Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Jerry Okungu I have observed these Tanzania elections with a lot of interest as an East African and wrote about them in the past in various newspapers in this region. The reason Tanzania’s...
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Kama kuna mambo watanzania wengi walikuwa wanatarajia kutokana na utabiri feki wa sheikh Yahya basi kuona uchaguzi mkuu unasimama kama ilivyotokea mwaka 2005.Uzushi wa mtabiri huyu ni kuwa mmoja...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Inasitikisha kuona kwamba michango karibu yote iliyotolewa kwenye blog hii mpaka sasa haisemi ni nini kifanyike ili kuweza kuepukana na janga hili linalonyemelea nchi yetu. Kwa maoni yangu...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Yule mwndishi aliyejibiwa na mtu wa Tume ya Uchaguzi jana baada ya kuhoji kucheleweshwa kwa matokeo majimboni bila sababu za msingi, kweli inaonyesha hawa jamaa hawachagui majibu kulingana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkuu wa wilaya ya Masasi,mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM(NEC-CCM) na kijana machachari ndani ya chama cha mapinduzi Nape Nnauye,Je atapoteza umaarufu ndani ya chama chake hasa baada ya jimbo la...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi hadi sasa CHADEMA, CCM, CUF, NCCR-Mageuzi, TLP,....... imeshachukua majimbo mangapi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kikwete atakua Raisi wa vijijini tuu? Ili Raisi uheshimike lazima uwe na support kubwa ya wasomi na miji mikubwa ya nchi yako, kinyume chake unakuwa Raisi kivuli. Tumezoea kuona kwenye nnchi za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jana tar 04 nov 2010 wakati wa kutangazwa kwa matokeo ya kura za urais, tume ya uchaguzi iliwakaribisha waandishi wa habari waliokuwepo kuuliza maswali. Moja kati ya maswali yaliyoulizwa ni madai...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Yaani taifa la Tanzania tunakoelekea siko.matokeo ya uchaguzi yanatumia muda wa wiki moja nzima!hatuna budi kujiuliza ya kwamba kwa nini chaguzi zilizopita zilikuwa zikifanyika kwa muda mfupi tu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sote Tumeshuudia Rafu za Uchaguzi ambao umemalizika kwa kumpatia bwana Mkubwa Ushindi wa Mezani Kama walivyokuwa wamepanga wao. Lakini wasikae wakajidanganya na wajione wao ni clever sana kuliko...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Yule mtabiri aitwaye sheikh yahaya alitoa utabiri kuwa uchaguzi utaahirishwa kwa kuwa jambo baya litamtokea mgombea sasa atajitetea nini? Maana uchaguzi umefanyika. Kuhusu mtu kufa ghafla...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hebu tunaomba tupewe gharama za uchaguzi za CHADEMA walizotumia na kilicho patikana ili tujue kama kuna faida au hasara ?
0 Reactions
63 Replies
5K Views
Miezi kadha iliyopita, Mzee Mwanakijiji aliweka thread humu JF ikisema ngome za upinzani zimedorora katika miji mikuu hapa nchini. Thread hiyi iliibua post nyingi, nikiwa mmojawapo na nilisema...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watanzania ni wepesi wa kusahau, tukirudi nyuma miaka miwili tu iliyopita, Tanzania ilikuwa inayalipa makampuni ya kufua umeme ya Dowans (T) Ltd shilingi za kitanzania 152 milioni kwa siku. Sawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanaokishutumu CHADEMA kuwa ni chama cha undugu, inawezekanaje kuweza kukubalika Tanzania nzima? mf. kwa tathmini yangu ni kwamba wananchi wameweza kuchagua wabunge kutoka Mashariki -...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nasikia waliopiga kura mwaka huu ni kama 7,500,000 kati ya 19,600,000 waliotarajiwa ambao ni sawa na 38%. NEC watatuambia nini, tutaliaminije hilo Daftari lao kama ni sahihi? Maswali ni mengi...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
kwa mfumo huu ni wazi kuwa CCM, NEC, na taasisi zake vimefanya ubakaji kwa kuyasasambula matokeo ya wabunge na uraisi ili kumpa nafasi Kikwete na kundi lake la mafisa kuhakikisha kuwa wanaendelea...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Here's how ruling party can control Tanzania till 2031 By Charles Onyango-Obbo (email the author) The votes in Tanzania’s October 31 election were counted well before the vote, according...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
( Makala hii imechapwa kwenye Raia Mwema, Novemba 3, 2010) Na Maggid Mjengwa, MTOTO anayetegemea maziwa toka titi la mama anafanyaje anapolikosa? Jibu lake; mtoto huyo atahangaika sana, na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom