Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Naripoti nikiwa maeneo ya tabata Kimanga, Eneo lote hili umeme umekatika mida ya saa nne kasoro kama dakika 15 (2145hrs) Nahisi ndo mpango wa kuchakachua kura za Segerea
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Chama cha Mapinduzi kinapojaribu kuiua Chadema bila mafanikio.Tuone sasa :yield: CCM vs Chadema CCM ILIVYOWEZA WAMEZA SSR-MANUNUZI,TELOPII NA KAFU JE ITAWAWEZA CDM??
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi hawa watu wa kujipendekeza kwa viongozi sijui tunawapata wapi? Hivi Prof Mukandala anashindwa kuheshimu elimu yake aliyonayo KULIKO aliyonayo MWANSIASA PINDA? Kwani kupeleka ujumbe kwa njia...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mnafikiri ni kwa haraka kiasi gani watawala wetu watajaribu kutatua tatizo la umeme na maji endapo majenereta na matanki ya maji yatapigwa marufuku mijini? I bet you very soon...wouldn't you agree?
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nasikita sana ninaposikia citizen wakii blame Tanesco kwa mgao wa dharura uliotangazwa hivi karibuni. Mimi na suggest tuangalie kwa undani matatizo yanayolikabili shirika hili. wana vyanzo vile...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Hao jamaa wawili inawezekana ilikuwa ni chachu ya 'ushindi wa kiaina' wa jk kwenye kinyang'anyilo cha urais. Mmoja alikuwa ndiye m/kiti na mratibu wa kampeni za jk na mwingine alihusika...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu waheshimiwa wote,kuna kitu kidogo kinanitatiza na tumefundishwa ya kwamba asiyejua amuulize anayejua,mimi nilikuwa nataka kujua, 1.Hivi Raisi ni katika suala gani anamuhitaji mshauri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kikwete awaonya wanafunzi vyuo vikuu: Imeandikwa na Mwandishi Maalumu, Dodoma; Tarehe: 27th November 2010 @ 07:20 Imesomwa na watu: 333; Jumla ya maoni: 0 RAIS Jakaya Kikwete, amewataka...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika hotuba yake aliyoitoa mda mfupi baada ya Shein kutangazwa mshindi katika kinyanganyiro cha urais wa zenj Maalim Seif alisema hapekuwepo mshindi. Kauli yake hiyo kwangu mimi ina maana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
There are always two sides to any story; the pro and the con. Our energy crisis has a pro and a con side as well. Pro: It benefits those who stand to benefit, therefore, it's MAN MADE! Con: If...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mawaziri wapya walonga. *Tibaijuka asema ni kuchapa kazi, vitendo vitaongea zaidi *Ngeleja: Mgao wa umeme kufikia mwisho, umeme hadi vijijini *Chami aonya waliochukua viwanda lakini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau, kuna tetesi kuwa Batilda Buriani anaweza kupewa U-RC Dar, je atauweza?
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Kwa kuwa falsafa ya chama ndiyo msukumo mkubwa wa wanainchi juu ya imani ya mwelekeo wao kutokana na ilani na itikadi ya chama basi wzi falsafa ya chama ndio kituliza roho kikubwa na ni matumaini...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Sioni sababu ya Chadema kupita na kulalami au kuilalamikia NEC kuwa ilibadili matokeo,hivi kosa lilikuwa la nani ? Matangazo yalitangazwa direct punde yanapopokelewa na sote tuliona kwenye runinga...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tukiendelea Kujadili Baraza la Mawaziri na Mengine Yanayoendelea Kutokea Inchini Kwetu Tutaona Uwanja wa Siasa Unakuwa Mgumu Zaidi. Tukiangalia Hili Baraza la Mawaziri Tutaona Hawa Walioteuliwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Issue 00644 November 27 - Dec 1, 2010 issn 0856 - 9135...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeguswa na aina mpya ya propaganda inayofanywa na Chadema ya kukiita chama cha wananchi CUF kuwa ni CCM-B. Hii ni kufumbia macho uhalisia wa hali ya kisiasa ya Zanzibar iliyopelekea kuwepo kwa...
0 Reactions
73 Replies
6K Views
Maojiano kati ya Mtoto wa Mkulima na professor yalikwenda hivi.........“Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, (Profesa Rwekaza Mukandala) naye akaniambia akihoji: 'Hawa wanafunzi sijui...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uundwaji wa baraza la Mawaziri uliofanywa na Kikwete hivi karibuni kumedhihirisha kuwa Rais Kikwete amejitanabahisha kuwa ktk kundi la Wapiganaji dhidi ya Mafisadi kwa kwaacha nje ya Baraza lake...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nilistushwa na kauli ya kijana mmoja akisema eti 'cuf wamefikia malengo yao, 1. maalim kawa makamu wa Raisi 2. Wamepata raisi mpemba. Akina lipumba na wenzake mambo siyo mabaya package yao anayo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom