Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Aliyekuwa Mweneykiti wa CHADEMA mkoa wa Mbeya mwanasheria SAMBWEE SHITAMBALA amejiuzulu nafasi hiyo! Anakabiliwa na shutuma za kupokea 600million toka kwa CCM na akuuuza ubunge kwa mchungaji wa...
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Says walkout misinterpreted CHADEMA national chairman and official leader of Opposition in the parliament, Freeman Mbowe Chadema yesterday clarified that it recognised the elected president...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naam! Mimi ni mfuatiliaji wa mada mbali mbali zinazo jadiliwa hapa jamvini..Kwa kweli nimekuwa na amasika muno na mimi kutoa mchango wangu. Naamini CHADEMA ni chama pekee chenye uwezo wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mjomba mpendwa salaam, Mimatumaini yangu kuwa unaendelea vizuri wewe pamoja na wote hapo ulipo. Dhumuni la barua hii ni kutoa pole kwako kutokana na mikikimikiki ya uchaguzi, kwakweli kilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Suala la kuanzisha Mahakama ya kadhi limekuwa gumzo kubwa nchini kwetu katika miaka ya hivi karibu.Waislamu wanataka chombo hichi kitambuliwe na serikali. Vilevile, gharama za uendeshaji wake...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wote tulifurahia na kukiri uwezo wa aliyekuwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni katika Bunge la tisa. Bahati mbaya Bunge la kumi halina mtu mwenye uwezo kama wake. Aliyepo amejibebesha mzigo...
0 Reactions
82 Replies
7K Views
Kwanaoikumbuka CUF wanajua ilipoanzia ni Tanzania Bara lakini ilipofika visiwani ikakuta wazanzibar wana hari ya mabadiliko ya kisiasa kutokana na utawala wa kidhalimu visiwani pamoja na umasikini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya Kikwete kutangazwa mshindi na tume ya uchaguzi (Ijumaa) kesho yake (Jumamosi) akaapishwa. Mwenzeni nilibaki na maswali kadhaa. Hivi katiba yetu inasemaje kuhusu kuapishwa kwa raisi mpya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama Rais hatatangaza baraza lake la mawaziri mpaka kesho, tarajieni baadhi ya vigogo kukimbizwa Hospitali kwa presha, maana utake usitake kuna vigogo wanaamini kuwa wao hawatakosekana kwenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi naona huyu Mkwere aliomba dhamani bila kujiandaa, hakupanga nani atakuwa waziri Mkuu, nani atashika wizara fulani, n.k. Nilidhani amejifunza kwa miaka mitano akiwa madarakani na nilitegemea...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
Kigoma North MP Hon. Zitto Kabwe with Malaysian ex PM Tun. Dr. Mahathir Mohamad after a discussion in his Office at Petronas Twin Towers, Kuala Lumpur. Zitto is in Malaysia on a one week long...
0 Reactions
60 Replies
8K Views
Mbunge wa ccM jimbo la kibaha,stanley Koka siku ya jpili alikuwa akigawa pesa ktk vikao vya harusi nane, kwenye bar iitwayo Bamboo mbunge huyo alikuwa akilalama pesa katumia nyingi kwenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna mdau kaniambia katika majadiliano kuwa mseto hauwezekani bara kwa vile chama chenye wabunge wengi ndicho kinaunda serikali. Sasa pamoja na hayo chama tawala hakina mamlaka kuteua mawaziri...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kikwete ni mwanasiasa, aliwaelewa chadema Posted by GLOBAL on November 23, 2010 at 7:58am View GLOBAL's News Katika makala zangu nimekuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Misingi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 (Toleo la 20 Juni 2005) KWA KUWA SISI Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sita Kwenye Mtego wa MAFISADI pale CC ya CCM, Je Uwaziri Utakiokoa CCM Kuzama?? Kumbukumbu kule bunge la Tisa zinaonyesha kwamba SIX alikua ni mwiba mchungu kwenye ngozi ya Kijiwe Cha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kumeekuwa na lawama nyingi juu ya Mbowe kuhusu wabunge wa CDM kumsusia kikwete. Kama mtu anajua kucheza chess atakubaliana na mm kuwa hatua ya Mbowe kama KUB ilikuwa sahihi kwani hamuoni kuwa CCM...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mhe waziri Mkuu wa \kenya RAILA ODINGA Jana ametupasha na kutufungua macho watanzania woooteee wakati akiwa Mwanza. Najua wana JF woote wenye nia njema na Tanzania ya leo tutakuwa tunaungana na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Je, Ni CCM Ipi Hasa Iliochakachua Uchaguzi Wetu Mkuu 2010??? Wan-JF, malalamiko yako kila kona ya nchi yetu kuhusu uchakachuaji wa uchaguzi kwa njia ya aibu sana usoni mwa ulimwengu, laki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The backlash of Michezo ya kuigiza. We told you so. Mnataka kumfariji Dr. Slaa on expense of WaTanzania wote. Here is Mbowe. Imeandikwa na: THE GUARDIAN Dominic Nkolimwa Chadema yesterday...
0 Reactions
139 Replies
11K Views
Back
Top Bottom