Wednesday, 03 November 2010
Elias Msuya
MWANGALIZI mkuu wa wa uchaguzi kutoka Jumuiya ya Ulaya, David Martin amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu...
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kusitisha mara moja kutangaza matokeo ya urais kwa madai kuwa...
Ni ukweli uliyo dhahiri kuwa zoezi zima la uchaguzi liliendeshwa kwa njia ambazo zinaonekana kukipendelea chama tawala na kwa sasa kilichobaki ni kwa sisi watanzania ambao tunataka kutoka kwenye...
Katika mahojiano kati ya BBC na Dr. Slaa leo jioni Raisi wetu Mtarajiwa Dr. Wilbard Slaa ametuhakikishia ya kuwa ameshinda Uraisi kwa kura zaidi ya milioni 15.........
Akitoa mfano wa...
Natafakari, najipa jibu kisha najichukia kuwa Mtanzania. Hapa tunashutumiana: mara CHADEMA TUMECHAKACHULIWA.....mara CCM tutaongoza milele... mara hata nyie mkipewa mtafisadisha. Lakini swali LI...
Wakati huo huo, watu wawili akiwemo msimizi mmoja wa uchaguzi kutoka kata ya Segerea wanadaiwa kukamatwa na nyaraka kadhaa za tume ya uchaguzi, ikiwamo mihuri nje ya kituo cha kujumlisha kura cha...
Humu katika JF kuna baadhi walikuwa mawakala wa vyama wakati wa mchakato wa kura.nimefanikiwa kuona nakala za matokeo walizopewa mawakala baada ya kuzisaini.Matokeo yalibandikwa pia kwenye...
Watanzania ni watu wanaopenda saana kupiga soga. Na hakuna kipindi ambacho michapo huwa mingi mitaani kama kipindi cha uchaguzi. Kwa bahati nzuri, kampeni za kuwania uraisi,ubunge na udiwani...
Can you imagine being a Chairperson, Director or a commissioner For NEC? what will happen after the current regime of Fisadis is out? People will not respect them neither their offspring. It is a...
Leo kwenye uwanja wa Azimio la Arusha kulikuwa na zoezi la kumsimika Bwana Godluck Ole Medeye ukamanda wa vijana Arumeru magharibi.Bwana G Medeye tayari katangaza atagombea ubunge katika jimbo la...
Ndugu zanguni wana JF,
Mimi kama mtanzania nisiekuwa na chama sina budi kuchukua fursa hii kuwapongeza wananchi wenzangu kwa uvumilivu mlioonyesha katika kipindi kigumu cha uchaguzi hasa matukio...
MAWAZIRI wakuu wastaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jaji mstaafu Joseph Warioba, pamoja na mwanadiplomasia wa Kimataifa, Dk Salim Ahmed Salim, kwa nyakati tofauti wametoa maoni...
NINASHANGAZWA NA USHINDI WA KISHINDO ALIYOUPATA BW. ROSTAM ABDULASUR AZIZI HUKO IGUNGA. NI KWAMBA JAMAA AMESHINDA BILA YA KUFANYA KAMPENI YOYOTE HAPO IGUNGA. UPINZANI ULIOONYESHWA NA CUF ULIKUWA...
ROSTAM
Iranian Hero From SAHNAMEH of hakim Ferdowsi
Rostam (Persian: رستم) is a mythical hero of Iran and son of Zal and Rudabeh. In some ways, the position of...
Kamusi ya kiingereza inasema hivi: 'the belief in freedom and equality between people, or a system of government based on this belief, in which power is either held by elected representatives or...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.