Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wengi wetu tunamtazama kikwete kwa jicho hasi kutokana na namna anavyoongoza nchi. Wananchi wengi mitaani na kupitia vyombo mbalimbali vya habari wamekuwa wakimlalamikia kikwete kuhusu hali ngumu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rev. Masanilo tunaomba Picha tumalize ubishi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JK, tunaomba ukubali kushindwa tu ili kuinusuru nchi kutoka makucha ya wezi, wauza unga, na wafuasi wa Al Kaida.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Unapomsikia mpendwa wetu mheshimiwa Dr Slaa akilalamika juu ya wizi (uchakachuaji) wa kura ambao CCM imefanya dhidi ya chama chetu kitukufu unaweza ukadhani ni mtu anayetapatapa baada ya kufanya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Niko kwenye maombi kumuomba Mungu ili baraza la mawaziri lisiwe na mafisadi papa
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Uslama wa Taifa na CCM mbona hiyo Barua hamuikanushi? Kinana ulitegemea mkutano huo wa uchakachuaji waalikwa na waandishi wa habari? Usitufanye wajinga watanzania.mnababaika.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natoa maoni kama mpenda mabadiliko na mwanachama wa CHADEMA. Matokeo ya uchaguzi yametolewa, lakini katika hali inayoashiria kuwa hatukupata kile tulichostahili kupata. Pamoja na hujuma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wale IT people Tengenezeni Kura ya Maoni ya Kutomtambua Kikwete na Tume Ya CCM-NEC. Lets make Statement to these crowns. Tuzipulbish na Kila Mahali Ataposafiri Mikoani na Nje ya Nchi Tuta Make...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wanajamii, Hivi inaingia akilini kweli kwamba ni wa haki kama hili jambo/mabo yaliyotokea katika jimbo la segerea, kwamba mgombea anakamatwa na masunduku ya kura na ambayo hayaonekani katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kimkakati inawezekana kabisa kwa pamoja kumsaidi DR. Slaa awe Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania. Hapa ndipo pa kupima uwezo wa wanamkakati wetu wa CHADEMA katika kufanya Lobbying.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kiravu mwogope mungu acha unafiki ogopa dhambi wizi wa kura ni uhaini mbaya saana mwogope mungu achia ngazi usirudi kutufundisha neno mnafiki mkubwa wewe. Jambazi mkubwa wa kura zetu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nasikia Makame anataka kujiuzulu kwa aibu, baada ya kubaini alipotoshwa na UWT -- ila tu baadhi ya makamishna wazee wengine wanamsihi abakie madarakani hadi zoezi la kutanbgaza matokeo liilshe...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Ingawa alikuwa mwanzilishi wa CCM, kwa nia njema ya kuendeleza mapinduzi katika nchi yetu, miaka ilivyozidi kwenda Mwalimu Nyerere alishuhudia jinsi CCM ilivyobadilika na kuwa mzigo kwake na pia...
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Wanabodi, Matokeo ya Urais kwa Majimbo Tanzania, yanakamilika usiku huu ambapo mshindi JK atatangazwa rasmi kesho saa 10 jioni pale kwenye viwanja vya Karimjee na kuapishwa Rasmi Jumamosi Saa...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Wakuu muanagalieni Kinana mlimani TV anamponda Dr slaa kwamba ni muongo na mzushi.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hapo mm sielewi jamani mbona kiravu anajibu maswali kama kada wa ccm sio mkurugenzi wa NEC?:sad:
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani kuuliza si ujinga, binafsi nataka kujua kama huyu mtu ana walinzi, mwenye taarifa anijibu. Hii ni kwa nia nzuri tuu kuna kitu nimefikiria:evil:.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ingawa alikuwa mwanzilishi wa CCM, kwa nia njema ya kuendeleza mapinduzi katika nchi yetu, miaka ilivyozidi kwenda Mwalimu Nyerere alishuhudia jinsi CCM ilivyobadilika na kuwa mzigo kwake na pia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamii, Kwa kweli nimesikitishwa sana kwa hali ninayoina ikiendelea kwa CHADEMA kuporwa wazi wazi tena bila huruma ushindi wa baadhi ya majimbo. Sasa ni ushauri wangu tuanzishe mfuko...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom