Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tunatahamu ya kusikia kutoka kwenye chama chetu pendwa yafuatayo: Matokeo ambayo wao waliyapata kutoka kwa mawakala wao, sidhani kama sasa hii inaweza kuleta uvnjifu wa amani wowote, Tunaomba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kweli tulishabikia sana Chadema lakini wenzetu husema mwanajeshi bora huonekana siku kuna vita na hapa Dr. SLaa na Chadema bila ya kuwaficheni wanapata maksi kidogo nayo ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wadau naomba nakala ya hotuba ya Slaa pale Jangwani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii ni sala ya kumuombea Raisi wa Jamuhuri wa Tanzania ndugu Jakaya Mrisho Kikwete! Mungu baba muumba wa mbingu na na nchi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana tunatanguliza shukrani...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
ukitaja ufisadi wowote mkubwa ambao unaliangamiza taifa hili na vizazi vinavyokuja huwezi kuutenga wizi na ufisadi huo na ccm,pia jaribu kuangalia harakati za mabadiliko yote ya kweli ndani ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Moja ya sifa kuu tuliyo nayo watanzania ni WEPESI KUSHAU NA KUSAMEHE. CCM na viongozi wake wanaoujua udahifu wetu huo. Mwaka Desemab 2005 wa hotuba yake ya kuzindua bunge Raisi Jakya Kiwete...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kikwete, uliahidi na umetekeleza ahadi, ndio maana sasa nchi iko kwenye mgao mkubwa wa umeme. Zidumu fikra za mwenyekiti
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu, Kuna jambo moja nimekumbuka na ningependa kuwashirikisha humu jamvini ili muone aina ya uongozi tulio nao hapa nchini. wakati fulani rais kikwete aliitisha mkutano wa wahariri na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
:angry: Leo Nimeanzia NEC: Election Results on a Geographic Map nikihitaji kujua idadi ya madiwani na kura walizopigiwa ili nije na majumuish tuyajadili hapa lakini..... Nikakutana na: Service...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
na Irene Mark na Janet Josiah CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeipa serikali sharti la kufanya mazungumzo ya kumaliza utata uliotokana na kinachodaiwa kuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana jf kuuliza si ujinga nipo mbali na tz na najua ktk hili jamvi naweza kupata habari za uhakika zenye uwazi NAULIZA Dk. Hoseah bado yuko Takukuru? Na kama amekataa kuondoka yu wapi basi wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
BAN KI MOON AMPONGEZA JK NA WATANZANIA WOTE KWA UCHAGUZI MKUU WA AMANI Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amemtumia salamu za pongezi Rais Jakaya Mrisho Kikwete na watanzania wote kwa kukamilisha...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
MSIMAMO wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa kutoyatambua matokeo ya urais huku kikidai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, umemtikisa Rais Jakaya Kikwete na chama chake, kiasi cha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Dr. Slaa bado wapiga kura wako tunataka kufahamu ulishindwa kwa kura ngapi au ulishinda kwa ngapi na uchakachuaji ulitokeaje????? nimechoka kuvumilia naomba Dr.Slaa jitokeze sema na wananchi. Hizo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
MSIMAMO wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa kutoyatambua matokeo ya urais huku kikidai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, umemtikisa Rais Jakaya Kikwete na chama chake, kiasi cha...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
KWA KUWA watanzania wengi wanapata habari kwa kupitia redio, magazeti na TV ni vema kuwapatia zawadi hii (attachment) ili kuwafikishia watanzania wote hasa kupitia magazeti ya ndani na nje ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya wabunge wa Chadema kususia hotuba ya JK, mheshimiwa wetu alikosa diplomasia rahisi ambayo ingewaweka CHADEMA mtegoni!! Ningekuwa mimi ndo JK siku hiyo ya tukio ningeongea kama ifuatavyo:-...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
SIKU moja baada ya Chadema kusema ipo tayari kuketi meza moja na serikali, chama tawala au taasisi nyingine yoyote kwa ajili ya mazungumzo, katibu wa CCM, Yusuf Makamba amesema chama hicho hakina...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
Back
Top Bottom