Kura za udiwani ubunge ni rahisi sana kuzilinda kuliko za urais.
Diwani akisha tangazwa mshindi basi husahau ulinzi wa kura za ubunge. Naye mbunge akisha tangazwa mbunge husahau ulinzi wa kura...
Hii ni poll ya upesi upesi kujua mwelekeo wa fikra za watu.
Je Utakubali matokeo ya Urais pale NEC itakapoamua kuyatangaza?
a) Hapana - Sitakubali matokeo yoyote
b) Hapana - Kama CCM itatangazwa...
TBC1 imeripoti sasa hivi ya kuwa aliyekuwa Mbunge wa Lindi Mjini Mheshimiwa Mohamed Abdul Aziz na ambaye bado ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa alinusurika kipigo cha raia wenye hasira kali baada ya...
Ndugu wanajamiiforums nina maoni yafuatayo kuhusu uchaguzi wa 2015:
1) CCM wamechakachua matokeo ktk majimbo ambayo CHADEMA ilishinda km TARIME, KIBAHA, S'WANGA, SEGEREA, K'MBONI, SHY nk. Sasa...
Katiba ya Tz mparaganyiko wa hali ya juu.
Kama JK bado ni raisi wa Tz mpaka leo then akishinda anaapishwa kwa ajili ya nini wakati bado hajautema huo uraisi.
Na sasa JK anatambulika kama nani...
Katika vurugu zilizo tapakaa mji wa mbeya sasa ivi. Shule xa wasichana Loleza imechomwa moto. Mji mzima umechafuka vikosi vyote vya usalama vya mwagwa mitaan
"Tunatarajia kutoa tamko letu leo kufuatia mwelekeo wa utangazaji wa matokeo ya kura za urais na maoni yetu juu ya yale yaliyojiri kuanzia siku ya Jumapili. Tunashukuru kwa uvumilivu na uelewa...
Huu ni ushauri wa bwerere ingawaje ninapaswa kuwatumia CCM na haswa JK bili ya ushauri huu wa kitaalamu ya kuwa namna pekee ya kuwapooza watanzania ni kuiachia Chadema imteue Dr. Slaa awe spika wa...
So far, matokeo yaliyotangazwa ni ngome za CCM, na CUF, bado matokeo kutoka sehemu nyingine nyingi sana hayajatangazwa, na inawezekena JK ameanguka vibaya sana ndo maana wanachelewesha matokeo ya...
jamani tangujuzi matokeo hapa yalikuwa tayari bt baada ya kufika ksir george kahama mambo yamebadilika,watu jana walipigwa mabomu wakajeruhiwa lakini mda huu bado watu wamejaa niko hapa tangu jana...
KWA MABADILIKO ALIYOYALETA Dr SLAA NASHINDWA KUJIZUIA KUMFANANISHA NA MARTIN LUTHER KING NA HARAKATI ZAKE ZA KUWAKOMBOA WATU WEUSI NCHINI MAREKANI.
HONGERA Dr SLAA WWE NI MWANAMAPINDUZI WA UKWELI...
Naomba sana wabunge wa upinzani tukatae kurudia kuhesabu kura kwa wale majimbo yao hayajatangazwa, ni hatari sana ni sawa na kushika waya wa umeme bila rubber gloves.
Ni kweli mahanga alikamatwa na mabox ya kura..?, kama ni kweli amechukuliwa hatua gani..?, mbona yule aliyekamatwa na karatasi 2 shinyanga amefungwa miaka 3, na vipi aliympatia hiyo karatasi...
From the attached na NyongezaKibaha Mjini,Segerea,Kilombero mnaweza kuongezea.
Sababu kuu ikiwa tofauti ndogo ya kura ikiambatana na uchelweshaji wa kutoa matokeo.
Bila kusahau ushaidi wa wale...
DAUDI Gimbishi (41) mkazi wa Kijiji cha Mwamitumi, Kata ya Ipililo, Wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu, jana amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela bila faini kwa kosa la kutaka kupiga kura...
Wengi wa wasanii wa Bongo flavour Mnachekesha sana mlipokuwa mkinunuliwa kutumbuiza na kipigia debe CCM wakati mwenzenu Mr II alipokataa kutumiwa na CCM na kwenda kujikita upinzani. Haya naona eti...
Ivi kweli kuna mtu mwenye akili timamu asiyejua kuwa NEC wanafanya hila kubadilisha matokeo?
Ivi kweli unaweza kusema huu ulikuwa uchaguzi huru na kweli Tanzania?
NEC wametia aibu Tanzania
CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.