Jaji Mkuu Augustino Ramadhani ameamua kuingilia kati kesi ya wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Africa Mashariki (EAC) kwa ajili ya kulifanyia mapitio ili kujiridhisha kuwa Mhe Jaji wa Mahakama Kuu...
Jamani,, kunawatanzania wanashindwa kuelewa Maana ya Chadema kutoutambua uraisi wa Bwana Kikwete,,
Naomba hapa tuwekane sasa Chadema ilipata wabunge 25, na maanisha na Jimbo la Segerea, lakini...
Nilikuwa nazungumza na mzalendo mmoja mwishoni mwa juma na akaniuliza maswali fulani yakitu ambacho labda hatukukiangalia kilipotokea.
a. Rais akitangazwa kuwa Rais anaapishwa na Jaji Mkuu -...
Kweli Rais asiye makini tunaye, kikwete alitumia fedha nyingi sana kualika viongozi na wakuu wamikoa huko ngurudoto, na kutueleza kuwa ni semina elekeza viongozi.
Sina uhakika kama ilifanya...
Wakuu, Poleni kwa kazi. Ninaomba kupata picha na CV/Profile ya Mheshimiwa mbunge wetu wa Viti Maalumu kutoka Tabora, Sarah Msafiri. Natanguliza Shukurani.
WanaJF naomba mwenye taarifa anisaidie hapa!!!!!!!!!! Comment zangu kwa barua hiyo ni hizi hapa!!!!!!!!!
MwanaJF M. M. Mwanakijiji naungana na Great Thinkers WanaJF kukupongeza kwa kuchukua...
Wapendwa Wakuu
Muundo wa uongozi Tanzania unaelekea kuibua maswali mengi. Pamoja na kuwa tumo ndani ya Muungano bado Watanzania Bara hawana nafasi ya Uongozi huko Zanzibar.
Juzi tumeshuhudia...
Kitendo cha watendaji wa serikali kuzuia wastaafu wa Afrika Mashariki kufanza maandamano yao kudai haki zao zilizokwamishwa na serikali kwa miaka zaidi ya 30, ni ishara gani? Ni woga au sababu za...
Makamanda na Wana JF;
Ule Waraka uliosomwa mbele ya vyombo vya habari uko Dodoma na THOBIAS MWESIGA RICHARD
aliyekuwa anadai anausoma KWA NIABA YA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU MKOA WA DODOMA ni...
Maamuzi ya kidemokrasia hufanywa na watu.
Ilimshangaza kila mpenda haki pale Chadema waliposhindwa kuwapata wabunge wa viti maalum wanawake kwa njia ya kura na badala yake wakatoa tenda ya...
Wandugu,
Tangu jk aingie madarakani kumekuwa na kasi kwa kiwango cha kutilia shaka ya watoto na ndugu na jamaa wa vigogo kuingia kwenye siasa. Kimsingi, siyo vibaya watoto au ndugu wa kigogo...
Ulimwenguni sasa hivi nchi zinazofadhili mataifa ya ulimwengu wa tatu sehemu ya bajeti na misaada mbalimbali zinafanya hivyo kwa msharti ya nchi husika kuendesha siasa za vyama vingi. Hii ni kwa...
Katiba ya Muungano inaweka utaratibu wa vyeo vikuu vya Serikali ya Zanzibar na inaelezea juu ya vyeo vingine au taratibu nyingine kwa mujibu wa "katiba hii (ya MUungano) na Katiba ya Zanzibar"...
Kitendo cha wabunge wa CHADEMA kutoka bungeni jana kimetafsiriwa kama udhaifu mkubwa kwa raisi wetu JK na pia kinaonyesha kuwa wananchi na wabunge hawana imani na serikali ya huyo bwana.
Viongozi...
Tunaposema kiognozi mwadilifu na mchapakazi ni sifa mbili ambazo si rahisi sana kuzipata kwa mtu mmoja. Watu wengi waadilifu sio wachapakazi kwamaana ya kuwa na fikra endelevu (Innovative). Ukimpa...
Madagascans give huge backing to new constitution
(AFP) 5 hours ago
ANTANANARIVO Madagascans strongly approved a new constitution in a referendum held last week, with 74 percent of the...
Napenda kutoa changamoto kwa Chadema na wapenda mabadiliko halisi kwamba msifikiri kwa kupata wabunge 23 wa kuchaguliwa na 25 wa viti maalum ccm wamefurahi au wanaona ni sawa tu, yaani...
GAZETI LA NIPASHE JUMAPILI HII LIMEANDIKA HABARI ZA WABUNGE WA CHADEMA KUTOKA BUNGE LIKIEGEMEA KWENYE UPANDE MMOJA TU WENYE KUPINGA. HABARI HIZO NIMEZIWEKA HAPO CHINI. KUNA HABARI KUU TATU TOFAUTI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.