Hivi kwa kuanza hivi walivyoanza serikali ya sisiemu, yenye uzoefu wa miaka 50, inakiogopa Chadema au inamuogopa mwanaharakati Tundu Lissu??????????????????
Na Maggid Mjengwa,
REAL Madrid ya Hispania ni moja ya timu tajiri sana duniani. Mara nyingi, usajili wa wachezaji wa klabu hiyo huwa ni wa kufuru. Real Madrid ni mkusanyiko wa wachezaji...
Kama watanzania wengi, nilikua napata wasiwasi kwa mh. Sitta kupelekwa wizara ya afrika mashariki. Hotuba aliyoitoa juzi hasa kipengele alichopendekeza kuwepo kugawana nafasi za kazi(quota system)...
CHAMA Cha Mawakili Zanzibar (ZLS) kimepinga uteuzi wa majaji wa Mahakama Kuu uliofanywa na Rais wa Zanzibar (SMZ), Dk Ali Mohammed Shein Novemba 29 mwaka huu wa 2010 na kuhoji uhalali wa uwepo wa...
Ndugu wana JF,
Napenda kutoa maoni yangu huru juu ya umuhimu wa CHADEMA kuhamishia makao makuu ya chama Kanda ya Ziwa na ofisi kuu ndogo kubaki Dar es salaam na mbeya kwa nyanda za juu kusini...
Akijibu swali kwa nini CUF imekubali kushirikiana na CCM kuunda serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar,Mh. Hamad Rashid (mbunge) katika mdahalo uliofanyika katika hoteli ya movepick ulioandaliwa na...
Wadau nimepokea email na nawasilisha kwenu kama nilivyopokea.
Wapendwa,
Salamu kwenu nyote na nashukuru kwa jinsi Jukwaa hili linavyojumuisha watu wakabadilishana mawazo juu ya mambo tofauti ya...
Waungwana,
Naomba kuwauliza. Hivi ni kweli kwamba Mhe. John Pombe Magufuli (MB, CCM, Chato) ametamka kwamba amewapa wakurugenzi wa idara mbali mbali za Wizara ya Ujenzi kutatua zengwe la foleni...
Zitto Kabwe, sasa anatuhumiwa kuyumbisha Chama chake kwa kukiingiza katika mahusiano ya mashaka.
Naibu katibu mkuu huyo wa CHADEMA anafanya mawasiliano nje ya Chama chake ambayo wachunguzi...
The New African KIMUKI Philosophy is a school of thought followed by Kikwete, Mugabe, and Kibaki to stay in power despite any negative election results. It invalidates all election results...
Wengine wetu tuliingia katika uchaguzi,hadi kwenda kujipanga kupiga kura za maoni za CCM kwa kupewa Sh. 2,000 au Tshet, kanga, skaf au kofia zenye picha ya kikwete na kauli mbiu yake Nguvu...
Nimeshangaa sana. ITV imeonesha Mh. Rais anatoa maelekezo na ufafanuzi muhimu kwa Baraza la Mawaziri & Manaibu wao HUKU BAADHI YAO WANAONEKANA HAWANA HABARI KABISA (NOT PAYING ATTENTION AT ALL) NA...
Toka sakata la WIKILEAKS lianze nimekuwa nakuna kichwa kama viongozi wetu wamo. Je kama wamo profile zao zinasema nini? je na sisi tuna profile za viongozi wa nje ambazo mheshimiwa anapewa kabla...
Tanganyika Law Society Observer Mission to the October 31, 2010
General Election in the United Republic of Tanzania
Interim Report Dar es Salaam, November 5, 2010
1. Introduction
The...
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.
Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki...
Taarifa ya Lowassa kuchunguzwa balaa
Raia Mwema lapata msukosuko
Nakala 10,000 zaharibiwa zisisomwe
HABARI iliyoihusisha familia ya Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, imeibua utata...
Madiwani wawili wa CUF wameamua kuiunga mkono CDM musoma mjini katika mchakato wa kumpata meya. Musoma Mjini CDM ina madiwani 8, CCM 3 na CUF 2. Jimbo zima lina madiwani 13. Mwanzo mzuri wapinzani...
Kufuatia ujumbe wa bongo tz ndani ya jf-wanamageuzi na wasio na mawazo mgando na wasio mamuluki au vibaraka wa ridhiwani tufanye yafuatayo;
1. Tuendelee kuamsha umma wa watanzania madai ya...
Kufuatia ujumbe wa bongo tz ndani ya jf-watanzania tunatoa wito kutenda yafuatayo
1. Tuendelee kuamsha umma wa watanzania madai ya katiba mpya na tume huru chini ya uongozi wa umma wa dr slaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.