Dr.Slaa,Freeman ..na wapiganaji wote !!
Kwa wale waliopata nafasi za kuingia bungeni kama washindani wa CCM MJue kwamba nyie ndio mtaleta mabadiliko kwa mika mitano ijayo !
CCM ni Banzoka...
Viongozi wa Chadema,
Wananchi tunashangaa kwa nini NEC imeanza kutangaza matokeo ya urais kutoka kwenye majimbo ambayo chadema haiungwi mkono sana. Binafsi ninakubaliana na wazo la mwana JF...
baada ya matokeo ya kulibakiza jimbo la karatu wafuasi wa chadema walijitokeza kila kona kushangilia ushindi huo lakini cha ajabu walikuwa na bendera na wengine wamevaa mavazi ya ccm zikiwemo...
hii haijakaa njema ccm inatangazaa kukubali matokeo waliposhinda wao kiulaini lakini hali inapokuwa ngumu wao ndo wa kwanza kkuweka ngumu,,,,,,,,,,,,hii haijatulia
Wadau mnaona wizi wanaotaka kufanya hawa Mafisadi? Yule kibabu wa NEC bw. MAKAME kasema kuwa eti matokeo yote yatakamilika baada ya Siku mbili zijazo. Kwanza waliahidi ndani ya siku tatu...
kuanguka kwa waziri masha aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani na mbunge jimbo la nyamagana na waziri wa siku nyingi mhe anthony diallo na mbunge wa jimbo la ilemela licha ya mikakati mizito...
Kweli wanastahili pongezi kwa kuwasimamia vizuri wadai haki wa chadema walipokuwa wamekusanyika mbele ya jengo kuu la manispaa ya arusha kusubiri matokeo rasmi ya ubunge kutangazwa baada ya mama...
Kuna mengi ambayo NEC ya CCM iliyafanya na ambayo yamechangia kuufanya uchaguzi huu usio wa huru na wa haki.........kwa kuanzia ilifanya haya yafuatayo:-
a) Ilikubaliana na vyama vya siasa kuwa...
Ni suala linalozidi kuwa wazi kuwa NEC inatangaza matokeo kule ambako CCM imeongoza. Kule wapinzani wanapoongoza hasa hasa CHADEMA hawatangazi! Na kuzuwia kusoma matokeo kwa majimbo kama Ubungo na...
Akionesha kana kwamba anaheshimu Tume ya Uchaguzi lakini si kweli, Kinana ameamua kutangaza final tally ya kura za UBunge na kuonesha kuwa kwenye tathmini yao wao walikuwa wanatarajia wapinzani...
IRINGA MJINI IMEPOROMOKEA CHADEMA!
Taarifa hizi ni za kuthibitisha. Mch. Peter Msigwa ( CHADEMA) ameibuka mshindi akimwacha nyuma Mama Monica Mbega (CCM)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.