27 April 2010: Fighting broke out and smoke bombs and eggs were thrown as Ukraine's parliament tried to ratify a controversial deal with Russia extending the lease of a naval base.
Gazeti la Majira linatuhabarisha leo ya kuwa Mheshimiwa Spika Mstaafu ambaye ana elimu ya sheria amefafanua kuwa Chadema wanayohaki ya kisheria kumkataa JK...................
Hii inaondoa mashaka...
Ndugu wana jf,
wabunge wa chadema wapo sahihi kususia hotuba ya mkuu wa muungano,kwani ukisoma katiba vizuri (Ibara ya 41 Ibara ndogo ya 7 ya katiba yetu inakataza matokeo ya urais kuchunguzwa...
Katika mchezo wa karata,mtu anapata ushindi kutokana na atakavyomfanyia timing mpinzani wake. Kadiri unavyokuwa na mahesabu mazuri ndivyo unavyomuweka mpinzani wako kwenye wakati mgumu na huenda...
Mimi nina ushauri kwa Mh Sitta, he is obvious not comfortable na hali ya mambo huko CCM, mimi namshauri afanye maamuzi ya busara kwa sasa maana navyoona hawezi kupigana akiwa ndani ya hilo kundi...
Gazeti la Tanzania Daima limetuhabarisha leo ya kuwa Mheshimiwa Mbunge wa Monduli ametofautiana na JK kuwa yeye anaamini nchi itangulize elimu kwanza badala ya kilimo kwanza.....
Lowassa amkosoa...
Kuimarisha Demokrasia
Mheshimiwa Spika,
Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita tumeshuhudia kukua na kustawi kwa demokrasia nchini....yaani demokrasia ambayo inahakikisha kuwa CCM itabaki...
Soma hizi habari tatu kwa makini, kisha naomba maoni yako:-
"Wabunge wa Chadema walikataa bungeni Pinda asiwe Waziri Mkuu na pia chama hicho hakimtambui Jakaya Kikwete kuwa ni Rais halali wa...
Seif akipata shida imekwisha wengine wakionewa hilo si tatizo kwani mambo ni tofauti.
Tanzanian opposition legislators walk out over accord
Posted by africanpress on April 9, 2008...
Ukweli usiopingika watu wengi siku hizi wanazungumzia matukio ya Chadema
Media zote
Mitaani
Viongozi mfano kina Chiligati kuwafukuza wabunge wa CDM
Tafiti nyingi zinaongelea Chadema
Wanafunzi...
Suala ambalo limetawala maongezi ya Watanzania wengi kwenye social media kwa leo ni kitendo cha wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kususia hotuba ya Rais Jakaya Kikwete wakati...
Katika gazeti la leo la Mtanzania limetuhabarisha ya kuwa Jaji Mstaafu Mark Bomani amehoji kuhusu Dr. Slaa kukataa kuyatambua matokeo ya kura ya Uraisi huku akiyatambua yale ya wabunge na...
asilimia 80 ya watanzania wapo vijijini kwa kuwa hata asilimia kubwa ya sehemu ya nchi bado ni vijiji, tuna uwakika wa kulima na kuuza mazao ndani na nje ya nchi, kilimo kwanza ndiyo sera sahihi...
Wanadamu wapo katika jinsi ya kike na kiume. Utambulisho wa jisi hizo upo katika maumbile (uke na uume -maumbile yanayotoa tofauti za msingi). Hivyo ndivyo walivyoumbwa. Ili kuendeleza uumbaji huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.