Kikwete II can make or break Tanzania
By KARL LYIMO, Daily News, Dar es Salaam, Tanzania
Monday, November 22, 2010
THE general elections this year the Fourth Edition of Tanzanias Book...
jamani mimi nashangaa hawa watu wanaotaka mazungumzo
kama njia ya kudai katiba walikuwa wapi miaka yote 18. Mfumo
wa vyama vingi ulipoanza mwaka 1992 kitu cha kwanza wapinzani
kudai ilikuwa katiba...
Hawa TAHLISO wanaojiita umoja wa vyuo vikuu japo hawana msaada wowote kwa wanafunzi wa vyuo na wala hatupo nao, wameishia wapi? walikuwa wanajaribu angalau kujionesha kuwa ni wema wakati...
Leo wakati naisoma katiba katika ibara inayotoa muongozo wa Tume ya uchaguzi nilikutana na uozo wa karne. Pamoja ya kuwa karibu vipengele vyote vina shida kubwa tu, lakini hii hapa imevunja...
Nilikuwa nafuatilia mahojiano ta TBC ambapo Binti Shirima alikuwa anamhoji Mtoto wa Mkulima Pinda nikashangaa alipoanza kusema wapinzani ni watu wa kupinga tu kila kitu. Nikasema ama kweli naye...
Ndugu zangu wana JF, na wapenda maendeleo kwa ujumla.
Napenda kutanguliza shukrani zangu kwenu kwa ushiriki weni huku kwenye mijadala ya humu JF na naomba tuendelee na mjadala huu.
Naomba...
Kutokana na uchunguzi wa mwanzo imeonekana Bwana Shitambala hana hatia juu ya kupokea mil 600 toka ccm na ameruhusiwa kuendelea na shughuli zake kama M/kiti.
Source: Dr. Slaa -TBC leo saa 2 usiku
Salamuni wapendwa,
Nafikiri muda umefika kwa sisi ambao wazalendo wa kweli kuonyesha uwepo wetu katika kuamua mustakabali wa nchi yetu. Ni wazi kuwa a group of Mediocres walioji organize tokea...
Pia wanatoka Chadema kurudi CCM. Mmoja tu aliwahi kutoka Chadema kuhamia CUF. Je hii inaonesha daraja za vyama vya siasa? Kama ndivyo, wakitoka NCCR watakwenda wapi?
Nduguzanguni mie kama mtanzania mpenda amani ya nchi yangu nilikuwa nawasihi hawa ndugu zetu wanaCCM wasichochee hatari iliyopo mbele yetu katika hili jukwaa la siasa.
CDM wamekwisha walk out...
Latest Polls Point to Signs of Change in Tanzania
By Richard Whitehead*
DAR ES SALAAM (IDN) Tanzania's fourth multiparty elections on October 30, 2010 were, in some ways, not significantly...
Huu mpango wako Mkwere tumeushitukia. Tena sana tu.
Kwamba Mkwere umeona vijana wa Tanzania hatukitaki Chama chako cha matajiri na mafisadi, umeanza harakati za kutuhadaa kwa kuteua vijana kuwa...
CCM wanafanya juhudi kubwa kupita kiasi za kuhakikisha kuwa wanaendelea kuifisadi nchi katika mfumo wa chama kimoja. Kazi yao kubwa ni kuhakikisha kuwa wanadhoofisha vyama vya upinzani. Waliua...
Lile gwiji la Sayansi ya Siasa toka Chuo Kikuu cha UDSM al-maarufu Benson Bana na mmoja wa viongozi wa Taasisi maarufu ya Utafiti ya REDET amebainisha kuwa CHADEMA WASIKILIZWE MAANA WANA HOJA YA...
Tukichagua viongozi kijuha, tutaongozwa kijuha, na tutaishi kijuha.
- Ayoub Rioba (Mwananchi Jumapili)
:attention:
Nimeipenda dhana ya UJUHA na ikanikumbusha habari za Mfalme Juha.
Hawa NJAADEMA wananikumbusha NCCR-MAGEUZI na lyatonga miaka ya tisini. Halafu ukiangalia kwa makini utakuta wale ambao waliokuwa NCCR-MAGEUZI miaka ile ndiyo wale wale wamekuwa NJAADEMA leo hii...
nashangazwa sana na mambo jinsi yanavyokwenda na nashidwa kuelewa nini maana yake.utakumbuka toka uchaguzi tar 31 ni wiki ya nne sasa,lakini yaliyofanyika hayaendani kabisa na muda wenyewe.mambo...
Inasikitisha sana kuona kila unapofanyika uchaguzi mkuu wa kuwapata viongozi, maamuzi ya wananchi juu ya kuwachagua viongozi wao kuanzia Madiwani, Wabunge hadi Rais huwa hayaheshimiwi.
Unakuta...
Inashangaza sana kusikia watu wanavyoishutumu CHADEMA hawna nidhamu, ooh wanasambaratika mara Zitto anajitoa CHADEMA,mara oo mpasuko ndani ya CHADEMA na blah blah nyingi 2. Ikumbukwe chadema ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.