Yusuf Aboud
NIMEMSIKILIZA vema Hamad Rashid Mohammed, Mbunge wa Wawi, akizungumza katika mdahalo wa wazi ulioandaliwa na Vox Media...
Adui mkubwa wa CUF na NCCR ni CHADEMA, si CCM!:angry:
Imekaaje hii. Hivi hii ni kwa sababu ya njaa kali, kutokuwa na akili au wivu wa kitoto
(siblings rivalry?).
Inakuaje leo hii vyama vya...
Nimekuwa mwanachama wa JF siku nyingi kidogo. Uzuri wa JF ni kwamba wanachama wengi wamesoma angalao kufika form IV. Huwa kila siku nasoma makala na si mimi tu hata maprofesa na wasomi wengi ni...
Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema), John Mnyika, amewataka wakazi wa Kata ya Goba kuandika barua rasmi ya matatizo yanayowakabili ili aanze kuyashughulikia.
Miongoni mwa matatizo yanayowakabili...
MBUNGE wa Jimbo la Kigoma Kusini kupitia chama cha NCCR- Mageuzi, anakusudia kupeleka hoja binafsi katika Bunge la Februari 2011, kutaka Serikali iwajibike kwa kuliingiza Taifa hasara kwenye sekta...
EBWANA NAOMBA KUULIZA MASHA AMEPIGANA NA NANI NA KWASABABU GANI MWENYE FULL INFORMATION ATUJUZE:target::target::target::target::target::target::target:
Najaribu kufikiria sakata zima la wikilink jinsi linavyoendeshwa and then nalinganisha na mfumo wetu wa dola ulivyo hapa kwetu and then najaribu kulink na demokrasia. Assange ambaye ni mmiliki wa...
Kuna mtindo au tabia za baadhi ya watu maarufu kuamini na kuzani kuwa
ukitaka kuwa DIWANI au MBUNGE nilazima ugombee nafasi hiyo kupitia chama
tawala CCM, na si vyama vingine vya upinzani...
Chama cha Democrasia na Maendeleo ni chama pekee ambacho watanzania wa kawaida, Wasomi, Wanafunzi, Watoto wa hadi miaka 10 wanakiamini kutokana na kuibua mambo ya msingi ambayo hakuna chama...
1. Wametangazwa maraisi wawili kuwa kila mmoja ameshinda; mmoja 54% na mwingine 51%.
2. Kila mmoja amekushaapa kama Raisi wa Ivory Coast.
3. Kila mmoja yuko kwenye harakati za kuteua baraza...
Habari nilizosikia Clouds FM leo zimenipa utata kweli. Eti Dr. Shukuru kawambwa, waziri mwenye dhamana ya elimu Tanzania anasema mimba za wanafunzi wa vyuo vikuu zinashusha kiwango cha elimu?
WanaJF,
Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa chama kikuu cha upinzani kabla na baada ya uchaguzi nimegundua kuwa uamuzi mwingi wa chama unatoka kwenye forum yetu yaani JF mfano.
1.Gari la Azania...
RSS
Home
BOOKMARK THIS PAGE
Kukemea uovu si udini -Pengo
Send to a friend
Monday, 06 December 2010 08:39
0
digg
Kardinali Pengo
Boniface Meena
WAKATI serikali ikionyesha hofu ya
udini...
WANAOONA MH. ZK anawakera wahame wampishe ili wasikereke? Kwanini wakereke na vyama viko vingi? je kwanini kama kuna mtu hawamtaki wasimpishe akabaki na chama chake wao wakatokomelea mbali. Kwani...
Mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania ulianza mwaka 1992 baada wanaharakati wakisaidiawa na Nyerere kuilazimisha CCM kukubali mfumo huo ingawa CCM ilikuwa imeshinda kwa asilimia 85 -15 ya kura za...
Je JK anaweza kuibuka mshindi wa tuzo maarufu ya MO IBRAHIM ya USD 5MN mwaka 2016 atakapokuwa amemaliza kipindi chake cha pili katika uongozi wa nchi yetu?
Ndugu poleni kwa majukumu ya kila siku.
Ningependa kuwasilisha hoja jukwaani kuhusiana na kuelezwa kilichojiri kwenye matokeo ya uchaguzi wa raisi. Na kumbuka Dr slaa alishaandikwa sana...
Ndugu poleni kwa majukumu ya kila siku.
Ningependa kuwasilisha hoja jukwaani kuhusiana na kuelezwa kilichojiri kwenye matokeo ya uchaguzi wa raisi. Na kumbuka Dr slaa alishaandikwa sana kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.