Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Walemavu 'walilia ’ jimbo lao la Uchaguzi Imeandikwa na Jasmin Shamwepu, Dodoma; Tarehe: 4th December 2010 @ 22:50 Imesomwa na watu: 28; Jumla ya maoni: 0 SHIRIKISHO la Vyama vya Watu wenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KOMBOLELA SHOW JUMAMOSI HII Desemba 4, 2010 @ 01:00pm - 02:00pm EST, 9:00pm -10:00pm East African Time Kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo ya kisiasa, mojawapo wa mambo yametokea siku za...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Flyovers kama hizi: Pale Magomeni! Au za namna hii maeneo ya Ubungo!! Au pale kuzunguka Mnazi Mmoja! Kuna mradi wa vitambulisho na mradi wa kujenga flyovers! Binafsi napendekeza...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Siyo siri jamani! Mwenzenu ninakufa na joto! Joto la safari hii hapa Dar sijapata ona. Nawaombeni wataalam wa hili jiji la wajanja mnielekeze sehemu ambayo nitaenda kurifreshi mind. Sehemu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
* Asema uroho wa madaraka unawamaliza * Vigogo waikimbia CHADEMA wajiunga CCM Na David Paul, Biharamulo (Uhuru) UMAARUFU wa vyama vya upinzani nchini umekuwa ukishuka kadri siku...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
EMMANUEL Martine anachumbia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anataka kimpe fedha ili akisaidie “kudhibiti vijana waliokinyima kura” katika uchaguzi uliopita. Mradi wa kijana huyu anayejiita...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
MKAKATI wa kukiengua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kushika nafasi za uongozi katika kamati za bunge unaandaliwa, imefahamika. Inadaiwa kuwa baadhi ya wabunge wachache wa CUF kwa...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Dowans suffers 3bn/- penalty former Richmonduli Daily News Reporter Daily News; Thursday,October 04, 2007 @00:02 TANZANIA Electric Supply Company (Tanesco) has asked 2.43 million US dollars...
0 Reactions
2K Replies
185K Views
CCM kukaangana wiki ijayo Saturday, 04 December 2010 22:39 juzi alikaririwa na gazeti la Mwananchi Jumapili akisema kwamba ndani ya chama hicho hali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau munakumbuka kati ya mwaka 1997 na 2000 mh. Mrema alikuja na wafadhili wake kampuni ya kusupply solar energy ya marekani kwa lengo la kusambaza umeme nchi nzima kwa garama nafuu kabisa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo asubuhi nimeongea na mmoja wa wasaidizi wa Mh. Nyimbo aliyekuwa mgombea ubunge wa Njombe magharibi kwa tiketi ya CDM na kuhujumiwa na CCM kwa maelekezo ya Anna Makinda na Pindi Chana (Viti...
0 Reactions
69 Replies
7K Views
Let us do some brainstorming on the worst case scenario given certain possible situations in Tanzania: CASE 1: - CCM loses in Zanzibar to CUF. CUF decide to change the name of the government and...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Binafsi tatizo nililonalo na bajeti hii si ukubwa, ufinyu, au utegemezi wa bajeti yenyewe!! Ukifikiri sana utaona kuwa licha ya fedha kuongezwa haina maana maisha ya mtanzania yataboreshwa...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Unajua ukiwa juu unaweza kuviona vitu vyote vilivyoko chini kuwa ni vidogo; Na kwa kadiri unavyoenda juu zaidi ndivyo vitu hivyo vinaonekana kuwa vidogo zaidi. Hata hivyo ukweli wa mambo ni kuwa...
0 Reactions
58 Replies
7K Views
Gazeti la Majira la leo limeripoti ya kuwa wiki iliyopita CCM Wilaya ya Arusha ilimweka kiti moto Dr. Batilda na kumlaumu kuwa mikakati yake ya kuligawa jimbo ndiyo iliyochangia CCM kulipoteza...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
WanaJF, mmekuwa mkisikia Mzee Wa Visenti analamba jimbo la Bariadi wakigawana na Cheyo...Sasa nadhamiria kuthubutu maana nia na uwezo ninano wa kuweza kumwangusha Mwaka 2015 au hata kabla ya hapo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ilitokea 2006, wakasema halikuwa kosa lao. Sasa kimetokea tena, visababishi ni vile vile. Maumivu ya 2006 bado tunayo na gharama bado tunaendelea kulipa (dowans). Sijui safari hii wanataka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kabla ya uchaguzi mkuu watu walikuwa wanafananisha wabunge 20 wa CCM sawa na mbunge mmoja wa CDM, sasa kuna maneno huku mitaani watu wanasema kuwa Mh. Tundu Lissu mbunge wa CDM ni sawa na wabunge...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani, hii ni hatari mno, si siasa, wala vyama, wala TANESCO, bali linatuhusu wananchi wote, Mafisadi hawajaridhika na kutunyonya, sasa wanataka bil Tshs 185, hii ni sawa na kuwamaliza na...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom