Ndugu zangu wana JF naomba niwaletee historia fupi ya Dr. Slaa na Chadema katika wilaya ya karatu tangu 1995 hadi leo hii.
Kwanza kabisa Karatu ni sehemu mambayo imekuwa na historia ya kipekee...
Serikali ya shirikisho la wanafunzi wa chuo kikuu Dodoma (UDOSO) imekanusha taarifa iliyotolewa na msemaji wa wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Dodoma na waziri wa sheria na katiba wa chuo kikuu cha...
Polisi yaruhusu mikutano CHADEMA.
Na Tumaini Makene.
SIKU moja baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kulilalamikia Jeshi la Polisi juu ya kutoa amri ya kuzuia mikutano yake...
HALI ya wasiwasi imezidi kutanda miongoni mwa watu wa Wilaya ya Tandahimba, yakiwa ni matokeo ya makovu ya uchaguzi wa ubunge, yaliyompa ushindi mgombea wa CCM.Hata hivyo ushindi huo ulipingwa...
BAADHI ya vigogo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), hasa wenye maslahi na nafasi kadhaa za uteuzi, wanadai kwamba Rais Jakaya Kikwete anakosa uamuzi katika kuteua wakuu wa mikoa, baadhi yao wanadai...
Taarifa ya habari ya saa moja jioni ya leo ya TBC1, Waziri wa Miundo mbinu Dr. Magufuli amesambaza Ilani ya uchaguzi za CCM kwa watendaji Wizarani kwake katika hali inayoonyesha anachapa siasa...
Wizi wa kura una historia ndefu na umeshatumika katika nchi kadhaa duniani. Kwa hiyo mbinu zake zinajulikana nazo ni pretty standard ijapokuwa kuna wataalamu wa uchakachuaji wanaozungukia serikali...
WanaJF,
Kama mnavyofahamu, hivi sasa kuna maandalizi kwenye majimbo mengi ya kufungua kesi mahakamani kupinga ushindi wa wabunge waliotangazwa na NEC. Ninachopenda kujua ni je mbunge ambaye...
Gazeti La Mtanzania ambalo ni maarufu kwa kukipamba Chama Cha Mapinduzi safari hii naona uzalendo umeshindikana na wamebidi kutupasha habari juu ya mpasuko mkubwa ndani ya Chama hicho mara baada...
Tanzania hii ya sasa ni ya Educated and people who have tired with Promices which are not applicable,, wamechoka kudanganywa na wanaotafuta ukweli wa mambo kwa Gharama yeyote ile..
Sasa Kikwete...
Ndugu wanajamii Report ya Gharama za uchaguz zimesha kamilika na Lengo la kuifungulia Kesi CCM kuhusu Gharama za uchaguzi mbona naona kama limeyeyuka? au Chadema walituyeyusha jamani,,
Mi naomba...
Na Mwandishi wetu Happy
Katika hali iliyoonekana kuwavutia watanzania wengi waishio nchini Urusi, Tawi la CCM Moscow limefanya sherehe ya kumpongeza Mwenyekiti wa CCM na Raisiwa...
Jamani nimesikia kukosa kwa prof msolla kuwa waziri wkt alistahili kumetokana na mabwana wakubwa wawili wa nchi hii yaani rostam , na el kisa:
Lowassa: Kwanza alimshawishi msolla ajenge chuo...
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Makanyagio wilayani Mpanda mkoani Katavi, Chifu Mlela Mallac, amejiuzulu nafasi hiyo kwa kile kinachoelezwa kwamba amekuwa akizongwa mara kwa mara...
Katika historia ya nchi yetu, bunge la 10 litakuwa bunge la umuhimu wa kipekee!!! kutokana na miongoni mwa sababu ni hizi hapa chini:-
1) Ni bunge la kwanza kuwa na serikali mbili, moja ndani ya...
SERIKALI mpya ya Rais Jakaya Kikwete iliyoanza kazi rasmi baada ya kuapishwa jana, ipo katika majaribu kutokana na mawaziri wake 17 kufunguliwa kesi mahakamani kupinga matokeo yaliyowapa ushindi...
Kwa walioangalia sherehe za kuapisha mawaziri ,waliona pale meza kuu kiti cha dr shein ..kilichokuwa pembeni ya waziri mkuu pinda na Maalim kilichokuwa pembeni ya Bilal ...vilikuwa wazi,yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.