Kama kuna mwaka ambao historia imewekwa katika tasnia ya siasa basi ni 2010. Chama kilichopigwa vita kwa nguvu zote kwamba ni cha kikabila, kimkoa, kinini sijui, hatimaye kimezoa majimbo yote...
Kwa maneno aliyoyatoa Mh Tundu Lissu(MB) na mwanasheria wa CHADEMA inaonyesha CHADEMA
wameanza kumtambua Rais Kikwete kuwa ndiyo Rais Halili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
"Na nyinyi...
Hebu tujikumbushe kuhusu Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwa hizi few Facts alafu tujadili mwelekeo wa sasa wa serikari ya Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.
Mwalimu JK Nyerere
During his retirement...
Raisi Mstaafu Mwinyi tulimpa ufyagio wa chuma mwaka 1990 ili asafishe ufisadi katika serikali yake lakini Mei mwaka huu alijigamba kuwa wakti wa serikali yake ufisadi haukuwepo...............na...
Eti nalo lina vichwa vya habari vyenye kushawishi watu kulinunua.
maajabu.
mara hii tu munafikiri tumesahau?
wehu kweli nyie watu wa gazeti la Mtanzania.
Kwanza niwieni radhi kwani thread hii nimeiandika harakaharaka lakini naamini mtaiona ni ya msingi.
Mimi sina shaka na kina Tundu Lissu kufikisha hoja yoyote . Wala siiogopi majority ya CCM mle...
Kwa maoni yangui JF imekuwa mbele sana katika kuelimisha jamii ingawa ni wachache wetu tunaweza kuwa na access ya internet, katika uchaguzi huu wa mwaka 2010 JF imesaidia mengi sana hasa katika...
Kila kukicha kunafunuliwa jipya kuhusu Ufisadi na kigugumizi cha Chama Twawala kushika hatamu na kuwajibika.
Butiama tumekwenda, tumefuta mwafaka, tukamhani Julius, tukaunyamazia uhujumu...
Jana, kupitia taarifa ya habari kwenye kituo kimoja cha TV, walioneshwa viongozi wa nchi za Afrika Mashariki wakizungumzia ishu ya kutunza misosi, sijui mabadiliko ya tabia nchi. Ilifanyika...
Baada ya wanajf kumchachafya jamaa aliyeletwa kwa ajili ya kusoma magazeti asubuhi pale tbc 1 bwana Sautimbaya, leo kasoma Shaban kisu. alianza na uhuru akafuata na habari leo!! mengine yakafuata...
Nimekuwa nikifuatilia sana siasa za Chama kikuu cha upinzani na kuweza kuona mambo yafuatayo.
1. Inaonyesha viongozi wa chama hawana msukumo kisiasa na kidiplomasia kwa kuwa uamuzi wao mwingi...
Makamba anaendelea, NA NINAMUOMBEA KWA MUNGU IKIFIKA KIPINDI CHA KUCHAGUANA APITE TENA.....
Anatupatia msaada mkubwa sanaaaaaa.
Na tuitumie fursa hii
Na ninaomba WAANDISHI wamfuate tena...
Wandugu,
Katika vituko ambavyo wengi wetu huwa tunavishuhudia nchi hii ni pale rais wetu anapopata uenyekiti wa mojawapo ya jumuiya za ushirikiano na nchi zingine za Afrika. Kwa mfano, katika...
Najua Kiranja EL ana interest kubwa sana na jimbo la Arusha hivyo huwa anahakikisha anashiriki kwenye rough zote za kumpata Mbunge, Mayor na Mkurugenzi wa manispaa. This one is beyond daubt, I...
wana JF napinga kwa nguvu zote kuwa kuna mpasuko wa kidini katika nchi hii.!! tokea matokeo yatangazwe kuna visingizio vingi vinavyotolewa kutafuta mchawi aliyesabababisha Vyama fulani vidhani...
WaTanzania kama hawa make our country proud. I hope Mchechu wa NHC na wengineo wataweza kupata nafasi kubwa kama hizi kwenye vyombo vya kimataifa huko nje
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>...
Ndg wana JF
leo nimeona niwahabarishe yale yanayojiri katika magazeti mbalimbali hapa nchini,hizi ni habari ambazo zimegusa mustakabali wa maisha ya watanzania na mustakabali wa upinzani...
Waandishi Wetu
BAADA ya kupigwa mwereke kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi, serikali imeliamuru Shirika la Umeme (Tanesco) kuandaa taarifa ya kuueleza umma sakata hilo dhidi ya kampuni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.