Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Heshima zenu wanajamvi, Ningependa kufahamishwa kazi za mawaziri wa nchi kwenye ofisi za Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu ni zipi? Ama ni njia mojawapo inayotumika kuwapa vyeo mlolongo wa watu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Elvan Stambuli na Makongoro Oging' Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Dk. Willbrod Slaa (pichani) amepewa kazi mpya ya kuhakikisha kuwa mwaka 2015, Tanzania inaingia...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
kutokana na mdahalo wa jana nimesikia kua kuna wabunge kumi waligoma kutoka bungeni wakati wabunge wa chadema wakitoka nje ya bunge, yalielezwa na Hamad akijibu hoja ya Mbowe kuwa CUF inaonyesha...
0 Reactions
119 Replies
11K Views
Yote tumeona yaliyotokea. Historia imeandikwa. Kumbe uwepo wa CUF,UDP,NCCR,TLP,na vipanya vingine ulikuwa mchezo wa CCM kuidanganya dunia kuwa kuna demokrasia ya vyama vingi. Ukweli tumeujua...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadau naomba mnifahamishe yalipo makao makuu ya Taifa ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
0 Reactions
52 Replies
10K Views
Wakuu wa kazi naomba mnisaidie kwa hili..maana Umeme umeshakuwa tatizo sugu ambalo sijui mchawi ni nani.....Umeme umekuwa ni tatizo kwa miaka mingi hapa Tanzania..ni asilimia chache tu ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mara baada ya kuapishwa rasmi kuchukua majukumu yao,Waziri wa Ujenzi na Naibu wake (Dr Magufuli na Dr Mwakyembe) walifanya mkutano na watendaji wote wa Tanroads pale ukumbi wa Karimjee jijin...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna taarifa kwamba Baraza la Mawaziri limekutana leo kwa mara ya kwanza. Tusubiri tuone yatakayojiri. ------- UPDATE: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI RAIS Jakaya Mrisho Kikwete leo...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Nimeandika thread yangu nikinungukia semina elekezi, pamoja na kichwa cha thread hiyo kuonyeshwa chini ya jina langu lakini maelezo yaliyopo ni ya mtu mwingine nayo yanahusu baraza la mawaziri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilifuatilia kwa makini saana mdahalo ulowakutanisha mbunge wa wawi mh hamad rashid kiongozi wa kambi ya upinzani isiyo rasmi na mbunge wa hai mh freeman mbowe ambaya ni kiongozi wa kambi ya...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Napenda kuwasilisha maoni yangu kwa wabunge Wote hasa wa CCM sababu sera ya kilimo kwanza ni ya CCM. Katika majimbo yenye ardhi za kilimo Tunataka tusikie idaidi ya wabunge waliokopa matretka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo hasubuhi clouds kipindi cha magazeti nimesikia waziri wazamani wa mambo ya ndani ameenda ofisini kwa mbunge wa mwanza nymagana na kung`oa vitasa na kubeba picha ya rais kwa madai kuwa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu, Hatimaye jeshi la polisi nchini limeruhusu chadema kufanya mikutano, kama walivyoomba awali. Chanzo cha habari: Gazeti la Majira la tarehe 30 Novemba 2010.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi mwenyewe nikiwa ni mwandishi wa habari, nimeshtushwa, nimeshangaa na kupigwa butwaa na kitendo cha gazeti la Tanzania Daima, ambalo linamilikiwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Kama kuna kitu wana-CHADEMA ikiwa ni pamoja na wananchi wengine (labda na serikali ya JK) wamekingoja kwa hamu zote ni taarifa ya nini kimetokea wakati wa uchaguzi hata kumtangaza Kikwete kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inasemekana madiwani wengi wa chama tawala mkoani mara wameamua kurejesha kadi zao za uanachama kwa kile kiitwacho maamuzi mazito kufuatia wabunge wa mkoa huo kupitia chama tawala kutokubalika kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Makanyagio wilayani Mpanda mkoani Katavi, Chifu Mlela Mallac, amejiuzulu nafasi hiyo kwa kile kinachoelezwa kwamba amekuwa akizongwa mara kwa mara...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Mambo ambayo Chadema wangeyafanya ni pamoja na kufuta hiki cheo cha wakuu wa wilaya ili kubana matumizi. Hata wale ambao hawapendi Chadema (Ushabiki Pembeni), Jambo hili naona lina manufaa na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakitu-Pressure sana Chadema Serekali ya Mapinduzi ya Watu wa Zanzibar(SMZ)itatumia Katiba yake ya Nchi kuitisha kura ya maoni kuhusu Muungano. Ikiwa Chadema wanajifanya Ukoloni mambo leo basi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya uchaguzi naanza kuona udhaifu wa CCM. Kama enzi zile za Mrema alipowapa taabu majimbo ya Kilimanjaro. Sehemu zote ambako wameanguka sasa hawaoni kama ni uamuzi wa wapiga kura, bali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom