pengine iwekwe hadharani kuwa tume ya uchaguzi ni moja ya taasisi zilizowekwa kwa ajili ya kuibeba ccm. Hii imewekwa wazi na mmoja wa wapiganaji wetu ambae amesema wazi daima ccm imejiwekea...
naomba nitofautiane na wengi wetu hapa JF.
mtu anapoleta habari si lazima awe na data. hata tetesi, uvumi, umbea nk zote ni habari ili mradi zisiwe za uongo.
hata ukichunguza habari nyingi...
Paste Update please:-Hadi sasa ....!
Chadema viti vya Ubunge ----------- ??
CCM viti vya Ubunge ----------- ??
CUF viti vya Ubunge ----------- ??
Viti vya ubunge Tz...
Waangalizi wa Commonwealth wamefyatua taarifa yao ya awali ya kutathmini chaguzi yetu bila ya kujua ya kuwa haina tambuzi kuwa hatuna Tume huru ya uchaguzi ila tuna Tume ya Uchaguzi ya chama cha...
Wakuu hebu tulist majimbo amabayo yalikuwa na utata mkubwa wa kujaribu au kufanikiwa kuchakachua kura za Wadanganyika....
Mie naanza na 1. Shinyanga 2. Kigoma Mjini 3.....
Mhe Slaa,
Umejitahidi sana kuongeza changamoto katika medani za kisiasa Tanzania. Umeipandisha chati Chadema na huenda wewe kama mgombea wake ukapata 20% ambayo itakuwa ni historia kwa chama na...
Huu ndio ukweli. Juu ya mwamba huu (ushindi wa upinzani majimboni) tuko katika maandalizi ya dhati ya kujenga taifa la kudumu. Jk analenga urais tu kwa sasa ila udiwani na ubunge kavisusia kwa...
Haya ni matokeo ya Kikwete kuleta urafiki na nani alinisaidia wapi. Nawasihi viongozi wa CCM achaneni na huyu jamaa ameshaua chama jipangeni, na sasa kuna vilaza wake ambao wanalia apate iti ili...
Taarifa za jikoni zilizonifikia Masha akabidhi mizigo ya ukurugenzi wa Emma Advocates kwa binti Karume!! Ajiandaa kutimkia USA alikokulia!!! Hahaa aibu yake hiiiiii!
jamani embu someni barua zilizosambazwa na halmashauri kufuatia kikao cha kikwete na rostam ziz na makada wengine wa ccm kuhusiana na kuchakachuwa matokeo.
Mbona sijaona mahala CUF imeshinda ubunge bara kama wenzao akina CHADEMA hata nccr mageuzi.Au nimepitiwa tu.
Nilisikia Mbeya,Mtwara halafu Tanga na bUKOBA,lakini sijaona !.
Kipindi hiki cha uchaguzi, nimeona mabadiliko katika utendaji wa jeshi la polisi kitu ambacho kimenifanya niandike hii post kulipongeza. Kutokana na vurugu ambazo zimekwishatokea, ni wazi raia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.