Kwa kweli nimesikitika kusikia chama kipya cha CUM kikiundwa nyuma ya mlango na ikiwa na malengo ya kuunda chama kabisa kule zannzibar...
CUM==Chama cha Udini na Majungu(CUF & CCM)..
Sio mbaya...
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM wakati wa kampeni zake aliwahi kusema maneno haya baada ya kuulizwa swali na mtanzania mmoja Je Mheshimiwa JK watanzania wakukumbuke kwa lipi katika uongozi wako...
Wana JF,
Nilipata tetesi toka Arusha kuwa JK alikuwepo hapo tokea majuzi na kulikuwa na vikao vya EAC na pamoja na kualikwa kwa wageni wengi cha ajabu mbunge wa jimbo hilo Mr. G. Lema...
Nafamu Kikwete ana watu wake anaowapenda....
na nafahamu ninachojaribu kukisema hapa probably hakitamfikia....
but kama kuna watu humu mnaweza mfikia Kikwete nawaombeni chonde chonde
kwa maslahi...
Vigogo waongo, Waziri aagiza wabanwe
Imeandikwa na Namsembaeli Mduma; Tarehe: 4th December 2010
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Mathias Chikawe ameishukia Sekretarieti ya Tume ya...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willbrod Slaa, amepanga kufanya ziara nchi nzima kuwafunda madiwani wa chama hicho.
Mwaka huu, CHADEMA kimeshinda halmashauri 12...
na Ratifa Baranyikwa
MKAKATI wa kukiengua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kushika nafasi za uongozi katika kamati za bunge unaandaliwa, imefahamika.
Inadaiwa kuwa baadhi ya...
Vitendo vya wabunge wa CCM kuhamisha samani na vitu vingine kwenye ofisi za wabunge majimboni,jana liliibukia Iringa mjini ambako mbunge mpya kwa tiketi ya chama cha Chadema,Peter Msigwa kukuta...
Hii ni kwa maoni yangu.
Chama cha wananchi CUF kina mizizi tosha kule Zanzibar na CHADEMA kina Mizizi ya kutosha Bara.
CUF wapo katika umoja na CCM na wachambuzi wnakifafanisha CUF na sehemu...
Nimesikitishwa sana na habari niliyoipata kuwa kuna wabunge wa viti maalumu wa chadema waligoma kukubaliana na uamuzi wa chama wa kutoka nje wakati jk anahutubia sasa sipati logic kwa kuwa mtu...
Wandugu,
sifahamu hasa wamiliki wa JF na kwamba waliazisha wakikusudia nini.
Kwangu mimi ni dhairi kwamba JF imechangia sana katika kukuza demokrasia katika siasa na sera za Tz. Pia katika...
CCM Temeke wachongeana kwa JK
Thursday, 02 December 2010 21:36
Geofrey Nyangoro
MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete ameandikiwa barua inayowataja...
Hivi kweli hili sio deal la serikali kununua Dowans! Waliokuwa vinara wa kuipinga Dowans (Sitta na Mwakyembe) wameingizwa serikalini, so hawawezi kusema chochote now kwa mujibu wa kiapo...
Siri ya kuachwa Chiligati yatajwa.
*Makamba upepo si mzuri ndani ya CCM.
*Kamati kuu kukutana D'Salaam kesho.
*Msekwa naye atoboa, ajenda ni moja.
Na John Daniel.
HATIMAYE siri ya...
Tumaini Msowoya, Iringa
VITENDO vya wabunge wa CCM kuhamisha samani na vitu vingine kwenye ofisi za wabunge majimboni, jana liliibukia Iringa Mjini ambako mbunge mpya kwa tiketi ya Chadema...
Hivi kwa kuwaza hii pact iliyopo sasa hivi baina ya cuf na ccm ni ya maslahi ya nani?kwa sababu kama ni maslahi ya mtu au kundi la watu na siyo wanachama wa Tanzania inabidi tuseme na tuseme kwa...
..CUF lazima waelewe kwamba wamekalia "mgodi wa almasi" wa mtaji wa kisiasa.
..kwa muda mrefu sana wamekuwa wana-guarantee ya kushinda majimbo yote ya Pemba.
..Prof.Lipumba na CUF...
Ziondoshwe mbao kuukuu na mpya zitiwe... wenye fikra mgando na ung'ang'anizi wa madaraka waondolewe, wenye fikra pevu na uwezo mkubwa wa maamuzi waingie madarakani. wenye jazba na kukosa uvumilivu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.