CCM Wameshawaona Watanzania Wajinga Kama Wao na Matokeo Ndio Haya. Hatushangai Kwani Mugabe, Museven, Mwai Kibaki, na Kagame Wote Si Ndivyo Wanavyoendesha Nchi Zao. Huu Uchanguzi CCM Hawakushinda...
Ingawa alikuwa mwanzilishi wa CCM, kwa nia njema ya kuendeleza mapinduzi katika nchi yetu, miaka ilivyozidi kwenda Mwalimu Nyerere alishuhudia jinsi CCM ilivyobadilika na kuwa mzigo kwake na pia...
kila kukicha viongozi wa ccm wamekuwa wanatumia jeshi la polisi kwa maslahi ya ccm kana kwamba lipo kwa ajili ya chama chao lakini wakae wakijua kuwa haki zinazodaiwa na wananchi wa tabaka la...
Ridhiwani Kikwete alipokuwa akijitetea mbele ya vyombo vya khabari kuwa hakuhudhuria kikao cha Mwanza ambacho Dr. Slaa alidai kiliweka mipango ya kuchakachua matokeo ya kura za uchaguzi hakutoa...
Kuchakachua ni kuchanganya chema na haramu lakini KUSUKUTUA ni kuweka chema ndani (mdomoni) na kukigeuza kuwa takataka.
Hicho ndicho ambacho CCM wamekifanya, hawajachakachua ila wameukutua.
Habari...
TEMCO: Wakuu wa mikoa na wilaya waliisaidia CCM kampeni Send to a friend Thursday, 04 November 2010 08:55 0diggsdigg
Exuper Kachenje
TIMU ya Waangalizi wa ndani wa uchaguzi mkuu (Temco) imetoa...
This week, see a clever new way to prevent vote fraud, and learn 7 ways games make your brain feel good.
Japo bado tupo mbali kitekinolojia, pengine juhudi zikifanyika, tutapunguza "uchakachuaji"...
Prof Baregu alikuwa Mwenyekiti wa Kampeni ya Urais ya Bw. Mrema mwaka 1995 ambapo kulikuweko na uchakachuaji mkubwa wa kura uliomwezesha bwana Mkapa na CCM kuupora ushindi na kuwa Rais wakati Bw...
Ra ndo anaongoza nchi nani asiyejua,na hivi kikwete kaoa dada yake anawapelekesha kama nini,oh slaa mhuni yeye mbna kamuoa mtoto wa meji zakia naye muhuni vilele
Ndugu wana jamii
Ninaomba kuwaasa watanzania tuombe wagombea wote wakubali matokeo. Nimeshawishika kwamba matokeo ni sahihi kabisa kwa sababu wametoa matokeo jimbo kwa jimbo na taarifa zote hizi...
Nimesoma taarifa kuwa mmoja wa mafidadi na watu hatari sana katika muelekeo wa nchi hii, Andrea Chenge, amechukua fomu ya kuomba kugombena nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
Ingawa alikuwa mwanzilishi wa CCM, kwa nia njema ya kuendeleza mapinduzi katika nchi yetu, miaka ilivyozidi kwenda Mwalimu Nyerere alishuhudia jinsi CCM ilivyobadilika na kuwa mzigo kwake na pia...
Ingawaje uchakachuaji ulijitahidi kushika nafasi yake, lakini nashukuru mungu upinzani utakuwa wa ukweli Mjengoni mwaka huu ila sijajua huyu mdau(JK) hadi hivi sasa amefikisha % ngapi?
Shida salum, ambaye ni mwenyekiti wa CHAMA CHA WALEMAVU TANZANIA( CHAWATA) amesema matokeo ya uchaguzi mkuu yamechakachuliwa hata yeye anaushaidi wa JIMBO la kigoma kaskazini
source EATV(CHANEL 5)
Hizi ni Campaign Gani tena,, kama ni ndugu yake si ange kaa kimya kuliko kumdhalilisha kakayake? Hebu tazama hii Habari hapa chini, Huyu Kyabo ninani hapa Tanzania kwani, Maana mi namfananisha na...
Kipindi hiki cha uhesabuji wa kura karibu kimemalizika na kilichobaki ni kutangazwa kwa mshindi wa mgombea wa uraisi kwa tanzania bara, hivyo basi slaa inabidi akubaliane na matokeo na sio kuanza...
Nyeti nilizozipata toka kwa mtu wa jikoni ndani ya CCM ni kuwa kuna makubaliano kati ya CCM na baadhi ya vyama vya upinzani wa kupewa (favor) baadhi ya majimbo upande wa bara kwa lengo la...
Wandungu,
Jana nilikuwa natazama TV nikaona Jaji Makame anataka kutangaza matokeo ya Jimbo la Ubungo halafu alipogundua kuwa ni yale yaliyochakachuliwa akaacha maana Slaa alishinda (na alipeleka...
Ilitamkwa waziwazi na viongozi akiwemo na mgombea urais ccm kuwa LAZIMA WASHINDE kwa zaidi ya asilimia 80, hili lilitiliwa mkazo na wasomi wasaliti kama prof. Mukandara kupitia taasisi zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.