Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ni matumaini yangu wote tumekuwa mashuhuda wa mabadiliko makubwa ya kisiasa na demokrasia miongoni mwa watanzania kwa kufanya maamuzi sahihi hasa katika nafasi za Ubunge. Tumeweza kuona sura mpya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwananchi Election Editions
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapigakura wanaghadhabu nchi nzima na hawaafiki na kile kinachoendelea na hususani sehemu ambazo CCM imefanya vibaya matokeo kucheleweshwa kusomwa au kugeuzwa ili kuibeba CCM............ Haya ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1. Kuna wanafunzi zaidi ya 400 waliotia saini zao wakipendekeza mimi nigombee urais.( Ilikuwa ni siku ya pili tangu nichukue fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Karatu;sahihi 400 zilipatikanaje...
0 Reactions
152 Replies
12K Views
Wananchi, hasa wapenda mabadiliko wamezunguka majengo ya halmashauri wanasubiri matokeo rasmi kwa hamu. Mgombea wa ccm (blandes) alitoweka eneo hilo tangu jana jioni.
0 Reactions
121 Replies
14K Views
Website ya Bunge iko makini. Si kama ya NEC. NEC wanachojua kuchakachua 2.
0 Reactions
2 Replies
995 Views
Ni vituko vilivyojitokeza katika moja ya vituo vya kupigia kura eneo la kituo cha fire, eneo lililozungukwa na kambi ya polisi dr. Slaa alishinda kwa 80%. Na wengine waliopangiwa kusimamia vituo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Buchosa - charles john dr tizeba (ccm); kiteto - benedict ngalama ole nangoro (ccm)
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuwapatia CCM wakati mwingine wa utawala hakika ni kutowatendea haki watanzania, wana nini cha ziada kwa ajili ya watanzaniaaaaaaa??????????
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Uchaguzi umefanyika na kwa kiasi fulani umetoa matokeo yanayoonyesha wanaharakati nchini wanaendelea kuimarika. Lakini najua hii haikuwa target yetu. Unadhani nini kifanyike ili mapungufu ya sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wageni ndio wanaingia. Ni Shamrashamra, nderemo na vifijo kwa Wana Zanzibar.
0 Reactions
22 Replies
5K Views
This is very shame haiwezekani kwa jimbo la Nyamagana akaacha majukumu ya msingi kuja mwanza kulazimisha matokeo yatangazwe ndivyo sivyo kwa kutumia rasilimali za watanzania, kuna nini jimbo la...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Hali ya jiji la Mwanza kwasasa si shwari kama wengi wanavyodhani, kwani imeonekana kama majimbo yote ya mjini yameweza kuchukuliwa na upinzani basi hata mapinduzi yanaweza kufanywa. Ulinzi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimepigiwa simu na mdogo wangu, amenitaarifu baada ya kuchakachua as ussual CCm wameshinda jimbo la karagwe. UNFAIR.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wanaJF mwenye taarifa za mshindi wa kiti cha ubunge jimbo la Ilala anijuze tafadhali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ili kuondoa utata unaojitokeza kati ya idadi ya kura zinazotangazwa na tume na idadi ya kura wagombea wanavyodai kupata. Nashauri badala ya kukaa kimya wagombea ubunge wanaodai kuchakachuliwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu sina nia mbaya na chama chetu cha CHADEMA. Nimejaribu kufikiri kwamba,kuna kura zaidi ya 75000, ambazo huenda tungezipoteza hata kama uhesabuji ungekua fair. 1.Dr (Phd) aliahidi kufuta...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
WITO: Kwa jinsi chama tawala kilivyotumia nguvu za dola kugandamiza wananchi kwa kulazimisha matokeo watakayo wao. Na kwa jinsi hali ya usalama wa nchi inavyoendelea kutetereka kila kukicha. Na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wazazi huwapeleka watoto wao waelimike, wapate maarifa na kuuepuka ujinga. Lakini watoto hao badala yake huwehuka na kutojua wanachokitaka ni nini:sad: HAPO HUANZA KWENDA KWENYE MAWAZO YA WENZI...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nawashukuru wote mliojitokeza kupiga kura na kukipa chama chetu ushindi wa kukumbukwa, ushindi wa kihistoria mkikaribisha mapambazuko mapya ya uongozi katika taifa letu. Kama ilivyokuwa kwenye...
0 Reactions
76 Replies
9K Views
Back
Top Bottom