Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Muafaka wa CCM na CUF ni kwa nchi ya Zanzibar na si bara CUF Haikuwa na mgogoro na CCM bara msituchanganye na vyama venye mlengo wa uislam huku bara tazama kampeni zote za CUF bara ni sehemu zenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Maggid Mjengwa. KUNA wakati, katika mwaka huu, vyombo vya habari vya dunia vilimwonyesha Rais Hamid Karzai wa Afghanstan akitoa machozi hadharani. Ni pale alipotamka kwa uchungu akielezea...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Felix msemakweli mbunge wa nccr amekiri kuwa nccr ikiacha kutii na kusimamia maslahi ya watanzania yuko tayari kukipiga chini na kujiunga na chama chochote cha upinzani hata chadema. Source star...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
ndugu zangu wakati umefika watanzania tukaadamana kutaka tume huru ya uchanguzi iliyoundwa bila kushirikisha serkali iliyoko madarakani.tunahitaji mabadiriko ya katiba kuhusiana na mambo ya uchanguzi.
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Kuna mdau yupo halmashauri ya mjini shinyanga kasema hela waliyohongwa na ccm\nec sasa imekwisha hivyo wanaona aibu mbele ya jamii. na kasema baada ya kuona mgombea wa chadema keshashinda...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau jana kwenye hotuba Bungeni nilimsikia akisema kwamba ataunda baraza bila kujali vyama, je kuna dalili yoyote akachagua mawaziri kutoka vyama vingine? hii itakuaje na msimamo wetu CHADEMA uko...
0 Reactions
179 Replies
17K Views
vyuo vikuu ndivyo visima vya mawazo yenye thamani na yanayoweza kusaidia katika kusukuma gurudumu la maendeleo la nchi hii na nyingine nyingi, na ndio maana hata wenzetu huko nje kama Rais Barack...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
walikuwa wanadai kuibiwa kura leo wanataka katiba mpya. Slaa anataka wakae meza moja na serikali kutafuta suluhisho. Chadema wanachodai sasa ni kipi.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ninawasikitikia sana vijana wa Tanzania. Vijana wanaotokea familia masikini, mafukara ambao wazazi wao wanaishi kwenye nyumba za tembe na kulala kwenye vitanda vya ngozi za ng'ombe. Vijana...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Bosi wa TAKUKURU Dk. Edward Hosea TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YAH: UCHUNGUZI KUHUSU TUHUMA ZA RADA Tunapenda kuujulisha umma kuwa uchunguzi na ushahidi uliokusanywa na Taasisi ya Kuzuia...
0 Reactions
137 Replies
14K Views
Mahmoud Ahmadinejad: He took his PhD (1997) in transportation engineering and planning from Iran University of Science and Technology, located at Tehran, when he was the Mayor of Ardabil...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Since 2005, after election of genuine member of Parliament through Chadema political party, in particular Dr. Slaa and Zitto Kabwe, CCM have been under pressure since then. Chadema which enjoys...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mchungaji Rwakatare amenakiliwa na gazeti la Uhuru linalomilikiwa na CCM akirejea kauli yenye utata ya kuwa JK ni chaguo la Mungu..........kauli hii ni tata ukizingatia upo ushahidi wa ya kuwa...
0 Reactions
126 Replies
14K Views
Mahmoud Ahmadinejad: He took his PhD (1997) in transportation engineering and planning from Iran University of Science and Technology, located at Tehran, when he was the Mayor of Ardabil...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Morning wadau, sote tulishuhudia mh. shibuda kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa pinda na kupata laga za mh. rais kikwete jioni. akizungumzia uhalisia wa kuwabwaga chadema, shibuda alisema yeye...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
huyu msomi mwenye uwezo wa kumwaga cheche jiandaeni kumpokea kwa kishndo kuja kwa wana Chadema
0 Reactions
81 Replies
9K Views
Wabunge watano wakongwe ARFI, KABWE, MDEE, NDESAMBURO, OWENYA wooote hawakubaliana na idea ya kugomea speech ya JK, mbowe bado aliendelea na msimamo wake na sasa anakula matapishi na anapingana...
0 Reactions
76 Replies
8K Views
Katika moja ya magazeti ya leo, makala ifuatayo imeandikwa juu ya kile kinachosemekana kilijiri wakati wa utangazaji wa matokeo ya urais wa Zanzibar na nini kinawezekana au kutabiriwa kutokea siku...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ubaguzi huu ni yale maeneo chadema iliyoshinda au yale ccm iliyoshinda au zanzibar ambapo chadema wamepata kura ndogo?WASWAHILI WANASEMA UKICHEZEA MPIRA UKUTANI UTAKURUDIA
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekaa tena na kuzungumza na kigogo wangu na safari hii tumejikuta na tatizo jingine at least ndivyo tulivyoliona tuko tayari kusahihishwa.. a. Waziri Mkuu anateuliwa na Rais na kupitishwa na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom