Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Rose Kamili agoma kusaini matokeo Tuesday, 02 November 2010 19:36 0diggsdigg Mussa Juma, Karatu MGOMBEA wa ubunge jimbo wa Chadema, katika jimbo la Hanang, Rose Kamili ambaye ni mke wa zamani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NIMEFUATILIA KWA KARIBU MNO KAMPENI NA MCHAKACHO MZIMA WA UCHAGUZI ZANZIBAR, KWA MARA YA KWANZA CUF WAMEIBOMOA PAKUBWA NGOME YA CCM UNGUJA. TAFSIRI YAKE KUWA USHINDI KWA CUF ULIKUWA DHAHILI, SASA...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wote tumeponzwa na uvivu wetu wa kupenda kujumlishiwa matokeo na Tume. Matokeo yake hata yalipochelewa hakuna aliyekuwa anaweza kusema fulani ana kiasi gani hata kufanya kauli "lete data" itawale...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani naombeni taarifa kama kuna mtu mwenye data kama huyu mama kashinda maana bado tunamhitaji bungeni hata kama ni wa kijani
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF, Napenda kuwapa habari zilizo jili mitamboni kwetu kuwa viongozi wa CCM katika wilaya hizi 3 Ilemela,Nyamagana na Arusha mjini. Viongozi hawa watakuta katika majimbo yao na kujadilia na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama kuna uchakachuaji wa kura basi wafuatao ndio watwishwe lawama zote Hon. Retired Judge Lewis M. Mkame - Chairman Hon. Judge Omary O. Makungu - Vice Chairman Hon. Prof. Amon E. Chaligha -...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye data amwage zaidi kwani ni habari ya kweli:A S-baby::caked:
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mungu wetu; Ulitupatia Tanzania na watu wake (nikiwemo mimi, na wengine), mbona sasa unaruhusu watu wako wapigwe mabomu kisa wamechagua UPINZANI? Je, wapinzani si wa Tanzania? Je, hakuna sehemu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa mahesabu ya haraka haraka upinzani kwa bara umeongeza viti vya ubunge kwa asilimia 383 kuacha viti maalumu(kutoka viti 6 hadi 29). Hi inamaanisha kwamba kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 upinzani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika post za awali kuna mtu mmoja ameuliza swali hilo, mimi naona nimjibu kwa mtazamo wangu binafsi, kwa ufupi Dr Slaa ataingia Bungeni muda si mrefu, kumbuka huwa kunakuwaga na chaguzi mdogo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni jambo lisiloingia akilini eti kikwete amemzidi Dr. Slaa hata kwenye majimbo ambayo wagombea ubunge wa Chadema wameshinda. Wananchi wengi mitaani wanashangaa na wanashindwa cha kufanya zaidi ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nina anadika kama Mtanzania ninayeipenda sana nchi yangu na ambaye nimekuwa na kiu sana ya kuona matokeo ya kuwa na vyama vingi vya siasa. Kwasababu vyama vingi vya siasa vinawezesha kuwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari nilizipata hivi punde kutoka kwa jamaa yangu ambaye ni askari pale Arusha anasema kuwa hadi jana saa 2 asubuhi matokeo ya jimbo la Arusha Mjini yalikuwa tayari, lakini Batilda alikuwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kutokana na mapinduzi haya ya Kihistoria ya Kisiasa kutokea katika nchi yetu nadhani sasa tunahitaji SPIKA MPYA wa bunge ili mambo ya KIUNDUGU NA KUJUANA KWA SANA iwe mwisho, Wabunge wawe huru...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Natumaini uchaguzi ulienda salaama huko tz. Hatuwezi kusema mengi, lakini ninachoshangaa ni kwamba Mheshimiwa Slaa toka uchaguzi umeanza hajasema kitu chochote kile. basi tunatumaini kusikia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii itakuwa mwongozo mzuri sana kwa kulinganisha na huu uchakachuaji wa kipumbavu. Naungana na wale waliosema wangetamani kuwa ma sniper. Naamini ndicho dk waukweli na timu yake ndicho wanachofanya
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Tunawaomba wanahusika kujumlisha kura kwenye majimbo watuambia kama haya matoke yanayotolewa na Tume yanareflect ukweli-Jamani hata Hai na Iringa mjini ccm wanaongoza!!Mi nahisi kuna mchezo mchafu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa matangazo ya Radio one kura za ubunge, urais na udiwa ni Babati mjini zinahesabiwa upya....
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Yanaanza CCM Na Upinzani at the end. MAJIMBO YAPO 239 IN TOTAL..... 1 Ubunge Tanga - Omar Noor Rashid/CCM CCM 2 Ubunge Busanda - Bi. Lawrencia Bukwimba/CCM CCM 3 Ubunge Geita -...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Mimi wala sina haja ya kusubiri wantangaze... Mtu ninayemtambua kuwa ni president wangu ni Dr. wa kweli. mkwere na ile chekacheka ni aibu eti jamani basi tu.. huwezi kumwita president..! Ni aibu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom