Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kuna jamaa mmoja anayehisiwa anafanya kazi miundombinu jana akiwa maeneo ya Mbezi tangi bovu akipata kinywaji, baada ya kuwa amelewa kidogo alikasirika sana kuwasikia watu wa meza ya pili...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Wadau naomba mnipe darasa kidogo. Hivi nchi nyingine za EAC nazo zina wizara hiyo? Au ni kitengo cha Foreign affairs ministry za nchi hizo?Kama jibu ni negative kwanini sisi tunaipa kipaumbele...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Siku ya 18th November 2010 09:56 PM nilitoa post hii kama tetesi... Watu wengi tulikataaa huyu na Meghji kuchaguliwa kwa kigezo cha GENDER ili tuokoe jahazi... Lakini Bahati mbaya Media karibia...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Naona shughuli za uapishaji zinaendelea vizuri kabisa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna tetesi mtaani kuwa kuna baadhi ya watu ccm walikuwa wanajua kuhusu mpango wa wabunge wa Chadema kutoka bungeni ila wa kakausha ili jamii na Tanzania kwa ujumla iweze kuona ukomavu wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu, Mnaionaje hiyo ya mkapa kumtunuku udaktari wa heshima kikwete kwenye uzinduzi wa UDOM?? Naona kama ilikuwa kama FUTUHI vile!!!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nilikuwa nafikiria namna nyingine ya kutatua mgogoro uliopo sasa hivi kati ya CCM na CHADEMA kuhusu suala la matokeo ya Urais. Nimefikiria kuna kesi mbili ambazo nikiwasikiliza CCM na wale wenye...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Wengi wetu tumewahi kusikia kiapo cha TZ kinachotumika na Mawaziri,wabunge n.k.kuna sehemu kinasema "NITAITUMIKIA KWA MOYO WANGU WOTE" Kibadilishwe na kusomeka hivi "NITAITUMIKIA KWA MOYO WANGU...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JK na kibarua kigumu Na M. M. Mwanakijiji - Imechapwa 24 November 2010 Kisima cha Mjadala Miaka mitano iliyopita, tunaweza kuitafutia udhuru wowote ule kueleza kwa nini baadhi ya mambo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wanajamii, Nimepata dondoo kuwa kesho star katika kipindi chao cha TUONGEE ASUBUHI wana mada iliyo moto, na wiki iliyopita walisema watairusha mapeeeema ili kutoa fursa kwa watazamaji na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Akihutubia ktk ufungunzi na mahafali ya chuo cha Udom Rais Jakaya M.Kikweta amewashauri wanafunzi wa vyuo wajikite zaidi kwenye masomo badala kujiingiza kwenye mambo ya siasa,hasa kutumiwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukizingatia yaliyotokea Zanzibar baada ya Uchaguzi mkuu yaani kuwepo kwa serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar, na ukiangalia performance ya CUF kwenye uchaguzi mkuu kwa upande wa TZ-Bara...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
SEVERAL top prisons officials have allegedly squandered 5bn/- allocated by the government for the implementation of four irrigation projects in support of the 'Kilimo Kwanza' initiative, sources...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wote tunafahamu yakwamba kwa sasa Zanzibar ni Nchi kamili inayojitegemea hii ni baada yakufanya Mabadiliko Makubwa katika Katiba yao. Pia kuna Wabunge wengi sana wanaotoka Zanzibar ili kuunda...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Je hii ni Vita mpya inayokuja: Pombe + Mwakyembe against RA through Estim Construction Ltd: Why JK amemtua Pombe na Mwakyembe kwa ajili ya kumpiga vita RA as kampuni yake ya Estim ndio...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Madaraka ya Sohia Simba 1. Mwenyekiti wa CCM - Umoja Wa Wanawake - UWT 2. Mbunge wa Kuteuliwa-- UWT 3. Mbunge wa Kuteuliwa-- SADC 4. Waziri wa Ustawi Wa Jamii, Jinsia na Watoto 5. Mjumbe wa...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
It is not about who was chosen, not about gender, education, age, religion or whatever criteria Bwana Mkubwa used to hand pick the A-Team to help him deliver the Maisha Bora kwa kila Mtanzania...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Mzee Mwinyi alianzisha sera ya RUKHUSA, sera hii ililenga kupunguza ukasi wa maisha kwa Watanzania,na pia alituonya kuwa 'ukifungua dirisha inzi pia huingia' pamoja na mabadiliko yaliyotokea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hili la waziri mkuu kutaka kuanzisha kituo cha kulelea albino arusha mji hatari wenye wachimba madini watoa kafara je hao watoto watapona kweli au ni ile anzisha kiwanda penye urahisi wa kupata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wandugu, Kitu gani kimetokea kwa hawa jamaa?? Kulikoni??
0 Reactions
200 Replies
20K Views
Back
Top Bottom