GreatThinkers;
Hebu naomba tujadili juu watu kama Mwandosya na kina SiTTa japo kamtelekeza kwa kumpa wizara hasi kwake, Najiuliza kwa nini maswahiba kawatosa???
Kwa nini ujenzi amelazimika...
Kuna simulizi la mpiganaji ngumi maarufu, ambaye alikuwa amepigana (sio ulingoni) mara ishirini. Katika hizo, alishindwa mara moja tu. Alikuwa ni mpigaji ngumi mzuri sana. Kwa leo nitamuita Kulwa...
Jamani, hivi nikisema kuwa media za tz zimepigwa stop kuwaonyeshaonyesha sana wana chadema nitakuwa nimekosea? kama sijakosea naombeni wahusika watoe maelezo ya kutosha hapa. Kwasababu...
| Neema Kwamamlaka
[ ] he intends only his own gain, and is in this, as in many other cases, led by an invisible hand to promote an end which was no part of his intention.
Adam...
Jamani, naomba kuuliza kwa wale wanaofahamu maana halisi ya "MAALIM", kwasababu kwa wale waliomsikiliza kikwete, aliitaja hiyo Maalim kiushabiki fulani hivi sasa mimi sikumuelewa. sina maana mbaya...
Ukosefu wa ajira hususan miongoni mwa vijana ni tatizo linalokua kwa kasi sana ambapo kila mwaka takribani vijana 700,000 huingia katika soko la ajira ilihali kati ya mwaka 2005 hadi 2008 nafasi...
CCM special seat members of parliaments through non-governmental organizations have asked the Tanzania Association of non-governmental organizations (Tango) to keep quiet as it does not know the...
Kwa Mawazo yangu na utashi wangu ni kwamba nina ishauri CHADEMA IANZISHE mfuko maalumu wa kukichangia chama hicho ili kuweka mikakati mbalimbali kwa ajili ya kuukwaa uraisi na kuwa chama tawala...
Ukiliangalia kwa makini baraza la mawaziri utagundua kuwa ndani ya miaka 2 almost woteeee watakuwa wamevuka miaka 45 je wana JF nini mustakbali wa vijana kwenye uwakilishi ndani ya kabinet ya nchi...
Yaani hawa mawaziri naona wangekuwa na barua za kujiuzuru mkononi ili watakapovurunda iwe ni kukabidhi barua hizo na kuachia ngazi.
Ni kweli baraza ni kubwa, lakini kama kutakuwa na uwajibikaji...
Wakuu, kupitia jukwaa hili napenda kumshauri komredi mwiru ang'atuke siasa.
Nimekuwa nikifuatilia mchango wa komredi kingunge ngombale mwiru kwenye medani ya siasa hapa nchini tangu nilipokuwa...
"KILIMO NI UTI WA MGONGO WA TAIFA LETU" Kauli hii nimekua nikiisikia toka naanza kupata akili! Viongozi wetu wamekuwa akiimba wimbo huu unaokifu kwa muda mrefu zaidi ya mno! Lakini cha ajabu...
Wana JF,
Ninge penda sana kuona ufanisi wa wizara ya mindombinu (Dr. Maghufuli & Dr. Mwakyembe) waki deal sana na hawa makandarasi fake huku mikoani kwetu wanavyo tutengenezea barabara mbovu na...
Mmoja wa mawaziri wa muda mrefu hapa nchini Profesa Kapuya hayumo kwenye baraza la mawaziri na maswali ninayojiuliza ni uswahiba wake na Manji ndiyo umemgharimu..................Ni katika himaya...
Wasalaam,
Nina changamoto kubwa kwa vijana wenzangu, kwani sisi tuna nafasi kubwa si tu ya kuhamasisha bali kutekeleza wajibu zetu kwa kujishughulisha na kuleta mabadiliko chanya katika jamii...
Hali bado tete hadi ndani ya serikali
CHADEMA washitukia mtego wa mgogoro
HALI ya nchi bado ni tete kutokana na baadhi ya wafuasi wa aliyekuwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.