Wana JF kuna hii habari tumekuwa tukiisikia tokea kile kitendo cha kishujaa kifanywe na wale wapiganaji wetu wa CHADEMA pale bungeni. Lakini nyuma yake kuna wale amabo hawakuingia kabisa Bungeni...
Ndugu zangu, naomba mnijuze mambo waliyo yafanya kule pemba hawa jamaa wa cuf ili nasi tujifunze kuchagua upinzani. huku bara tumeshuhudia Karatu na kigoma ndio maana Chadema wakaweza kuendeleza...
Wadau habari za leo .Kama tujuavyo tayari CUF ni CCM na sasa wanatekeleza sera za CCM. Wameachana na sera zao huko Nzanzibar na hatimaye bara maana CUF ni moja Tanganyika na Zanzibar.
CCM kwa...
Mh. Ole Medee wengi wa wapiga kura wako hawatakuelewa kama hutamuuliza waziri katika kipindi cha maswali ya hapo kwa hapo swali lifuatalo.
Mh. Waziri Mkuu, mwaka huu Halmashauri ya Arusha...
Nilikuwa nimekaa na kushangaa kuona picha za mawaziri wakiwa wamepewa maua na kuvishwa mashada na kupewa pongezi za kuupata uwaziri/unaibu. Mara swali likanijia hivi wanapongezwa kwa ajili gani...
Chadema kikifanya makosa ya kujiunga na cuf nitakuwa kimeua kambi ya upinzani bungeni. Mwenendo wa madai ya cuf na kauli za Hamadi pamoja na hali halisi ya muafaka baina ya ccm na cuf unanipa...
Jennister mhagama alifanya vizuri katika nafasi ya uenyekiti ndani ya bunge lililopita na aliendesha vikao vya bunge kwa mafanikio kuliko hata Job Ndugai na pengine kuliko hata Anne Makinda...
Sources: Magazeti ya Mwananchi ya Jumapili 28, Novemba, 2010 na Tanzania Daima ya Jumapili, 28, Novemba 2010:
(1) Mwananchi: Wabunge 20 wa sisiemu ni batili, wakiwemo Waziri Mkuu, Spika na Naibu...
FACT;
Kweli wewe ni rais wangu ila ulipatikana kwa wizi wa kura, na mwizi ni mwizi tu hata iweje
Du ukweli unauma sio, tetetetetete safi sana, call a spade a spade
tathmini ya uchaguzi mkuu mwaka huu wa 2010
regional
# of voters
voters to vote
kikwete
lipumba
slaa
rungwe
peter
mugahywa
total
winner by regional
arusha...
Hili swali limekuwa likitesa mtima wange.
Nikitaka kupata, mathalani huduma ya kibenki ninaambiwa 'leta barua ya serikali ya mtaa'. nikienda serikali ya mtaa naambiwa leta barua ya mjumbe wa...
Wakuu,
Jana nimesikiliza mdahalo kwa makini na lazima niseme Mhe. HR alitumia nafasi yake vizuri hasa kumshirikisha Dr. Slaa kutupia makombora ya kummaliza Mhe. Mbowe. Mhe. Mbowe alijitahidi...
Nimefuatilia maelezo ya chadema kuhusu madai mbalimbali na kupata wasiwasi kuwa chama hakina nguvu ya maamuzi bali kinategemea nguvu ya umma. Watanzani wengi si wanasiasa bali ni washabiki wa...
Madaraka matamu,hili linajidhihirisha kwa sasa kwa huyu kiongozi wa kambi ya upinzani aliyepita.
Sasa ndio inajulikana wazi kwa umma wa watanzania ambao walikuwa hawajui kama kuna million 200...
WAKATI uongozi wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ukikataa ombi la kujiuzulu kwa mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Mbeya, Sambwee Shitambala, kwa kutokidhi vigezo vya...
Naomba niende kwenye msingi wenyewe bila maelezo mengi... Kuhusu yaliyojiri kwenye mdahalo wa jana
Baada ya Mh. Hamad Rashid kujibiwa hoja zake kwa kina na Mh. Freeman mbowe ampapo iliwekwa...
Miaka ya hivi karibuni tulishuhudia mwandishi wa habari kule Iraq akimtupia Rais mstaafu George W Bush kiatu akionyesha kutokukubaliana na vita vya malekani zidi ya Iraq.
Ikiwa matokeo ya...
Imekuwa ni kawaida ya chaguzi zetu zinapofanyika kuambatana na dosari nyingi sana ambazo zinakatisha tamaa kwa wapenda demokrasia nchini.Kwa mfano uchaguzi mkuu mwaka huu uliyofanyika tarehe 31...
waungwana husema nyota njema uonekana asubuhi,
kura zinazoendelea ktk gazeti la mwananchi juu ya mitazamo ya watu ya hili baraza jipya la mawaziri hadi sasa wanaoongoza ni wale wanaosema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.