Hivi karibuni kumeibuka malumbano makubwa saana ambayo yanalenga kuigawa jamii yetu. Malumbano hayo kwa kiasi kikubwa saana yamechangiwa na wasomi na wanasiasa hasa wakati na baada ya uchaguzi...
1. I dont know why my country is poor
2. Naomba unipe ile wizara yangu kuna mambo nilikuwa sijamalizia
3. Hivyo ni visenti vyangu
4. They can all go to hell
5. Siwezi kumpinga..... Kafanya mengi...
Kwa wale ambao tumeona awamu zote nne za uongozi wa nchi yetu, na hata wale ambao hawakuona ila wameweza kuchukua muda wao kufuatilia jinsi nchi ilivyoongozwa..naomba tusaidiane hapa,
Hivi...
jamani mbona nashindwa kuelewa kuhusu cuf. Katika baraza la mawaziri wa tanzania bara hakuna hata kiongozi wa cuf aliechaguliwa pamoja na kuwa walikuwa bega kwa bega na ccm halisi. Hivi mkwere...
The ruling part has been able to deflect with such military precision the political advances and gains made by CHADEMA during the General Elections on 31st October, 2010. Using well known military...
Nakumbuka miaka ya njuma tatizo la kitaia likitokea watu wanakimbilia butiama au mikocheni kutafuta ushauri sasa mwenye busara hayupo tutaenda wapi....siku zote au mara nyingi nchi huwa kuna mtu...
Gazeti la Tanzania Daima limetuhabarisha ya kuwa aliyekuwa mgombea wa uraisi kwa tiketi ya chadema Dr. Slaa ambaye wengi wetu tunaamini ndiye aliyeshinda kinyang'anyiro cha Uraisi ametoa sharti la...
baraza ametangaza,lakini kumpa huyu maghembe wizara ya chakula,tusubiri njaa tu itakuja,
huko alikotoka kwenye elimu amechakachua mambo,sasa uchakachzi unahamia kwenye
wizara ya misosi.si...
Kwenye gazeti la Tanzania Daima la tarehe 21/06/2010 mwenyekiti wa UWT na pia waziri wa Utawala bora, Sophia Simba, amewashauri wanawake ambao ni wanachama wa CCM kutowapa unyumba waume zao ambao...
Jamani,
Nina mashaka huyu kutokuwepo kwenye baraza la mawaziri ... huenda akaula ukatibu mkuu wa CCM... kwa sababu kura zilizoelekea kutotosha za CCM ni dalili za Makamba kushindwa kazi.
Mimi...
Leo jioni ITV imepitia utafiti wa haraka haraka wa baraza la mawaziri na kubaini ya kuwa watajwa hao watatu ndiyo wanang'ara machoni mwa raia walio wengi................
Kati ya mawaziri wa serikali iliyopita ambao mimi binafsi niliona walifanya kazi zao kwa uadilifu na hawakua na doa ni prof. David Mwakyusa aliyekua waziri wa afya. Nimepigwa butwaa kuona jamaa...
Kuna watu ambao hawajafurahishwa na saizi ya baraza la mawaziri lililotangazwa leo. Sasa mimi nauliza, hili baraza ukilinganisha na mabaraza mengine yaliyopita, ni kubwa kiasi gani?
Nakumbuka...
Mojawapo ya mambo ambayo baadhi ya vigogo ndani ya chama wanajilaumu sana kuwa yalichangia CCM kufanya vibaya ni "uhuru wa vyombo vya habari". Kuna imani kuwa miaka mitano iliyopita vyombo vya...
Kwa mujibu wa baraza jipya la mawaziri, walioongezeka kutoka 47 mpaka 50, kuna makosa mengi ya kiufundi ambayo Kikwete ameyafanya.
Hii ikiwemo kutoa wizara nyeti sana kwa uchumi na maendeleo ya...
Kwa yeyote yule ambaye amekuwa akifuatilia mwenendo wa siasa hapa nchini, atakubaliana nami ya kwamba baraza la mawaziri lililotangazwa hivi leo, limekuwa ni pigo kubwa kwa wanamtandao maslahi...
Uchaguzi Mkuu umekwisha, kilichobaki ni historia iliyowekwa na uchaguzi huo. Rais Jakaya Kikwete akizindua bunge la kumi amesema; uchaguzi huu umeacha majeraha kadhaa, kubwa sana likiwa la udini...
RAIS Jakaya Kikwete leo ametangaza baraza jipya la mawaziri.
Katika baraza hilo, Rais Kikwete amewatema baadhi ya mawaziri na manaibu mawaziri ambao wameshika wadhifa huo kwa muda mrefu wakiwamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.