Wanajamvi em tujiulize jamani yaani watu milioni nane tume imetumia wiki nzima kutoa matokeo je ingekuwa milioni 16 ingekuwaje!!Muda wote huo walikuwa wanafanya nin kama sio shughuli yakuchakachua.
Double Dipping Votes Delays Tanzania Election Results
Jakaya Kikwete checks off one more tally as officials arrest Daudi Gindishi for double voting
Jen Hoskote | Tue Nov 2, 2010
TAGS...
Leo Mh Jk anatangazwa mshindi wa urasi 2010-2015 na Jaji Lewis Makame! Lakn wakati yakitangazwa matokeo Jk alionekana fika hana furaha na muda wote wa uongozi wake. Kwanza anajua watu hawampendi...
BARAZA Kuu la Uongozi la Taifa la CUF, limesema wawakilishi walioshinda majimbo ya Pemba na Unguja, watakula kiapo na kuingia ndani ya Baraza la Wawakilishi lakini hawatatoa ushirikiano kwa...
TEMBELEENI HII ILANI YA CCM, KWENYE UTANGULIZI KIPENGELE CHA PILI MSTARI WA MWISHO UNASOMEKA
"Aidha mafanikio ya azma hii unategemea kutambua hali na mazingira ya kisiasa, kiuchumi na...
INGAWAJE NINA UHAKIKA KUNA WATU HAWATAPENDA KUSIKIA HII,LAKINI NI LAZIMA KUMJUA ADUI YAKO KATIKA VITA! PAMOJA NA MAPUNGUFU YOTE KIMUUNDO WA KITASISI CCM WANATISHA .KUMBUKA WANA VIONGOZI KILA...
As a nation,we all agree that peace and unity are the prerequisites for our development.It is our collective responsibility to embrace them in every step we take as we strive to reach higher...
Uchaguzi huu umeisha ,maisha yanaendelea...CCM hawana la kujivunia ...wapinzani wanayo haki ya kujivunia hatua kubwa waliyofikia....itakuwa ni ajabu sana mtu kufananisha mafanikio ya kipindi...
Tatizo lililoikumba nec achilia mbali kuwa ni wakala wa ccm, pia kuna tatizo la integrity ya hao viongozi. Nashauri hata kukiwa na tume huru iweze kuwa na uwakilishi wa viongozi wa dini katika...
Friday, 05 November 2010 08:45
Geofrey Nyang'oro
WAANGALIZI wa ndani wa wameeleza kuwa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 31 ulikuwa huru na wa haki lakini kulikuwa na kasoro kwenye kuhesabu kura...
Jana wakati wa kujibu maswali kwenye mkutano na waandishi wa habari Professor mmoja mzee mwenye nywele nyingii jina sikulijua, alisema kuwa nchi ya Tanzania imesifiwa sana na wadau wa nje kwa...
Sasa yanataka kuja Tanzania !Huu ndio mwanzo.
Hata Kenya walikuwa na Usalama wa Taifa,nguvu za dola etc.Naona UWT wa Tanzania na vyombo vingine vinafikiri tuko enzi za kikoministi za Urusi...
Jamani huyu Peter Mziray mimi namuona kama ni mgombea binafsi vile.
Sasa nimeshtuka kwamba kuna majimbo ambayo ameweza kuwashinda wagombea wa vyama established kama NCCR,CUF,na TLP.
I mean...
Tumeshuhudia leo jk akikili ya kwamba uchaguzi huu umetoa funzo kubwa kwa ccm na inabidi wakakae chini na kujipanga kwa kuwa hii ni ishara mbaya kwa ccm.yaani toka 82% mwaka 2005 mpaka 61% 2010.na...
WAKATI mamilioni ya Watanzania wakiendelea kusubiri matokeo ya kura za urais, kuna mambo yameanza kujitokeza ambayo yanaonyesha kuwapo kwa kasoro kadhaa.
Moja ya kasoro ya kwanza kujitokeza kabla...
Jamani wandugu,
Toka juzi hapa ofisini kwangu ndege za kijeshi za Luteni Jenerali Shimbo zinapita angani kwa kasi. Je, zina uhusiano wowote na matokeo ya uchaguzi? Je, zinataka kuthibitisha kuwa...
Tume ijayo ya uchaguzi inapendekezwa iwe na wajumbe wafuatao, ambapo majina yao yatawasilishwa kwa Mh. Rais kwa ajili ya uteuzi wa mwisho:
1. Dr Wilbroad Slaa ( Mwenyekiti)
2. F. Mbowe ( Makamu...
Ile Blog kaiita blog ya Jamii lakini mimi naiita blog ya CCM.
Nilikua namheshimu Issa Michuzi lakini kutokana nakutokua na balance katika utoaji wake wa habari blog yake wala hata sipotezi muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.