Iwe kweli au sio kweli hali inabaki kuwa JK tunaye for the next 5 years Insha Allah
Nini kifanyike ili huu uchakachuaji wa safari hii usijirudie tena na watu wapate haki?
We know they have good...
Wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM pale Chimwaga, Dodoma, wakati wa kupiga kura za kumteua mgombea wa Urais kupitia chama hicho kwa Uchaguzi Mkuu wa 2005, baadhi ya wajumbe waliokuwapo kwenye Ukumbi wa...
ITV imeripoti ya kuwa mgombea ubunge wa NCCR MAgeuzi ambaye alipitwa kaw kura takribani elfu moja na yule wa ccm aliingia mitini baada ya majumlisho ya pili ya kura na hivyo kugoma kusaini...
WanaJF leo katika kufuatalia matangazo ya kuapishwa Raisi wa Zanzibar nimeona jamaa yetu Komandoo hali yake si shwari! Sijui ni nini kinamsibu komandoo wa watu.
By Charles Onyango-Obbo
Send Cancel
Bottom of Form
Posted Monday, November 1 2010 at 12:33
The votes in Tanzanias October 31 election were counted well before the vote, according to critics...
baada ya dk slaa kunyang'anywa uraisi kwa hujuma ya ccm ya kugeuza matokeo na viti vingi vya ubunge chadema kupokonywa isivyo halali inabidi chadema ijipange kuanzia leo kwa ajili ya uchaguzi wa...
Ndugu zangu,
MTOTO anayetegemea maziwa toka titi la mama anafanyaje anapolikosa? Jibu lake; mtoto huyo atahangaika sana, na kama ataliona titi lingine, atalishika alinyonye, hata kama si la...
Tutamkosa bungeni manake amegombea urais na kufanikiwa kuongeza idadi ya wabunge wa chama.
Swali ni je,atakuwa buisy akifanya nini?
1. Kutafuta mabomu na kuwapatia Waheshimiwa Lissu na Mnyika...
Ningependa kufahamishwa njia inayotumika kumpata Kiongozi wa upinzani Bungeni.
(Ni kwa upinzani wenye viti vingi au vyama vya upinzani vyenye viti bungeni vinaweza ungana na kumchagua kiongozi wao?)
Jamani maandalizi ya wizi wa kura yanaanzia mbali. Labda ndiyo sababu CCM huwa wanajitapa kuwa mbinu zao ni za kisayansi. Gazeti la THE CITIZEN la Ijumaa, tarehe 29/10/2010 lilichapisha takwimu...
"No.6 Joseph Mbilinyi a.k.a Mr.2 Sugu asieogopa kuongea ukweli popote hata kama kuna hatari ya moto na mabomu, Tunahitaji Spirit zaidi za aina hii. Hatimaye muziki wa Tanzania utapata wa...
Sitayatambua matokeo ya urais - Dk. Slaa Send to a friend Wednesday, 03 November 2010 05:18 digg
Dk Willbrod Slaa
MGOMBEA urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema)...
KUTOKANA NA MATOKEO YALIYOTANGAZWA NA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA MONDULI FISADI LOWASA AMEPATA KURA 32,362 NA MGOMBEA KWA TIKETI YA CHADEMA AMEPATA KURA BWANA MOLLEL WA CHADEMA AMEPATA KURA...
Mimi ni Mtanzania ninayeipenda nchi yangu.
Nimefurahishwa sana na jinsi Mhe Slaa alivyobadilisha mizania ya kisiasa Tanzania.
Hata hivyo siridhiki na baadhi ya mambo.
1. Ushauri uliotolewa wa...
Daniel Mjema,Moshi
MBUNGE Mteule Jimbo la Vunjo kwa tiketi ya Tanzania Labour Party (TLP),Agustino Mrema,
Jumamosi wiki hii atafanya mkutano mkubwa wa hadhara kutangaza mambo atakayowafanyia...
Heshima kwenu wanajamvi,
Jana usiku nilikuwa natazama BBC,Skynews na Aljazeera vyote kwa pamoja vimeipa umuhimu wa juu kabisa ushindi wa Mheshimiwa Salum Bar'wani mbunge mteule wa Lindi mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.