Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kuna taarifa ya kuwa Edward Lowassa ameanza mikakati ya kuusaka Uspika wa Bunge la 10 la Jamhuri ya muungani wa Tanzania.
0 Reactions
34 Replies
4K Views
:nono::nono: “UTAJIRI unaotokana na wizi wa mali ya umma, na wizi wa fedha za kigeni na unyonyaji na uharamia wa aina mbalimbali, hautupunguzii umaskini wetu, bali unauongeza. Chama chetu hakiwezi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimemsikia mwenyekiti wa NEC anadai kuwa wao wanahakiki matokeo ya urais yanayotoka kwenye majimbo na wakigundua yamekosewa wanayarekebisha.Hapa kwa kweli, sijamuelewa!anahakiki vipi wakati...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jaji Lewis amepata kigugumizi kujibu hoja aliyoulizwa na waandishi wa habari kuwa matokeo anayotangaza yana ukweli ndani yake, alionekana kutetemeka sana huku maneno yakimtoka kwa kukatika katika...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Baada kutangazwa mshindi wa Ubunge kwa jimbo la Vunjo, mbunge mteule kwa tiketi ya Chama Cha Tanzania Labour Party, TLP, Augustine Lyatonga Mrema, ameibuka na kumuomba Rais atakayeingia madarakani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbunge wa CCM Mchungaji Mwanjale [ aliwahi kupata ubunge kwa ujanja katika uchaguzi mdogo miaka ya nyuma] amevamiwa na wananchi wenye hasira baada ya kuhonga tume ya uchaguzi, na kumfanya ashinde...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
JK na washirika wake wakuu, Lowasa na Rostam, wakiendelea kutawala kwa miaka 5 ijayo wa-Tz tujiaandae kuona sehemu kubwa ya nchi yetu imeuzwa na sisi wenyewe tumeuzwa utumwani kwa Waarabu na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati mwenyekiti akisoma matokeo ya uraisi, ghafla ikaja karatasi ya kule ubungo akasema tu ubungo na kuiweka kando nafikiri walikuwa wanarudia, na ilipokuja matokeo ya kule ukerewe ambapo Dr...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwizi wa kura ni sawa tu na mwizi wa kuku. Amri ya saba inasema USIIBE. Haijasema usiibe kuku lakini kura iba tu! Mwizi anashughulikiwa kwa staili yake. Binadamu tuna staili yetu na kuku wana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa walioangalia kutangazwa kwa matokeao ya Uraisi na Tume ya Uchaguzi jioni hii kupitia ITV, Judge Lewis Makame alipata kigugumizi kutangaza matokeo ya jimbo la ubungo, na kuonekana na kusikika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
KURA % P. Mziray 80,830 1.1 J. Kikwete 4,535,063 62.2 W. Slaa 1,727,583 23.7 I. Lipumba 649,642 8.9 H. Rungwe 18,250 0.3 M.MUHANYWA 11,801 0.2...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hi wandugu! NInaomba mnijuze mwenzenu niko nyuma kidogo hasa kwa kuwa siku mbili hizi nilikuwa nje kabisaa ya mawasiliano ya aina yoyote ile. naomba kufahamu idadi ya viti vya ubunge tulivyochukua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
..nimeshangazwa na kitendo cha TBC kumuacha Mkapa atoe maneno machafu-machafu ambayo hayastahili wakati wa kampeni au kusikilizwa na watoto. ..kwanini TBC hawakumkatia matangazo kama walivyofanya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa ufupi na taarifa rasmi nilizopata pale SHINYANGA MJINI hali si nzuri na Halimashauri ya mji ilishapigwa moto juzi...... matokeo ya ubunge yalitangazwa mida ya sa moja usiku jumatatu CHADEMA...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
http://www.afrobarometer.org/papers/AfrobriefNo59.pdf I find this site useful Ni somo zuri kwa wabunge wetu na wananchi
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Kila mpenda mabadiliko amehuzunishwa na matokeo ya uchaguzi hasa kwa sababu haki haikutendeka. Lakini ni muhimu kufahamu kuwa kuhuzunika tu hakutoshi. Ni muhimu kukumbuka kuwa kazi ya kuleta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kubwagwa na mgombea wa CHADEMA, ndugu Philip Marmo(mgombe ubunge: CCM- Mbulu) yupo Haydom akipata matibabu. Hata hivyo inasemakna kuwa hajalazwa Hospitalini bali yupo katika nyumba ya...
0 Reactions
41 Replies
8K Views
kufuatia matokeo ya uchaguzi 2010, ambapo inaelekea kuchachuliwa kwa namna mbali mbali hivyo kupotosha utashi na matumaini wa watanzania, hofu ya watu /yangu ni hatima ya vyama vya upinzani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ITV live hapa jaji mstaafu Lewis Makame alipofika kusoma matokeo ya Jimbo la Ubungo akapatwa kigugumizi ndipo mkurugenzi wa NEC akamwambia eti Jimbo la Ubungo linarekebishwa bado aklaliruka baada...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
http://www.afrobarometer.org/papers/AfrobriefNo1.pdf Kumbe yule mzee wa NEC alikuwa anarefer research ya mwaka 2002 kuhusu democrasia ya Tz. Sio mtaaramu wa research ivi waweza konclude...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Back
Top Bottom