Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wabunge wetu wa CHADEMA wamechukua uamuzi mgumu sana, uamuzi ambao unataka ujasiri na uthubutu wa vitendo. Ni lazima tuelewe kuwa mgogoro uliopo siyo na JK kama JK, la hasha bali na mfumo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Pongezi nyingi ziwaendee wabunge wa chadema wakiongozwa na mh Mbowe pale walipotoka nje wakati mwenyekiti wa ccm anahutubia.Wametekeleza kidemokrasia msimamo wa chama na kupeleka kilio cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeshitushwa na tamko la CCM kuhusiana na ''walkout'' ya wabunge wetu kupitia chama cha chadema.Ninachelea kusema CCM haina watu makini na wanakurupuka kutoa tamko bila kuliangalia suala hili...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Je hatua ya CCM kufanya mapendekezo ya spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kigezo cha Jinsia kimekanya katiba sehemu ya 9 kifungu kidogo cha (g)? wadau naomba masaada hapo. 9...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Siku moja nikiwa katika nyumba fulani ambapo hutolewa huduma ya Kiroho mtoa huduma hiyo aliongelea aina 3 ya viongozi (kwa mtazamo wake) kama ilivyo hapa chaini. Je viongozi wetu hasa wa Kitaifa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mr president anaonesha wao kama chama cha ccm wana nia ya wazi ya kuwapa wanawake nafasi muhimu za uongozi nchini kama sehemu ya kuwawezesha.... Na hili anasema ndo maana wakamteua mama makinda...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Kama CCM ina fedha nyingi kwa nini wasitumie hizo fedha kuwavutia wananchi wakipende? Simple logic...ningekuwa mimi ni katibu mkuu wa CCM ningekaa na wenzangu tukajadili kuhusu miradi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Penye ukweli unazi hauna nafasi sikia nyie madogo hawa wawakilishi wa wnanchi wametumwa bungeni kuwakilisha mawazo ya wapiga kura wao na si maigizo wanayofanya ka wanataka fani si wakajiunge the...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba wasom wetu ndani ya chama wafikilie kuweka tv ya chadema ambayo inaweza ikawa inamilikiwa na chama moja kwa moja au watu binafsi kuficha identity......tunapata shida sisi wadau na hasa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau hebu tujadili hii barua ya Makwaia inapatikana hapa: Daily News | You need to rebuild your party, Mr President! H.E. Mr Jakaya Mrisho Kikwete, President of the UR of Tanzania, The State...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Russian opposition parties have walked out of parliament and threatened to raise mass demonstrations in protest at local elections they say were rigged. Official results showed PM Vladimir...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
SOURCE TBC FM My take.... Hivi hawa watu... :angry:
0 Reactions
235 Replies
19K Views
Chama Cha Mapinduzi, CCM, kinaandaa tamko na mkakati rasmi kuhusiana na kitendo cha Wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kuondoka katika ukumbi wa Bunge hapo jana wakati Rais...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hawa wanamgambo wa CUF siwaelewi. Tena siwaelewi kabisaaaaaaaaaa! Hivi inakuwaje wanakuwa wanaongoza kukaa kwenye mic za waandishi wa habari na kukiponda Chadema?? Tunajua kuwa CUF na NCCR na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Padri Privatus Karugendo alitoa hoja iliyonigusa. Alisema ilikuwaje Lipumba akamzidi Kikwete katika kura za Rais wa Jamhuri lakini Seif akashindwa kumzidi Shein?:angry::angry: Naomba yeyote...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
SAfrican opposition parties walk out of parliament Tuesday February JOHANNESBURG (AP) — South African opposition parties walked out of a parliament session Tuesday, accusing the governing...
0 Reactions
1 Replies
983 Views
The Left agitation in the capital against price rise had its echo in Parliament today with members of four Left parties walking out of both Houses protesting the government's "lack of response"...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
HAYA WANA JF KWA WALE WALIO NA MTANDAO MDA WOTE NA WALIO MBALI NA TZ PATENI HABARI ZA SIASA NA MAMBO MENGINE KUPITIA KITUO KIPYA ONLINE (VIZA TV) ([URL=http://www.HabariCom./MEDIA/1218]...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kitendo cha wabunge wa chadema kutoka bungeni mbele ya raisi kimetafsiriwa kwa namna mbalimbali na jamii ya watanzania. Wapo wanaokiona kitendo hicho kuwa ni utomvu wa nidhamu kwa raisi, wapo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWENYE UZINDUZI RASMI WA BUNGE LA KUMI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 18 NOVEMBA, 2010...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom