Wabunge wetu wamechukua uamuzi mgumu sana, uamuzi ambao unataka ujasiri na uthubutu wa vitendo. Ni lazima tuelewe kuwa mgogoro uliopo siyo na Kikwete kama Kikwete, la hasha bali na mfumo...
Walioandikishwa kupiga kura ni milioni 19
Waliopiga kura (turn out) ni milioni 8.6
Kikwete kapata kura milioni 5.2
Slaa kapata kura milioni 2.2
Katika chaguzi kuu kumi zilizopita hatujawahi...
Channel Ten leo jioni imetuhabarisha ya kuwa Mchungaji Mtikila ataiburuza NEC mahakamani kwa kile anachodai kunyimwa haki yake ya kimsingi ya kugombea Uraisi
Alidai yakuwa NEC ilimwonea...
In Julius Ceasar's novel, William Shakespear said that; "there is a tide in the affairs of men, which taken at flood, leads to fortune; omitted, all the voyage of their life, is bound in shallows...
Mheshimiwa Halima James Mdee;
Hata sisi makada wa ccm tuliukubali uchaguzi wako kwa roho moja. Knowing you are independent mind, and you will go to bunge and bring kawe improvements and also...
Wana JF
Kwa dhati ninapenda kutoa pendekezo langu kwa JF administrator na wana jf kwa ujumla, kwa vile tumekua tunatoa michango mingi yenye manufaa makubwa kabisa katika jamii na maendeleo ya...
Madai ya KATIBA mpya na TUME HURU ni madai ya upinzani wote.. Lakini wengine wameshachoka ndio maana CUF, NCCR wameamua kuwaachia CHADEMA ambao wamepata bahati ya kuwa wengi bungeni na sasa...
Dar es Salaam, Tanzania
Tanzania's members of parliament from the main opposition Chadema party, Thursday snubbed President Jakaya Kikwete when they walked out from the House as he took the...
zamani mzazi alipokuwa akimlaani mwanae alisema utaokota makopo(chupa za maji), leo hi watz wengi wameingia ktk aina hii ya ajira, na rais ameitaja kama ni chanzo kipya cha ajira, je watanzania...
Kwa sisi kugomea hotuba ya Rais, tunajua ujumbe wetu umefika kwa wahusika wakiwamo bwana mkubwa mwenyewe (Rais Kikwete), viongozi wa mashirika na taasisi mbalimbali na mabalozi, kuonesha kuwa...
Wana JF;
Nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa original results kutoka katika vituo vya kupiga kura ambazo Mgombe wa CHADEMA Dr. Slaa na vijana wake walikuwa wanahakiki zinaonyesha...
Kumekuwepo na porojo mbalimbali kupitia kwenye vyombo uchwara vya habari kwamba chadema imegawanyika kutokana na kitendo chake cha kususia hotuba ya jk bungeni hivi karibuni. Porojo hizo ni mbinu...
zamani mzazi alipokuwa akimlaani mwanae alikuwa anasema ataokota makopo(chupa za maji) lkn leo hii kazi hiyo imekuwa sio laana tena bali ni ajira, je hawa nao wamelaaniwa na rais? watz hali zetu...
Mh. Alishtuka na kushangaa sana pindi wabunge wa CHADEMA walipoinuka na kutoka bungeni, Kwa mtazamo wangu hakuwa na taarifa kwamba CHADEMA walikuwa na mpango ule, Cha kushangaza watu kwa maelfu...
Nimefuatilia kwa ukaribu kuhusu raisi kikwetwe na kwa mtazamo wangu ni raisi ambaye haishimiki na wana CCM na hata Watanzania. Kikwete atakuwa na wakati mgumu kipindi hiki kwasababu mawaziri...
Kuna tetesi kuwa washabiki na wanachama wa CCM wanapanga kuandamana kulaani wabunge wa CHADEMA kutoka Bungeni wakati Mwenyekiti wao alipokuwa anahutubia. Hii inaonyesha wazi kuwa sasa imefikia...
Ndoa ya CCM na CUF ya kugawana madaraka ilihitimishwa jana kwa Rais wa ZNZ Dr Shein kutangaza baraza lake KUBWA la mawaziri lenye mawaziri kamili 19 na manaibu wake 6 na kufanya idadi kamIli ya...
NEC imetoa majina na mgawanyo wa wabunge sita wa viti maalum waliosalia, Chadema, CUF na CCM kila kimoja kimepata wabunge wawili zaidi. Names of appointees later
Source: Nipashe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.