Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Yapo mambo ambayo mtu kufaulu kuyafanya kunahitaji sana kusoma hali ya hewa. Mifano ni kama kilimo, kuruka kwa ndege, na kuabiri baharini kwa boat. Haya na mengine mengi mtu ukiyaendea bila kwanza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Najua kama kawaida wengi wetu tutapiga kelele saaaana kuhusina na hili jengo, ila limeshajengwa! Mimi ningependa kusikia hoja za mtu YEYOTE YULE tafadhali, anayeweza kueleza huu umati sababu za...
2 Reactions
4 Replies
7K Views
A Spectrum of Scandals and Some Solace... by Florine Roche Daijiworld Media Network Mangalore, Nov 20: The Manmohan Singh led UPA government at the centre is embroiled in an unprecedented...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimefuatilia kwa kina mwitikio wa watu mbalimbali na hususan wa viongozi wa CCM kufuatia the "walkout" a.k.a "kutoka nje" kulikofanywa na wabunge wa Chadema jana. Hata hivyo nimejitolea kutoa...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Raisi kikwete anaonekana kabisa kwamba hana raha na ushindiwake wa kulazimisha na kuiba. Kama mnamjua kikwete anaonekana mnyonge kwasababu rohoni anajua kashidwa na amewekwa na watu kwa manufaa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wananchi wa igunga wamekuja juu juu ya uteuzi wa rostam kugombea ubunge. hebu tizama hii clips
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Asaalam, ndugu yangu... Mimi napenda kutoa mwelekeo halisi wa kisiasa hapa nchini ya wapi tupo na tunakoelekea..Sitaki kujua tulipotoka kwa kuwa chama kimoja ni zama za mawe.. Moja kwanza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Yusuf Makamba Baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupoteza majimbo 53 ya ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 31, mwaka huu, Katibu Mkuu wake, Yusuf Makamba sasa ameamua kila mgombea...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Hicho ni kipande katika hotuba ya jk jana pale uwanja wa taifa. Nachompendea jk ni pale anaposema nakuibia na anakuibia kisha anaiba kweli. Alituambia majuzi kuwa wizi wa kura utafanyika katika...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi ni mwana jangwani mzuri sana, toka nina umri wa miaka minne. Sasa nina miaka 36 still naipenda Yanga sana. Kuna wakati naamua kuacha kuifuatilia but unakuta nashindwa kufanya hivyo. Sasa kuna...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1. Sambwee Shitambala - Mgombea Ubunge CHADEMA- Mbeya. Huyo aliuza ubunge kwenye uchaguzi mdogo, kauza tena kwenye uchaguzi uliopita- ushahidi upo wazi kabisa- kila mtu anajua 2. Prof...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wajameni naomba kuuliza hivi ina maana mapadre, wachungaji na masheikhs wetu hawaoni serious irregularities zinazoendelea katika demokrasia yetu? Na mbona wako kimya? hawakemei? hivi nani hajui...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kutoka ukumbini wakati Mh. Rais wa JMT - DR. JAKAYA , M. KIKWETE akianza kuhutubia. Wabunge wa CCM sasa wanajipanga kutoa AZIMIO LA BUNGE kwa wale wabunge wote hawamtambui Rais watoke...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Makamba ni mpumbavu asie na huruma na maisha ya watanzania masikini. Uchaguzi umekwisha ingekua wakati muafaka sasa wakuweka mikakati ya kumpunguzia mwananchi mzigo wa umasikini alio twikwa na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna tetesi ya kuwa Capt. mstaafu mwenye cheo cha ngazi ya juu katika ccm, jana alielezea mpango wa chama hicho kuvunja bunge, na badala yake kuunda Baraza la Mapinduzi ambalo litajumuisha vyama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika hali ya kawaida, mwakilishi wa wananchi mfano Mbunge au kiongozi mwingine wa kutumikia watu huchaguliwa kutokana na kukamilisha vigezo kama vile utendaji uliotukuka, uchapa kazi unaoendana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wabunge 11 wa chadema wamepinga msimamo wa mwenyekiti freeman Mbowe wa Kususia hotuba ya rais katika ufunguzi wa bunge la kumi
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Ninaongea kwa moyo wangu wote, kutokana na hali halisi ninavyoiona, kwamba wabunge wa Chadema wana dukuduku moyoni, na pamoja na kwamba wana ccm wanajua ya kuwa chadema wana dukuduku, wao hawataki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Willibrod Peter Slaa pamoja na aliyekuwa mgombea ubunge wa Segerea Fredy Mpendazoe watanguruma siku ya Jumapili katika viwanja vya...
0 Reactions
88 Replies
8K Views
Oktoba 31, 2010 kulifayika uchaguzi Tanzania. Matokeo ya uchaguzi yametoa yafuatayo: 1. Matokeo ya kura za wananchi dhidi ya kura za NEC. 2. Wagombea waliochaguliwa na Wananchi na wagombea...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom