Mbunge wa Jimbo la Urambo mashariki Samwel Sitta akisalimiana na Mbunge wa Same Mashariki Anna Kilango.
Samwel Sitta Mbunge wa Jimbo la Urambo Mashariki na Spika wa bunge lililopita ambaye...
Nilijiunga na chama cha mapinduzi baada ya kumaliza shule nikiwa na matumaini makubwa na chama changu, nimeendelea kuishi kwa matumaini nikijua kuwa matatizo yaliyoko hapa nchini yanatokana na...
Kwa kweli ninasikitika sana ninapotizama siasa ya nchi hii.
Wizi unapewa Baraka zote na mwenye haki harusiwi kuhoji.
Wameiba hela,kura lkn bado wanalindwa na katiba. Ni Aibu tupu
Pamoja na...
Chadema tumewachagua kutuwakilisha bungeni na wala siyo vinginevyo......wasipokwenda bungeni kwa visingizio vyovyote vile hapo watakuwa wanamkomoa mpigakura na wasifikiri tutawachagua...
Wadau nini kimetokea kwa CCM mkoa wa Dar es Salaam kutangaza maandamano na kuahirisha ndani ya dakika tano?. Kiufupi katika siku chache ambazo nimeangalia Channel Ten taarifa ya habari nimekutana...
Nimefuatilia matamko na matamshi mbalimbali yaliyotolewa na viongozi wa kisiasa,dini,wanataaluma. Nilichoona ni kuwa watanzania hawaijui katiba wala sheria za nchi yao..?
PIA wengi wanaogopa...
Tutatoa picha hivi karibuni kuhusu maandamano yaliyopita.Ndugu zangu Watanzania wenye uchungu na nchi tuwasiliane ili kuweka mikakati mipya ya kufanya maandamo hapa.Nchi ya Tanzania inaitaji tiba...
Mkanganyiko wa matukio kabla na baada ya uchaguzi TZ umenikumbusha ujumbe wa waziri wa mambo ya nje Denmark. Katika mkutano wake na wasomi wa chuo kikuu (CBS), Waziri huyu aliulizwa ni kitu gani...
Greetings dear friends!
For sometimes it has been alleged that Mr. Mengi has been targeting a prominent Tanzanian Businessman Mr. Yusuph Manji for purely personal reasons and vendettas. In the...
Wakawaambie:
Wahisani: Nyie siku ile mulijifanya kutoka nje ya ukumbi wakati Mkwere anahutubia bunge.........Why?
Chadema: Alichakachua kura za wananchi. Ni Rais batili.
Wahisani: Leteni...
Vipo vyombo ya habari vinajaribu kuishawishi jamii kuwa kitendo cha wabunge wa CHADEMA kususia hutuba ya JK si cha kiungwana. Lakini jamii inamtazamo tofauti kabisa na hawa vibaraka na wa mafisadi...
UFAFANUZI ZAIDI TOKA KWA DR SLAA KUHUSU MTILILIKO MZIMA WA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI NA KUSUSIA HOTUBA YA NDUGU KIKWETE
by George Maige Nhigula Jr on Saturday, November 20, 2010 at 11:18pm...
Jamani watanzania wenzangu. Naomba tusijifanye vipofu na viziwi wa kutokuona na kusikia na kuchambua mambo. Hii inaonyesha ni kiasi gani watanzania wengi tulivyo na udhaifu wakuchambua mambo...
Katika baadhi ya mabango ya CCM nimeona moja ambalo linaonyesha jinsi rais alivyo mtu wa watu, baadhi ya mabango yanaonyesha rais akiingia katika nyumba za vikongwe pia akikutana na baadhi ya...
I am among the sitta fans but i really wonder what he must be going through right nowcoz it's politics that removed him from the speaker's seat and kept there a person they know will fever them...
Siamini Itakuwaje kama kweli CCM dar wakiruhusiwa kuandamana kupinga wabunge wa Chadema kutoka bungeni, je Chadema wakitaka kuandamana kuunga mkono wabunge wao wataruhusiwa???
Natamani sana...
Teh teh teh nimefurahi sana baada ya kupekua magazeti ya leo na ghafla nikakumbuka gazeti lililokuwa linaongoza kwa itifaki na suala zima lademokrasia lakini lipo wapi siku hizi?kuna waliosema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.