Wapigakura wengi waliompigia kura Dr. Slaa wamefurahishwa na hatua ya utulivu wa Raisi wetu Mtarajiwa ambaye JK ametumia mabavu ya dola kujisimika madarakani kwa minajili ya udikteta...
Wenye ueledi wa jambo hili tunaomba watufahamishe. Nimekuwa nikiwasikia NEC wakitaja matokeo ya urais na mwisho wanataja nafasi za wagombea watatu wa kwanza kwa misingi ya majimbo badala ya idadi...
Mwalimu na mwanafunzi wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, mkoani Kilimanjaro wakikabiliwa na mashtaka matatu ya uchochezi na kuchapisha matoleo ya aibu kwenye Mtandao wa Facebook dhidi...
Naangalia ITV apa NEC wanatangaza matokeo wakati Lewis anataka soma ya ubungo wenzake wakamtonya kwa sauti ndogo ila nkaidaka ITV watakaondoa mike kuwa yana marekebisho ayo akayaruka na kuendelea...
NEC ya CCM ambayo inajiita NEC ya uchaguzi, msituchagulie watanzania Rais, tunajua watanzania wamemchagua Dr. Slaa kuwa Rais wao. Mkilazimisha kumtangangaza JK, huyo atakuwa Rais wenu NEC...
Wana JF,
Kutokana na kuwa JK atashinda kwa asilimia kama 60% hivi, Je baraza lake la mawziri atalifanya la mchanganyiko na upinzani au ni wana CCM wata tawala safu zote za wizara??
Je nani...
Chadema. Kama kuna fumbo Mungu ameweka juu yenu ni juu ya familia ya Nyerere. Haya ni maoni yangu binafsi. Yanaweza kupuuzwa ama kuungwa mkono. Sitajali. Ila nitasimama katika maono yangu.
Ndoto...
Wameitisha Press Conference imehutubiwa na Naibu Mkurugenzi bwana Jacky Mugenzi kuwa hawahusiki kwa namna yoyote na uchakachuaji wa kura za urais.
Source: Mimi mwenyewe
==========
Usalama wa...
MBUNGE mteule wa Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango Malecela, amesema miongoni mwa mambo yaliyompa faraja kwenye uchaguzi wa mwaka huu ni kurejea bungeni kwa wabunge wa CCM ambao ni makamanda...
Mkurugenzi wa kampuni ya vinywaji Coca Cola na mjumbe wa Nec mwita Gachuma amezungumza na waandishi wa habari na kukanusha madai kuwa alikaa kikao na J. Kikwete, Ridhiwan, Rostam Aziz na Lowasa...
naona wengi mnakimbia ukweli. kama alivyokuwa mrema wa vunjo, ndivyo alivyokuwa zito, alimuunga mkono mgombea wa chama tofautu na kumgeuzia kisogo mgombea wa chama chake (kafulila) na kushinda...
Ufisadi uliokithiri kwenye serikali ya CCM ambayo inaongozwa na mmoja wa mafisadi waliotajwa na Dr.Slaa, huyo si mwengine ila bali ni Kikwete. Watanzania tusitegemee kabisa kuwa bei za bidhaa na...
Kuna tetesi kuwa yule fisadi wa kutisha mwenye kesi ya matumizi ya ofisi ya uma vibaya yuko hospitali anatibiwa presha baada ya kuwekeza mabilioni ya kutosha kwenye kampeni na kuambulia patupu...
An albino has been elected as an MP in Tanzania for the first time. "This win is a victory not only for me but also for all the albinos in this country," Salum Khalfani Bar'wani, from...
04/11/2010
Kamanda wa kanda maalumu ya kipolisi ya mkoa wa Dar Es Salaam, Suleiman Kova amesema jeshi la polisi limepokea habari za siri kuwa kuna makundi ya watu wanaohamasisha wananchi kwa...
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini maneno ya Dr Slaa na pia nilibahatika kufanya naye mahojiano na yeye anasema hivi:
1. Anataka haki ionekane ikitendeka. Kama A amepiga kura kituo B na kupata...
Wana JF,kwa wale waliokua wanafuatilia kampeni za JK alipokua Rombo aliwaeleza kuwa Mramba ni panga la zamani lakini makali ni yaleyale(haliishi makali),hii kauli ilichukuliwa na Mgombea wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.