Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ndugu wana Jf, Nijambo la kujsikitisha kwa vyombo vyetu vya habari hapa Tanzania.Sijui niseme ni Vyombo vya habari au ni watu wenye taaluma zao. taaluma hii inaelekea kupoteza mshiko kwakuwa...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
ILI waingie bungeni, wabunge wa Chadema wameweka masharti ambayo yakitekelezwa na Serikali watakuwa hawana tatizo tena. Masharti hayo kwa mujibu wa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe ni...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Wapendwa wana JF mm n mzalendo nisiyekuwa mwanachama wa chama chochote lakini awali ya yote nikiri kuwa sera za CDM na DR wa kweli zimenivutia sana. Maoni binafsi: CDM imekuwa kwenye mstari...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wanajamvi hivi hili gazeti la economist lina agenda gani? The results are in Nov 8th 2010, 16:12 by J.L. | NAIROBI THE president of Tanzania, Jakaya Kikwete, was sworn in for another...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Waraka maalum kwa Wakristo Zanzibar Wapendwa katika Bwana, NDUGU Wakristo umefika wakati tumeonelea kuwa ipo haja ya kuwaelezeni machache ili kuona maendeleo yetu na mafanikio tuliokwisha yapata...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Kila Leo Tunaona Hivi Vyombo vya Habari Vikireport Habari za Uongo na Kugeuza Ukweli ili Kuletetea Corrupt Ideas za CCM. Ni Kweli Wanadangwnywa au Wanalazimisha Kuandika Uongo? Inawezekana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Posted Date: 10/16/2007 Wapinzani waeleza sababu za kuikataa Takukuru Kizitto Noya na Salim Said Mwananchi UMOJA wa Vyama vya CUF, TLP, Chadema na NCCR Mageuzi, vimeueleza sababu za...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Ninawasihi sana watu wa Tume kuhakikisha matokeo yaanza kutoka mapema jamani. Asubuhi inakuja, watu wanaamka hakuna matokeo, mnawapa wasiwasi na kuanza kutengeneza tension, mtaleta polisi na...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Vyama vya CCM, Chadema na CUF kila kimoja kimeongeza viti viwili vya ubunge kutokana na matokeo ya uchaguzi mdogo uliofanyika hivi karibuni, kwa sasa kila chama kimefikisha wabunge CCM 260...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tumeona CCM Inalia Foul ya Offside kwa Wabunge wa Chadema Kutoka Nje Katika Hotuba ya Dikteta JK. Kitu Gani na Haki Ipi ni Muhimu kwa Wananchi? CCM Wanaamini Wananchi Hawana Haki ya Kujua Matumizi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale mnaofuatilia habari, jana warioba alipoulizwa kuhusu mtazamo wake juu ya chadema kutoka nje ya bunge alisema'' kutoka nje wakati MTU mmoja anaongea siotati'' na hata hivyo chadema...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
I must conglaturate CHADEMA MPs for what they have done last week.This is what called The centre of gravity strategy..You hit them where it Hurts... In life everyone has a source of power on...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Inasikitisha kuona jinsi wabunge vijana wa Chadema wanavyonyimwa fursa za kujifunza kutoka kwa wabunge wengine wazoefu kutoka vyama vingine. Kipindi hiki ndicho muafaka kwa vijana hawa kugema...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Dear Lawyers in JF, We all know that, once declared as a winner by the National Electoral Committee, there is no possibility to file a case against president on any issue regarding to...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa sababu ccm ni wabishi na wanataka kuendeleza uchakachuaji, na kwa kuwa ili chadema iwahudumie vema watanzania, naamini ambaye yupo karibu na uongozi afikishe ombi la watanzania tunaochukia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
HAYA WANA JF,NAJUWA KUNA WAKATI MTAHITAJI KUANGALIA MECHI MBALIMBALI HAPA DUNIANI LIVE BAADA YA MICHANGO MIZURI KTK JAMVI LETU LA SIASA.NAWAPATIA HII LINK ITAWAPA RAHA MDA WOTE PANAPO MECHI ZA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
John Mnyika amekaimu kiti cha Naibu Katibu Mkuu kwa kipindi kirefu sasa, Je hajakomaa tu? tunasubiri nini, nafikiri huu ni muda mwafaka kwa chama kufanya maamuzi magumu ili apewe kiti kizima.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Haya polisi wamenyanganywa bunduki,raia wanauawa na majambazi na kuporwa mali zao,sasa huyu shimbo aliyeapa kupambana na raia wkt wa uchaguzi yupo wapi jaman atumie maguvu yake kwa majambazi??au...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Dk. Bana mkuu wa kitivo cha siasa na bosi wa REDET leo asubuhi akiwa na David Kafulila alitoa kauli zenye busara ya utata... Kwa nini nasema BUSARA YA UTATA??? Yeye kwa minajili ya kujiweka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom