Nimeshangaa kuona Maalim Seif hakuapishwa jana. Nilidhani kuwa yeye kama makamu wa raisi ktk serikali ya umoja wa kitaifa alitakiwa kula kiapo. Naomba mnifahamishe wenye kulifahamu swali hili.
Watu kadhaa kwenye basi moja walikuwa wakijadiliana yaliyojiri Shinyanga; mabomu, vurugu, nk. Wanasema, '..kabla ya kupiga mabomu wanasea, WANANCHI LALA CHINI, NA BAADA YA HAPO MJIOSHE NA VITAMBAA...
Ndugu Watanzania wenzangu wapenda nchi yetu iliyotukuka!
Mungu wetu alipoiumba dunia hii alikusudia viumbe wake wote wafurahi bila kuoneana. Kwa kufuata msingi huu, katika katiba za makundi...
Duh hii nyomi ya Mwanza ilikomaa kinoma kwa matokeo ya Nyamagana kwa kweli Jk na Masha wangeiforce matokeo ingekuwa dhahama....Jionee mwenyewe kwa kweli iko siku haki ya Mtanzania itapatikana tu...
Kama raia wa kawaida itakupa picha gani kama Rais wako akiwarudisha watu ambao walishindwa kwenye kura za maoni za CCM like "kamala" na wale walioshindwa kwenye kinyang'anyiro chenyewe cha kura...
Uchaguzi huu wa mwaka 2010, uwe mwanzao wa watanzania kukataa nchi yao kugeuzwa kuwa ufalme kwa misingi ya kwamba wachache (Kikwete, Lowasa, Chenge, Mramba, Karamagi, Rostam) na wengine wasiozidi...
Mrema ataka apewe "ile Wizara yake" chap chap! 04/11/2010
0 Comment(s)
Baada kutangazwa mshindi wa Ubunge kwa jimbo la Vunjo, mbunge mteule kwa tiketi ya Chama Cha Tanzania Labour Party, TLP...
JIMBO LA LUPA CHUNYA LIMECHUKULIWA NA CCM, NA WALE MAAFISA WA UCHAGUZI WALIOTUHUMIWA KWA UCHAKACHUAJI NA KUSHIKILIWA NA DOLA WAMEACHIWA BILA MAELEZO YA MAANA :peep:
kuna mwenye matokeo ya mpanda kati ambapo makamu mwenyekiti wa CHADEMA anatetetea jimbo lake hilo au bado CCM wanachakachua au wamehairisha uchaguzi jimbo hilo?
WANAJF naombeni majibu.
tetesi nilizozipata kwa siku nzima ya jana kufuatia matokeo ya utata yaliyotangazwa kwa mizengwe ubunge kwa jimbo la kibaha mjini ni kama ifuatavyo:
kasheshe ilianzia kwenye kura za maoni za...
Leo TBC Wameanza rasmi vipindi mfululuzo vya kuwaandaa wananchi kuyakubali matokeo....kwa mtu aliyesomea mawasiliano atagundua pia kuwa kampeni yao inahusisha kuonesha image mbovu kwa vyama vya...
NEC itabidi wakumbuke kwamba "government of the people, by the people, for the people, shall not perish from the earth."
Nguvu ya UMMA ni shuguli nyengine kabisa.....hakuna mtu anayeombea...
KWELI MWAKA HUU NIMESHUHUDIA MENGI YA KUSTAJAABISHA WANACHAMA WA SISIEM WALIKUWA WAMEJUA KUWA WAMESHINDWA VIBAYA UCHAGUZI HUU NA HIVYO WALIKUWA HAWASHEREKEI KABISA MPAKA MAMBO YALIVYOWEKWA SAWA NA...
Wamemvisha mbuzi suti na kuwaambia watanzania kuwa huyo ni mtu, sis itunasema SIYO MTU.
Hakuna shaka kuwa watanzani wengi wenye mapenzi mema na nchi hii wamefuatilia kwa karibu sana pilika...
Uchaguzi wa mwaka 2010 umekuwa somo kubwa sana katika maisha yangu.
Baada ya kuishi miaka 30(umri wangu) katika maisha ya mazoea na kukata tamaa, sasa nina amini nchi hii kuna watu wanaoweza...
nIMESIKIA redion AFANDE KOVA anatuambia kuwa wapelelezi wake wamegundua kuwa kuna watu wanaandaa watu kufanya fujo.Hivi jamani upepelezi gani huu wa polisi mntangaza kama vile ni maandalizi ya...
wananchi wa tarime wamedai kuwa watamkataa kwa njia wanayoijua mbunge mteule wa ccm , nyangwine!
msemaji wa kamati maalumu itakayohakikisha kuwa azma hiyo inatekelezwa haraka na kama...
Nasikia vijana sugu wa Arusha wanaandaa coster na cruiser za kumwaga ili kwenda kushuhudia mp mteule shujaa G.lema akiingia mjengoni.watu wa A-city tupeni details.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.