Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ndugu zangu wana JF inadaiwa Lukuvi alimhonga pesa na gari mgombea wa CHADEMA ili asishiriki kwenye uchaguzi pia alitaka kumtumia huyu Kapwani kwa nafasi yake ndani ya chama ili aharibu pia Iringa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hali inaonekana ni tete sana baada ya Uchaguzi kwenye nchi yetu kwa mara ya kwanza tangu tupate uhuru. Kuna tetesi kwamba huenda JK akatangaza hali ya hatari kwa Taifa mara tu atakapoapishwa. Hii...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Picha hii hapa chini itadumu miaka mingi sana kuashiria nni namna gani watanzania walikuwa wakitaka mabadiliko ya kweli. Dogo huyu (mbele kabisa aliyenyanyua mkono kwa hisia) pamoja na kwamba...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanajukwaa la Jamii Hatimaye NEC imetangaza matokeo yote rasmi ya Uchaguzi Mkuu 2010. Katika mchanganuo wa wapiga kura NEC imetoa takwimu zifuatazo: Wapiga Kura Waliojiandikisha ni...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nilikuwa Jijini Mwanza kwa siku kadhaa na niliyojionea sio siri ni mazito sana hata kusema,maana mengine nilikuwa ninasikia tu humu ooh wizi wa kura,ooh uchakachuaji,na mda mwingine nilijua tu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naanza kuandika hii thread nikiwa na huzuni kubwa sana. Najiuliza sipati jawabu kwamba imekuwaje na nini kimetokea kwenye Uchaguzi wa mwaka huu. Kwamba eti Watanzania milioni 5 wamekubali tena...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naona chama cha upinzani kuchukua madaraka kabla ya 2015 sijajua hasa nini nafunuliwa lakini naona kuna uwezekano mkubwa wa chama kimoja cha upinzani kuongoza nchi kabla ya uchaguzi mnaousubiri wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Document hii itasaidia kuwafanya watu waamini kuwa upigaji kura mwaka huu utakuwa ni wawazi zaidi. Na labda ndiyuo sababu inayowafanya baadhi ya watu kupata presha kubwa sana.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu wana JF, Kama Dr Slaa akikataa kukubali matokeo ya uchaguzi uliomalizika punde na kutangazwa Kikwete ndio mshindi. Tunakumbuka jinsi hali ilivyokuwa kule zanzibar baada ya uchaguzi wa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa uchunguzi wangu ushindi wa CCM unafanikiwa kutokana na idadi ndogo ya wapiga kura wanaojitokeza kuchagua viongozi wa Taifa letu la Tanzania. Ukiangalia vizuri idadi ya watu waliojitokeza...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
birds with same feathers fly together! ROBERT MUGABE yule ambae wote tunamjua na tumemsoma mara nyingi yuko dar es salaam kupongeza kikwete.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa wale waliokuwa hawaamini kuwa CCM wameiba kura fungua hii attachment uone jinsi chama hiki kinavyoendeshwa na mafisadi
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Wana JF; Katika Uchaguzi Mkuu 2010 Dr. Slaa na CHADEMA wametoa changamoto na upinzani mkali tofauti sana na miaka ya nyuma. Uchaguzi mwaka huu ulikuwa na msisimko mkubwa sana huku kukiwa na...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Naona kuna haja ya kuwa kitu kimoja ili tuweze jenga nchi yetu ya Tanzania hasa baada ya matokeo ya uraisi bse kikatiba hayapingiki yakishatangazwa so ni kheri kuyakubali Ila kwa vyama ambavyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
:sad: Watanzania tumekuwa wapole sana kiasi kwamba tunatia huruma. Sio siku nyingi tume ya uchaguzi ilitoa majina ya watakaopiga kura kwenye vituo walivyojiandikishia. La kushangaza na ambalo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu, Nimemsikia JK akitoa kauli hii jana wakati akihutubia kwenye hafla ya kutangazwa pale Karimjee na leo kwenye sherehe ya kuapishwa pale uwanja wa uhuru. Na kuna mahali kwenye hotuba ya leo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
someni hiyo kumbe nao wameona
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Pole sana Dr. Slaa kwa kushindwa lakini inakubidi ukubali matokeo na kama umeonewa basi nenda kwenye tume ili uweze kufungua mashtaka. Licha ya kupigiwa debe na baadhi ya makanisa uchwara yasiyo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hamad Rashid kuwania Uspika Salim Said ALIYEKUWA Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Hamad Rashid Mohammed, amesema huenda akachukua fomu ya kugombea kiti cha Spika wa Bunge la...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
robert mugabe- zimbabwe joseph kabila- drc mwai kibaki - kenya rupia banda- zambia jacob zuma- south africa wana jf tengenezeni similarity equation ya hawa viongozi waliohudhuria.i guess there is...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom