Kwa kipindi cha Miaka mitano iliyopita, serikali ya JK ilishindwa kuudhibiti mfumuko wa bei kabisa
kwa mfano , katika zili bidhaa muhimu kila siku kwa maisha ya Mtanzania wa kawaida zimepanda...
Wanabodi,
Hatimaye Baraza jipya la Mawaziri ndio lianza kutangazwa sasa live kupitia TBC!
Endelea kufuatilia...
UPDATES:
Wizara ya maji imeunganishwa na Kilimo - Itakuwa Wizara ya Kilimo na...
Katika wizara ambazo moja kwa moja nimekuwa na imani zinaweza kufanya vizuri ni wizara ya Ujenzi chini ya John Pombe Magufuli na Harrison Mwakyembe,kwa kifupi mbali na udhaifu wa kibanadamu hawa...
Pendekezo la Wizara za Jamhuri ya Muungano
1. Menejimenti ya Utumishi wa Umma
2. Utawala Bora
3. Muungano, Mahusiano na Uratibu
4. Mazingira, Maji, Maliasili na Utalii
5. Katiba, Sheria, Sera...
Uchaguzi umekwisha salama! TUNAMSHUKURU MWENYEZI MUNGU!
Woote tunajua katika kipindi cha miaka mitano iliyopita maisha yalikuwa magumu sana! (toa Mafisadi)
Woote tunajua uwezo wa JK ni mdogo...
SAY YES AND THE OTHER ONE CAN SAY NO AND BOTH CAN BE RIGHT AND PEACEFUL
Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA,Dr.Wilbroad Slaa,akimnadi mgombea ubunge katika Jimbo la Ubungo kupitia chama...
Unawafahamu mawaziri na naibu mawaziri wapya? Send to a friend Wednesday, 24 November 2010 21:09 0diggsdigg
Na Neville Meena
Jana Rais Jakaya Kikwete...
Mmh!...I doubt if mr. president is real serious. jina kama Hawa Ghasia kuendelea kuwepo kwenye wizara inayosimamia maliasili muhimu kama wafanyakazi ni udhaifu mkubwa kwa aliyemweka hapo. uhusiano...
Kikwete amejitahidi kiasi kuepukana na mawaziri ambao wana tuhuma/kashfa za ufisadi kwenye cabinet yake mpya. Lakini nimegundua kuwa wanasiasa vilaza wenye uwezo mdogo wa akili, ubunifu na kuchapa...
Eti wadau kurejeshwa kwa Magufuri miundo mbinu ina maana jk mwanzo alichemka kumpeleka mifugo na makazi au alipanga kumuua kisiasa na sasa ameshindwa ameamua kumrejesha pale palipo mpa jina kisias
Rais ametangaza Baraza lake la Mawaziri, kama kawaida ya watu wengi wanachojua ni kumsifia tuu bila kumkosoa. Uchaguzi huu tumeona kura za Rais zimepungua zaidi ya asilimia 20 na bado Rais...
Bado Vigogo vya TZ
Jury convicts DeLay in money laundering trial
Former U.S. House majority leader faces up to life in prison
AUSTIN, Texas - Former U.S. House Majority Leader Tom...
Dr slaa na chadema wangetangazwa kuwa wameshinda uchaguzi wa oct mwaka huu na tume ya jaji makame na nec, kisha ccm wakakataa kuachia madaraka, je ni kile kitabu kinaitwa katiba ya jamhuri ya...
Greetings, the upcoming issue of Raia Mwema is said to be extremely explosive that the Printers has been forbidden to continue printing it for tomorrow. Thus, all the already printed issues will...
tathmini ya uchaguzi mkuu mwaka huu wa 2010regional # of voters voters to vote kikwete lipumbaslaarungwepetermugahywa total winner by regionalarusha 831,827.00 540,687.55 179,240.00 10,814.00...
Licha ya UCHAKACHUAJI mkubwa unaosadikiwa kutendeka kwenye Uchaguzi wetu Mkuu mwaka huu hajachangia tu
Uchakachuaji utakua umepunguza sana idadi ya WATETEZI WA MASLAHI YETU SISI WANYONGE. Lakini...
Kwanza apewe heshima na utukufu Muumba wetu wa mbingu na ardhi, malaika na mitume na maandiko yao hali kadhalika sie wanadamu wafuatilizi.
Tulisubiri kipindi cha uchaguzi nacho kikaja...
Baada ya Samuel Sitta na Dr. Mwakyembe kupewa uwaziri, nani sasa kuongoza mapambano ya ufisadi ndani ya CCM? tutarajie nini kwenye bunge hili iwapo hawa ndiyo walikuwa wapinzani ndani ya CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.