1-Je ni wana jelous?
2-Wana uelewa wa jinsi ambavyo haki haitendeki?
3-Wanafahamu zaidi ya wizi unaofanyika?
4-Wanaufahamu wa mambo yanayofanyika nchi nyingine?
5-Wanafahamu jinsi rasilimali...
According to Nipashe, Jana Mpendazoe alikamatwa na gari alilokuwa akiliendesha kwa kigezo kwamba liliripotiwa limeibiwa tangia June mwaka jana. Mpendazoe alisema kwamba hilo ni gari lake halali na...
JK, JK, pokea ushauri/mapendekezo yangu najua hutaki kusikiliza, fanya haya plse kama
unataka maendeleo ya kweli, sijakupa kura yangu, but muda huu election campaign
is over, ni kushauriana...
Jioneeni wenyewe mambo ya Kikwete: YouTube - Kigamboni - New Dar City Center
1) Mtakufa navyo vijiba vya roho.
2) Mwenye wivu ajinyonge
3) Kama mnaweza pandeni juu mwende mkazibe.
Jakaya, hiyo...
Wanajamii nimeshtuka leo gazeti la mtanzania limemkariri waziri mteule nyarandu akidai atapigana kuhakikisha anatokomeza nyumba za tembe,sio hawahawa waliokuwa wanambeza dr slaa?kweli ccm...
Kutokana na matokeo yaliyotangazwa na NEC hadi sasa majiji ya Tanzania yamekombolewa na CHADEMA majiji hayo ni
Mwanza City (Nyamagana) Ezekiel Wenje
Arusha Godbless Lema
Mbeya Joseph Mbilinyi...
Naamini wapo watakaoona nakiandama Chadema lakini ninayayazungumza humu wakiyachukulia kama changamoto yatawasaidia sana kujenga chama kikawa cha "demokrasia" na maendeleo kwa muonekano chanya...
Sorry nimejaribu kuangalia kwa haraka haraka wapi ningeweza kuchangia AU KKULIWEKA HILI kati ya hoja ambazo tayari zipo sijabahatika kuona...kuna kitu kinaitwa ''twist of events'' kinaendelea...
Makatibu Wakuu Zanzibar
1. BARAZA LA MAPINDUZI
1. KATIBU WA BARAZA LA MAPINDUZI NA KATIBU MKUU KIONGOZI
DKT. ABDULHAMID YAHYA MZEE
2. NAIBU KATIBU WA BARAZA LA MAPINDUZI
ND. SALMIN AMOUR...
Jamani kuna mtu amenidokeza kuwa yule kijana wa kumtafutia JK vimwana nchi nzima sasa analipwa mafao yake na kuna jamaa wa karibu sana na yeye alinidokeza kuwa atateuliwa mbunge hivi karibuni na...
Kwa mujibu wa taratibu za uendeshaji wa nchi, Chama kilicho shinda na kuunda Serikali (yaani CCM )ndicho chama ambacho ilani yake inatatekelezwa kwa kipindi husika i.e 2010-2015. Kwa mantiki hiyo...
Wadau napenda kuuliza kama kama ifuatavyo: Tumezowea kuwa na marais wanaume tangu uhuru, ambapo wake zao huitwa FIRST LADIES. Kwa mfano ikatokea 2015 akapatikana rais mwanamke, je mumewe...
Katika mchakato wa uchaguzi mkuu uliopita na hata baada ya matokeo kutangazwa na wale ‘walioitwa' washindi kutangazwa katika nafasi ya Urais, Wabunge na Madiwani, kuna mambo mengi...
Kikwete alitegemewa na wengi kuwa raisi toka 1995 lakini Nyerere alikuwa na mtazamo tofauti na hivyo kutokana na ushawishi wake mkubwa akafanikiwa kumwekee ngumu. Basi Mkapa akawa rais...
Eti 6 kapewa uwaziri wa eac ili adili na mambo ya nje zaidi akigusa tu ya ndani wamwambie shughulikia ya eac sasa kwa kuwaumbua hao awalipe wazee wastaafu wa eac tuone watamweka wapi udiwani au...
..ni kutoipa misaada kabisa. Tafiti zinaonyesha kuwa Tanzania imekuwa inapokea missada na mikopo lukuki kwa miongo kadhaa sasa lakini hakuna mabadiliko makubwa.
Hoja inayotolewa siku hizi (na...
WALK THE TALK ALWAYS -
1. Kama walivyotekeleza kilio cha wananchi pale mjengoni kwa kumpa feedback mwenyekiti wa ccm Taifa, Hon.Kikwete kwamba hakufurahishwa na udikiteta uliotekelezwa na nec na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.