Baada ya kusikia habari za Nyamagana, Mbeya Mjini na sasa Iringa Mjini; na kuja kugundua kuwa viongozi wa umma wanaweza kufanyia matengenezo ofisi za umma na kuzipamba kwa gharama zao na muda wao...
Mbunge CCM akataliwa
na Janet Josiah, Karagwe
USHINDI wa Mbunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Karagwe, Gosbert Blandes, umewagawa wananchi wa wilaya hiyo na kusababisha uhasama wa...
Rais wa Zanzibar Dr. Mohamed Shein amekumbana na mtihani wa kwanza kwenye uongozi wake pale uteuzi wa majaji watatu kati ya wanne wa mahakama kuu ya zanzibar ulipopingwa na chama cha mawakili...
Nijuavyo mimi, miongoni mwa shabaha kuu za kuwa na vyama vya wana-taaluma ni kuwa na mfumo dhabiti wa kuhakikisha kuwa wana-taaluma husika, wanaendesha shughuli zao kwa kuzingatia "professional...
Ukweli unabaki ile minofu waliokuwa wakichukua wazungu na kutuachia sie kula mabaki ilituathiri sana sana hata kwenye ufahamu wetu na wattoto zetu mashuleni..nasema hivi nikiimanisha kitendo cha...
Wakuu,
Nimeamua kuchokoza hii mada ili kupata mawazo ya wachambuzi wa mambo. Hivi karibu, rais jk aliteua baraza jipya la mawaziri lenye sura mpya na za zamani zilizozoeleka. Katika mawaziri...
Kimsingi namchukia mkwere.
Hata hivyo sikuamini kama anaweza kuwa na hotuba za kipuuzi kama zile alizokuwa akitoa huku akikenua meno kama ngiri.
Kumbe sikujua kuwa hotuba hizi ni za January...
Jamani hii iwe treated kama tetesi hadi hapo itakothibitika kikamilifu kabisa.
Habari hizi za uhakika kiasi zimefika mezani kwangu kwa njia za panya.
Baada ya kuona kuwa Mzee Makamba atapata...
Leo mchana kupitia TBC1, wamemtangaza kijana mmoja aliyesafiri kwa baiskeli kutoka Geita hadi Dar kwa lengo la kumpongeza JK kwa ushindi wake....! Great Thinkers, hii imekaaje? Mbona mimi naona...
Home Affairs minister Shamsi Vuai Nahodha greets staff who turned up to welcome at the ministry`s headquarters in Dar es Salaam yesterday.
watamtumia Nahoda kwa kadri watakavyoweza ,wakati...
Nawaomba kwa dhati ya moyo na hapa natoa pendekezo langu Wabunge wa CDM wakae na uongozi wa chama wakubali kila mbunge akubali kutoa asilimia 10 ya mshahara wake kila mwezi kwa kipindi cha miaka...
Wana Jf, CDM naomba kufahamu, Sambwe Shitambala alikubali kendelea kuwa M/kiti wa CDM Mbeya baada ya kuandikiwa barua na Dr. Slaa au kujiuzuru kwake kunaendelea?
Naye aliyekuwa Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Peter Msolla, alisema ameridhishwa na uamuzi wa rais kumuacha nje ya baraza hilo.
Nimeridhika kabisa na maamuzi...
Without doubt, these days there are lots of angry Tanzanians out there than any other time in our country's history. And nobody is angrier these days than me, myself, following the recent unfair...
And yes, though there is no such thing as perfect leaders, we can be sure of a few things that good leaders have:
[1]A vision of the future (where he/she want to take the nation).
[2] The...
nimepigiwa simu na jamaa aliyeko ifakara( kilombero) kumetokea mgogoro mkubwa kati ya wakulima na halmashauri ya W/ya kilombero kisa halimashauri kudai ushuru wa sh 3000 kwa gunia la mpunga...
Nikitatafakari sana suala la Hamad Seif ( Makamu wa kwanza wa Rais) baada ya kusoma mabadiko yaliyofanywa kwenye katiba, naona kama vile utawala wake utashabihiana sana na utawala wa Malkia...
wanajamvi,nimefurahishwa mno na tamko la tundu lisu hasa kuhusu msisitizo juu ya zitto kabwe.ni wakati muafaka wa kumtimua huyu kibaraka.aondoke mapema ili akamshukuru vizuri jk.viva tundu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.