Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nimeona wanaingia wageni wa kada mbalimbali, nimemwona Ridhiwani Kikwete. Loh! Nimemwona pia mama Salma Kikwete, mtangazaji anasema yupo na watoto wa rais, wapo kama 12.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Pamoja na NEC ya CCM kuchakachua matokeo na kumtawaza JK ambaye siyo chaguo letu, imehabarishwa na gazeti MZAWA la leo kuwa Chadema kuongoza Halmashauri 13 na baadhi yake ni Muleba, Arusha...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Jamani, hivi jimbo la Arumeru Magharibi lilichukuliwa na CCM au Chadema?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ushindi wa ccm siku zote ni ushindi wa misukule,ushindi wa kiini macho,ccm hawawezi kushinda bila kuchakachua kura,watanzania tuamke,tunahitaji ushindi halali ili tuepuke yale yaliyotokea kenya na...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Total Population in Tanzania: about 35 M Eligible population for voting: estimates from NBS projections 47% of the population about 16 Million above the age of 18. Those who registered for...
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Ndugu zangu wana JF, kwa maoni yangu nadhani wanachama wa CHADEMA wanaweza kutemba vipya juu kwamba wanakubalika Tanzania. Nasema hivyo si kwamba tumeshinda uchaguzi hila tumepata kura nyingi kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Pamoja na nec kueleza kuwa iliweka mikakati ya kuwasaidia watu ambao hawakuona majina yao, bado idadi inahisiwa kuzidi million nnne ya waliokosa kupiga kura kwa kukosa kuona majina yao. Tusilaumu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukifuatitilia kwamakini utakuta kuwa majimbo yote yaliyokuwa icu upande wa ccm na yakachakachuliwa kuyarejeshea oksijen, mzee marope ndiye aliyetia timu na kulazimisha kutangazwa matokeo tofauti...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hongereni wanaJF wote na moderators kwa kushiriki kikamilifu katika zoezi zima la uchaguzi kwa namna yeyote ile. I am sure JF has been influential and effective katika huu uchaguzi zaidi hata ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Maalim Seif Sharif atangazwa kua makamo wa kwanza wa rais na Ali Karume Makamo wa pili Source:Radio znz & tvz
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WanaCHADEMA HAKUNA KULALA, VIJANA TUJITOKEZE KUCHUKUA MAJIMBO AMBAYO YANAONGOZWA NA VIHIYO WA CCM. MIE NGUVU ZANGU NIMEZIELEKEZA BABATI MJINI MWAKA 2015. WASOMI TUSIPENDE KUNG'ANG'ANIA MJINI...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
The East African Court of Justice said it was ready to handle post election cases from the Community’s member states as long as their lawsuits are in line with the EA Community Treaty...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
4 sure wadau mi sielewi hivi vyombo viwili, mda wote wanaisifia CCM, au ni branch ya TBC?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nipo maeneo ya Longido na kuna wamasai wa jimbo la Ngorongoro wamenieleza kitu kilichoniuma sana. Waliniambia kwamba JK hakufanya mkutano wa hadhara Ngorongoro ila aliwaita faragha ma-Laighwanani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bunge lilokwisha CCM ilikuwa na idadi ya viti 80.Je kwa bunge lijalo watakuwa na viti vingapi kutokana na JK kupolomoka asilimia ya ushindi kutoka 84%- 61% Je cccm imekula kwao au ????
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ukifuatilia kwa makini siasa nchini tangu uchaguzi wa 2005 hadi 2010 utagundua kuwa idadi ya wananchi wengi walioipigia CCM kura mwaka 2005 wameipigia kura CHADEMA mwaka huu.Hii imechangiwa sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu wazalendo wa nchi hii, Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini mkubwa mwenendo wa matokeo ya uchaguzi kutoka maeneo mbalimbali hususan kwa nafasi ya urais. Kwa wale wenzangu walioanza...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jimbo la Muhambwe ambalo limebebebwa na NCCR-MAGEUZI huenda likaamuliwa na mahakama kuu baada ya mgombea wa CCM kuamua kujitosa mahakamani kudai haki yake kama ipo..................SOURCE: Habari...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wanaJamii, baada ya serikali ya Umoja wa kitaifa, CUF gani tuitegemee katika bunge na baraza la wawakilishi 2010 - 2015, Je wabunge wa CUF hawatakua rubber stamp tu kwa sababu chama sasa, kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana Prof.Lipumba aliongea jambo la maana sana...42%is the total # of those who voted,kwa ninavyoelewa a president must be voted to a 50% and above(majority)sasa,this wud mean uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom