Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Miaka mingine 5 ya wizi wa JK na genge lake unaendelea (Part 2) ya JK. Jitaarisheni watanzania kwa wakati mgumu unaoletwa na JK na genge lake la kimafionso, co-starring Chenge, Lowassa na wengineo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pamoja na kuwa uchaguzi umeisha na uchakachuaji umeisha, mimi nina swali juu ya aliyekuwa anatunza vifaa vya uchaguzi kuanzia fomu, karatasi za kura na masanduku. Ninajua kuwa vifaa hivyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Moja ya strength za ccm kihistoria ni mshikamano wake. Lakini kuanza miaka mitano iliyopita, na hasa mwaka huu kumejitokeza dalili za wazi za kuvunjika mshikamano huo hususan kipindi cha mchakato...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani kama TZ ilipeleka jeshi Comoro kumuondoa mpinzani baada ya uchaguzi ulio na utata je nani wa kuindoa CCM? au nyani haoni kundule?
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Elimu duni na kutojitawala kifikra kumetufanya watanzania kuwa ngazi ya mafisadi, kila chaguzi zikaribiapo, tazama mtu amekuwa kiogozi tangu mimi nazaliwa na sasa nina umri wa miaka 31 jimbo lake...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Pamoja na wengine humu kukesha tukipiga kelele sidhani kama tutaambulia kitu, mwisho wa mwisho tumempeleka jamaa ikulu sijui kama atamkumbuka MS hata ukatibu kata achana na ukuu wa wilaya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kweli kikwete anatisha hadi lipumba kamteka!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tangu matokeo yatangazwe kwa ujumla nimekuwa ninajiuliza maswali mengi sana moja wapo kama wapinzani na wanamapinduzi hawaikubali tume na kwa mfano chadema na dr slaa wamegomea matokeo kuna...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Profesa Lipumba - rejea mdahalo wako ITV: Kipi kichuguu na upi mlima?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
HATIMAYE ndoto ya Jakaya Mrisho Kikwete kuchaguliwa na Watanzania kuongoza Tanzania kwa muhula wa pili wa miaka mitano imetimia.Kwa mujibu wa Katiba, rais anatakiwa kukaa madarakani sio zaidi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ZITTO VIPI amaechiwa na Polisi,inasemekana alikuwa ameshikiliwa na polisi -Kigoma
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wana JF Nivema tukaainisha mbinu Chafu CCM ilizotumia na hatimaye kujitangaza washindi, Hii itasaidia kuwapa picha halisi wale wote wanaopongeza ushindi wa CCM na kubeza wapinzani,,,Naamini...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
:thinking: mimi nimekaa najiuliza: hivi kwa nini tume ya uchaguzi - NEC isiwe na database (benki ya taarifa) ya uchaguzi kwa vituo vyote kwa ajili ya transparency na future reference. Mimi siyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika moja ya Mikutano yake kanda ya Ziwa, Rais anayeondoka madarakani Bwana Jakaya Kikwete alijikuta katika hali ngumu baada ya kuzomewa na wananchi pale alipotoa ahadi iliyotafsirika kama upupu...
0 Reactions
65 Replies
10K Views
Ndugu wanaJFs na watanzania wenzangu wote, kuna mambo ambayo mtu ukiyasikia unaweza kuyanyamazia kwa mshangao. Mengine mtu mwadilifu huwezi kamwe kuyanyamazia. Maana sio tu kuwa yanakera...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yafuatayo ni majimbo ambayo dalili zinaonyesha kuwa matokeo yamechakachuliwa ili kuipa CCM ushindi ingawa wapinzani walishinda; 1. Shinyanga mjini 2. Sumbawanga mjini 3. Mbozi Magharibi 4...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
it is official slaa ameshindwa kuifikia rekodi ya mzee wa vunjo kwa kupata asilimia 26.3 wakati mrema alikokotoa asilimia 28
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Habari ambazo nimezipata punde ni kuwa kuna uwezekano aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Bw. Lau Masha akafikishwa mahakamani hasa baada ya kukiri mwenyewe kuwa alimpigia simu mgombea wa Chadema...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
huyu mwandishi ameelezea mambo ya muhimu sana ,na uhakika jumuiya ya kimataifa imeshatambua maovu yaliyofanyika katika uchaguzi huu. nafikiri ile hali ya kisiasa iliyotokea baada ya uchaguzi wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada ya NEC kuhairisha uchaguzi wa wabunge katika majimbo ya Nkenge, Mpanda Mjini na Mpanda Vijijini, ningependa kujua kwanza kama Chadema ina wagombea huko? Pili, kama inayo...ingefaa sana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom