Wanajamii na Wananchi Tuchimbe Uteuliwaji wa Sitta na Mwakyembe Wizarani kwa Undani Zaidi. JK Anafanya Kazi Sana Kipindi Hiki Kuimaliza Demokrasia ya Tanzania. Wananchi Hasa Sisi Tusiopendelea...
Wana JF mnaikumbuka hii report attached hapa chini?? Tunapojadili uwezekano wa kuunganisha kambi ni vizuri kujua kati ya CUF na CDM ni chama kipi kimejenga upinzani wa kweli kwa serikali ya...
Sadick Mtulya
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amewataka wanasiasa na wafanyabiashara, kuacha tabia ya kuingilia utendaji wa vyombo vya habari nchini.
Kauli ya...
Uchaguzi umekwisha kilichobaki ni kutekeleza ahadi tulizo ahidiwa. Si mda tena wa kampeni wala propaganda. Watanzania bwana. Badala ya kuchapa kazi we use a lot of time discussing problems rather...
Gazeti la Majira leo lina kichwa cha habari kisemacho.....................Chadema yalaani kuzuiwa mikutano....................................
Huku gazeti la Tanzania Daima nalo...
Wazee kama mtakuwa mlisikiliza mdaharo wa Mbowe na Hamadi Rashidi mtakuwa mmemsikia Mh Hamadi Rashidi akisema kuna mtu alimwambia kuwa alibadili jina lake ili asijulikane dini gani ndio akipigiwa...
Wadau,leo asubuhi around 12:30 askari wa JWTZ aitwae sgt Said Kindamba amegongwa na gari la Polisi wakati akienda kazini na kufariki papo hapo.
Ajali imetokea karibu kabisa na kambi ya jeshi TMA...
Ikıwa haya Majımbo mawılı yalıyofanywa ( Uchakachuaji) Je tusiyoyajuwa hayo Majimbo yaliyofanywa Uchakachuaji yatakuwa ni mangapi? Kwa hiyo CCM haikushinda kiuhalali?
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa masharti kwa Chama cha Wananchi (CUF) kuweka wazi msimamo wake kuhusu suala la Katiba mpya, kabla ya kukishirikisha katika uundwaji wa Kambi...
Baada ya baraza la mawaziri kuapishwa juzi nilitegemea kila waziri angeanza mchakato wa kuangalia mapungufu yaliyomo kwenye wizara yake kama walivyo fanya akina dr Magufuri na dr Mwakyembe,ila kwa...
Kila serikali yao ikifanya jambo fulani, watu wanatafsiri na kuelewa kuwa ni upupu au siyo upupu.
hata wakiongea kitu cha maana lazima kitiliwe mashaka kwanza.
mimi binafsi, tangu 2005...
Gazeti la Mwananchi limetuhabarisha leo ya kuwa Mheshimiwa Spika Mstaafu Mzee Sitta akiaahidi ya kuwa ataendeleza moto ule ule aliokuwa nao katika kutetea haki za wanyonge...............
Vile...
Wakuu,
Jamani imekaaje hiyo ya kutuonyesha kikao cha kwanza cha baraza la mawaziri, si mbwembwe tu hizo kama ilivyokuwa mwaka 2005 wakati wa Ngurdoto??
Popote pale ulipo.
Lowasa unatisha!
Masai unatisha.
Nasikia unashusha kitu cha Bilioni 70 Bongo.
Nasikia umenunua jumba kwa Malkia wa Uingereza.
Nasikia unataka kuwa Rais 2015. Hii kali...
katika hali inayoonyensha ni kujutia dhambi zake za kutesa wananchi na viongozi wenye mahabuba na inji yao, magufuli karejeshewa rungu. akiwaidiwa na mwakyembe! magufuli kalini amekuwa akiteswa...
Nimesoma kwenye article ndani ya mwananchi NP Mawaziri wapya wamekabidhiwa Toyara GX v8 gharama yake ni kati ya sh M 210-240, jamani, nimejaribu kucalculate hapa kwa wizara zilizotajwa ni balaa...
Wanajamii forum na watanzania wote kiujumla nimejaribu kuipitia haraka ilani ya chama cha mapindunzi ccm na miongoni mwa vitu nilivyokuwa na interest navyo ni pamoja na mambo yanayoihusu wizara ya...
Kuzuiwa kwa mikutano ya chadema majimboni kwasababu za kiusalama inamaana polisi wangezidiwa nguvu na waarifu au hawakutaka kulinda mikutano ya chadema.kama kuna ukweli rais atangaze hali ya...
Huko Haiti, chama cha tawala cha nchi hiyo ambacho kina shabihiana sana na CCM kwa muonekano na vitendo kimeshutumiwa kwa wizi wa kura. Tofauti na Tanzania, wapinzani karibu wote wameungana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.