Uzinduzi wa chuo kikuu cha dodoma umefanyika leo katika ukumbi wa chimwaga chuoni hapo. Katika hali isiyo ya kawaida ulinzi uliimarishwa hasa katika ukumbi huo wa chimwaga. Usalama wa taifa...
Aithee kwa kweli nina kila thababu ya kukushukuru muheshimiwa jeikey kwa kauwasiri ulikonipatia. Thatha hivi washenzi watakoma kitaani maana walishanyakua mademu wangu kitha hivyo viminithitiri posti
Jamani uchaguzi umeisha lakini ni tukio ambalo limeacha mijadala mingi vinywani mwa watanzania wote! Kuna kuchakachua! Kuchakachuliwa na mengineo mengi tu bado hayajaisha tutaendelea kujadiliana...
Kila nikukumbuka ahadi ya Mkwere ya kuigeuza Kigoma kuwa Dubai huwa nacheka peke yangu.
Na sasa kudhihirisha kuwa Mkwere si mtu wa kumuamini hata chembe, ameteua Baraza la Mawaziri bila kuwa na...
WanaJF,
I thought these little facts ingenuously articulated ashumour will enlighten some of us who can not get hold of Daily news paper.
The genie wakes up! By ADAM LUSEKELO
AFTER more than 40...
Mjadala wa Kipindi cha Tuongee asubuhi utaangazia muundo na taswira ya serikali mpya kwa maendeleo na ustawi wa Taifa.
WaJF tumeni maoni, mitazamo na ushauri wenu katika mada hiyo na tutayasoma...
..kama CUF wameungana na CCM kwenye baraza la wawakilishi ni bora pia wakaungana ktk bunge la muungano.
..hatua hiyo itaondoa mvurugano ambao unaweza kutokea ikiwa CUF watakuwa ktk kambi ya...
Ili uchumi wetu ukue, lazima serikali i-create export kwa ku pump billions kwa few individuals. Individual hawa ili waweze ku-compete globally. Hii technique ndo inatumiwa sana na serikali ya...
Jennister mhagama alifanya vizuri katika nafasi ya uenyekiti ndani ya bunge lililopita na aliendesha vikao vya bunge kwa mafanikio kuliko hata job ndugai na pengine kuliko hata anne makinda...
Wabunge wa Zanzibar katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni wengi mno ukilinganisha na idadi ya watu katika kisiwa hicho.
1,000,000/50=20,000
40,000,000/189=211,640...
New Habari wahitilafiana uteuzi wa Zakia Meghji
Mwandishi Wetu
Novemba 24, 2010
KIWEWE cha uteuzi wa Baraza la Mawaziri kimesambaa kutoka miongoni mwa wateule watarajiwa hadi katika makundi...
For Want of a Nail
For want of a nail the shoe was lost.
For want of a shoe the horse was lost.
For want of a horse the rider was lost.
For want of a rider the battle was lost.
For want of...
For Want of a Nail
For want of a nail the shoe was lost.
For want of a shoe the horse was lost.
For want of a horse the rider was lost.
For want of a rider the battle was lost.
For want of...
Ndugu zanguni wanaJF especialo ma - great thinkers.
Kuna swala moja linanisumbua sana naomba ufafanuzi nadhani pengine kuna kitu kina miss ndani ya chadema. Nimekuwa kwa mfano nimekuwa...
Ndugu wanaJF licha ya mapungufu yote yaliyotokea wakati wa uchguzi mkuu wa 2010, jambo moja ni dhahiri kuwa CHADEMA imesadia kuirejesha Tanzania katika uongozi unaozingatia maaadili mema.
Hii...
Hii ni hatari jamani tangu matokeo ya uchachakachuaji magazeti yanapata tenda za kuwapongeza wachakachuaji kwa kutumia kodi za wananchi -hivi niulize hizi ofisi za umma wanapata pesa wapi kutoa...
wanajamii naomba kupokelewa jamvini,mimi ni mgeni hapa!ndugu zangu wana JF hapa russia kuna tawi la ccm,wameandaa sherehe za kumpongeza rais jk kwa ushindi hafifu aliopata katika ubalozi wetu hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.