Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kama kuna kero ambayo wananchi wa Mkoa wa Ruvuma wanaipata hasa kwa wamiliki wa magari ya abiria basi hili la kuchukua ushuru unaoitwa wa kuboreshwa kwa mji wa Songea.Kila barabara inayoingia mjin...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kumekuwapo na dhana kwamba RA ndo anyeongoza Nchi kwa ushawishi wake mkubwa kwa kikwete , ndani ya CCM's CC NEC na CCM - NEC yenyewe .Je kuna chochote walichopata/walichoshinda kuhusiaana na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Baraza ni kubwa sana kulingana na nchi yetu masikini source BBC Swahili My take Thats what every honest taxpayer thinks
0 Reactions
63 Replies
6K Views
Wakuu nimesikitika sana na mpasuko wa KISIASA ulioko nchini hivi sasa nilidhani wanayozungumza watu ni ushabiki ila leo yamenikuta, gari niliyokuja nayo kazini kwenye kioo kikubwa, kwenye kioo cha...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Sadick Mtulya ALIYEKUWA mgombea ubunge wa Jimbo la Segerea kwa tiketi ya Chadema, Fred Mpendazoe janaalipatwa na msukosuko wakati alipokamatwa na askari wa Jeshi la Polisi ambao walidai kuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya aliyekuwa spika wa bunge lililopita Mh Sita kukwaa kisiki katika mchakato wa kuwania tena nafasi ya kuliongoza bunge kwa kipindi kingine, mengi yamekuwa yanasemwa juu ya jambo hili. Ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natoa pongezi na hongera zangu za dhati kabisa kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Toka wazo hadi udahili wa mwanzo mpaka leo tunashuhudia wahitimu wa mwanzo wa UDOM, yote haya katika kipindi...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Wanajamvi, jana niliweka kinachoendelea ktk kikao cha tahliso hapa chuo cha mipango dodoma, topic hii siioni jamani na nataka kuendeleza yanayojili hukuuuu..........
0 Reactions
1 Replies
910 Views
Nimemfuatilia kwa kipindi cha miaka mitano muheshimiwa Raisi Kikwete kwenye kila kwenye hotuba zake Luningani sintaacha kulipenda lile TABASAMU lake ambalo haliishi kila anapoongea na wananchi...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
WanaJF naomba mnipokee jamvini nimerudi nikitoka kifungoni nikiwa mpya na mawazo ya kujenga nchi yetu tu. Wale wote niliyowakosea/kuwakwaza kutokana na michango yangu kipindi cha nyuma, naomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wanajamii naomba kupokelewa jamvini,mimi ni mgeni hapa!ndugu zangu wana JF hapa russia kuna tawi la ccm,wameandaa sherehe za kumpongeza rais jk kwa ushindi hafifu aliopata katika ubalozi wetu hapa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Dear readers, We are increasingly hearing reports of CCM backed victimisation of individuals, businesses and communities through the use of state organs such as the Police, TRA, local government...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Naomba uchukue walau dk kadhaa tu kutafakari na uone mantiki ya swali hili tafadhali, wengi nimewasikia tunajivunia AMANI, tena basi ni neno ambalo limeamishiwa mpaka kwenye sera za vyama heti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAMBO vipi mtu wangu, mpango mzima vipi, vipi weekend, ‘ishu’ zinaendaje? Kuna jipya gani, mambo tambarare au ndo kila kukicha afadhali ya jana. Namshukuru Mungu mambo si mabaya, Mungu anasaidia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mara kwa mara huwa nafuatilia uteuzi wa Mh. Rais re Wakuu wa Wilaya, na mara zote karibia 40% uwa ni Maofisa wa Jeshi la Wananchi. Huu uteuzi wa wanajeshi kuwa wakuu wa wilaya ni kwa sababu gani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natumaini muwazima ndugu wanamchakato na poleni sana kwa kazi hii nzito ya kurekebisha na kuelimisha jamii!. kuna mkuu mmoja yuko ngazi za juu serikalini kwa ticket ya CHADEMA sitomtaja kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana, nimeona nakala ya barua ya Jaji mkuu akisema anakusudia kulipitia faili la wazee wa EAC. angalizo, (ANAKUSUDIA), sio kwamba analipitia. Nilipoisoma barua niligundua ilikua na nia ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wajameni nimechelewa kuona news. Dr. Anasema sheria ni nzuri kutunga na tuzifuate. Kipengele kipi jk anapingwa? Tujuzeni mliokuwepo kwani alikuwa na press conference
0 Reactions
250 Replies
21K Views
Ndugu wana jamii, mimi nimekua nikufuatilia kwa karibu sana siasa za Tanzania. Nilichogundua ni kua vyama vingi sio vya upinzani ila wananchi wengi wameshindwa kugundua hilo nab ado wanawapigia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Maggid Mjengwa, KUNA wakati, katika mwaka huu, vyombo vya habari vya dunia vilimwonyesha Rais Hamid Karzai wa Afghanstan akitoa machozi hadharani. Ni pale alipotamka kwa uchungu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom