Kwa wale mlioko Los Angeles mheshimiwa rais Kikwete anawasili huko Tuesday. Atakutana na Watanzania pia. Atawasili Washington D.C jumatano lakini hana mpango wa kukutana na Watanzania kwa...
Suala la kuifuatilia Zanzibar na kutaka kuifananisha na mikoa ya Tanganyika lilimtokea puani Waziri Mkuu Pinda na hadi hii leo hatamani hata kulizungumza na hivyo hivyo lilimpelekea Raisi Kikwete...
The Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) secretary general, Dr Willibrod Slaa, has camped in Mwanza to boost campaigns for his partys candidate for the mayoral seat for the municipal...
JK aliwaambia Chadema kuwa wametoka Bungeni lakini watamfuata kwa shida zao. Sasa Mbunge wa Nyamagana na Mbeya mjini wameingia ofisini na kukuta hakuna samani, je huu ndio mwanzo wa utekelezaji wa...
Kwaheri ya Kuonana Wapiganaji Wetu
MWENYEZI Mungu ni mmoja. Yeye ndiye huwajalia waja wake ufahamu na utambuzi. Huyu kamjalia busara na hekima na mwingine kajaliwa maisha ya ujanjaujanja tu...
Je kuna umuhimu gani kwa rais wa nchi kufungua tawi la benki? mie nadhani aghalabu hiyo kazi angeifanya waziri wa fedha.....Labda ingekuwa ni muhimu kwa rais kama angekuwa anafungua benki kamili...
JK amteua Kairuki kumrithi Makamba
Tuesday, 30 November 2010 19:09 newsroom
Na Mwandishi Wetu
RAIS Jakaya Kikwete, amemteua Mbelwa Brighton Kairuki kuwa Msaidizi wa Rais katika masuala ya...
Umeibuka mgogoro mkubwa kati ya Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara na kamati za siasa za wilaya tatu za mkoa huo na kusababisha zaidi ya madiwani wateule 40 wa chama hicho...
Tanzania forced to refund embezzled funds to Norway
Zebras cross a road in the Serengeti national reserve on October 25. Mid last year, the Norwegian government suspended...
Hivi majuzi nilimtembelea ndugu yangu mmoja pale Mikochen,katika maongezi nikamkumbushia mpango wake wa kununua kiwanja cha mzee fulani,Aaah,jamaa yangu huyu aliishia kuniambia namna BWANA MKUBWA...
In President John F. Kennedy's Inaugural Address, he provided what is quite possibly one of his most famous quotes:
"My fellow Americans, ask not what your country can do for you -- ask what can...
Ndugu wana Jf nimekuwa nikisoma habari mbalimbali ktk vyombo vya habari ktk wiki hii nimekutana na habari zaidi ya mbili zinazo lalamikia office za jimbo ambazo wabunge wapya wanatakiwa kuzitumia...
Wana JF mimi ni mtanzania mwenye nia njema na nchi hii, nimeanza harakati za kupigania maslahi ya nchi hii tangu 1995 nikiwa darasa la tano.
Kwa uelewa wangu wananchi wa moshi mjini wana haki ya...
1. Msiwapigie kura mafisadi na wale waliowagawia fulana, kofia na skafu kwani hao ndio wanaoharibu nchi.
Niliyonukuu hapo juu ni kauli ya utata ya Padri huko Moshi na ndio msingi wa kesi iliyo...
GreaTtHinkers!
Kipindi cha kampeni ya uchaguzi tumeuziwa ILANI nyingi na AHADI lukuki hivyo wananchi tukawa tumevutiwa na kuweka matumaini yetu juu ya hizo alani na ahadi zao.
Washindi...
Wadau,
Kuna dada mmoja toka familia ya Rockerffeller amemvamia Rais Kikwete kwenye facebook Yake. amewachamba na wapambe wake kisawasawa. anadai familia yake imetoa michango mingi tanzania na...
TANZANIA GREAT THINKERS DISLIKE KIKWETE'S CABNET AND COMMENT AS MISUSE OF RESOURCES.
1. Prof. Issa Shivji –through Hamza Kasongo hour on Monday expressed his stand on the current big...
Rais mstaafu wa Afrika ya Kusini, Nelson Mandela aliandika kitabu chake cha kwanza akielezea maisha yake tangu akiwa wakili hadi alipotoka gerezani kiitwacho A long walk to freedom. Waliokisoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.