Chadema jitahidini kuondoa tofauti ndani ya chama hizo ni nyufa au tundu dogo katika neti ambalo mbu akipita anaweza sababisha mtu kufa na malaria, zibeni matundu ondoeni nyufa kuepuka hawa jamaa...
MWENYEKITI mwenza wa Mpango wa Utafiti na Elimu ya Demokrasia Tanzania (REDET) na mkuu wa Kitivo cha Sayansi ya Siasa ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Benson Bana, amesifu kampeni za aliyekuwa...
Ndugu zangu wana JF, na wapenda maendeleo kwa ujumla.
Napenda kutanguliza shukrani zangu kwenu kwa ushiriki weni huku kwenye mijadala ya humu JF na naomba tuendelee na mjadala huu.
Naomba...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepanga kutoa elimu kwa wapigakura kwa njia ya kutoboa siri zote za ufisadi zinazoigusa serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia wiki ijayo...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kipo tayari kukutana na serikali, chama au taasisi nyingine yoyote itakayotaka kujadiliana kuhusu hatua yao ya kutoyatambua matokeo ya...
kila mara nazikia hili neno "mzingira mazuri kwa uwekezaji" kutoka midomoni mwa vio-ngozi "wetu" watanzania.. mimi kwa kuangalia jinsi mambo yanavyokwenda hili neno kwa "vio-ngozi" (viongozi) wa...
By Waandishi wetu
20th November 2010
Achochea walibwagwa ubunge wakatae matokeo
Pia wa udiwani, aagiza wote wafungue kesi kortini
Gharama zote za mawakili kubebwa na CCM
Yusuf...
Jamani naomba aliyekaribu na JK amjulishe kuwa sikufurahishwa na haya yafuatayo na ndio sababu namuhukumu kama alisema hivyo ila atatenda sivyo.
1) wakati wa kusherehekea kupewa kwake urais...
HATA Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa hakumungunya maneno amelisema wazi kuwa vijana wanaichukia CCM na ndio waliifanya ipoteze majimbo hayo 58 katika uchaguzi uliopita.
Akamwomba Pinda...
Haya tena heka heka za uchaguzi ndio zimeisha kwa Jk kushinda kwa mgongo wa kuchakachua sasa shere za kumuapisha zimeaanza rasmi saa tatu asubuhi na ITV pamoja na TBC wanaonyesha live tujulishane...
:A S-confused1:Hivi naomba kujulishwa mfumo wa uongozi nchini tanzania Nikianza na awamu ya pili hadi hii tuliyo nayo nikwanini wanaochukuwa madarakani huwa wanawaona waliokuwa viongozi enzi ya...
Taarifa nilizozipata hivi punde zinasema Wilfred Muga Katibu wa CCM vijana Musoma Mjini ameuawa na majambazi leo asubuhi kwa kupigwa risasi akiwa njiani kutoka Kigoma Kuelekea Mwanza.
Mwenye...
Tumeandamana kupinga maamuzi ya nec kumtangaza Kikwete kuwa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,, Chadema haina ugomvi na CCM, bali inaugomvi na Matokeo na uchakachuaji uliotokea Kipindi cha...
The country is eagerly waiting for President Jakaya Kikwetes announcement of his new Cabinet, in which he is expected to make significant changes to his old line-up, swapping the holders of some...
Baada ya Mheshimiwa Tundu Lissu kuwachemsha Wagombea uwakilishi wa SADC kwa maswali ya kitoto na woote kushindwa kutoa majibu,, Kwa mujibu wa Wanajamii wengi wanasema Kama Mmoja anashindwa kujua...
Tumeshaongelea sana suala hili lakini sichoki kudai tena serikali ya Tanganyika au mfumo mbadala wa muungano. Ule wimbo wa kero za muungano uliokuwa unapigiwa kelele na wazenji sasa hausikiki...
Kama bado una kumbukumbu na hotuba ya JK aliyoitoa mara baada ya kuapishwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; hivi majuzi tu, aliahidi kuwasiliana na NEC ili kuona uwezekano wa...
Tumeanza katika uspika, tutawapata wapi akina mama wa kushika nyadhifa zifuatazo....
1. Jaji mkuu
2. IGP
3. Mkuu wa majeshi
4. Mwenyekiti NEC
5. Gavana wa BoT
6. Mkurugenzi - Usalama wa taifa
7...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.