Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mimi binafsi nampongeza sana Dr. Slaa na CHADEMA kwa uamuzi wao wa kuwania uraisi, maana kwa kufanya hivyo, wameweza kutangaza chama na kuwanadi wabunge na madiwani wetu kwa mafanikio makubwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Najaribu kuwaza Nakaaya Sumari atakuwa na hali gani kwa sasa, hasa baada ya kuanza kushuhudia kwa macho yake maana halisi ya Peoples Power, nakushuhudia mabesti zake almost wote aliowatelekeza...
0 Reactions
72 Replies
10K Views
Wana JF wa Arusha Fuatilieni eti Batilda amejifungua Mount Meru Hospital?:caked:
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kulingana na mwenendo wa matokeo ya kura za uachaguzi wa majimboni na ya uraisi,kuna kila namna ya sababu kulaumu juu ya ucheleweshwaji wa makusudi wa matokeo ya majumusiho majimboni.ukweli ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MWENYE DETAILS PLEASE KUHUSU mR.CHENGE
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huwa inaanza kama utani. Leo wanadhulumiwa kura zao tunasikia kuwa wanarusha chupa za maji. Lakini naamini kuwa hasira inavyoongezeka, kesho hizo chupa zitarushwa zikiwa zimejaa petroli, then...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani Vipi kuhusu Segerea? Kama kuna mwana JF ana data atujulishe
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kura zinapohesabiwa vituoni na mawakala kuweka saini za kukiri kuwa matokeo ni sawa ni ushahidi unaojitoshereza kwa CHADEMA kutumia katika kufanya malinganisho ya kura zilizo kwenye karatasi ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kutokana na hujuma zinazoonekana kufanywa na tume ya uchaguzi kwenye matokeo ya urais, mhe john john mnyika mbunge mteule wa jimbo la ubungo na naibu katibu mkuu wa chadema tunakuomba uhamishie...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wadao naomba kupata matokeo ya kawe.
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Mkuu wa MKoa wa Dar-Es-Salaam wa enzi zile aitwaye Chipungahelo au "Mama Chips" aliwahi kusema kwa kutamba.........."where Dar goes the nation goes......" Kwa majigambo hayo hayo ni dhahiri...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ushindi wa Mr. II unadhihirishia watanzania kuwa haki ya mtu haipotei na ikipotea ikatafutwa hupatikana. Hongera sana Sugu kwa kusaka haki yako hadi kimeeleweka. Walikupokonya kinjiwa sasa umepewa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba sana tujue ya kuwa mapinduzi haya makubwa yanayoendele kutokea sehemu malimbali kwa wabunge wa CHEDEMA kupta ktk majimbo mbalimbali ni kwasababu ya SHUJAA mmoja ambaye alikubali kwenda...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapendwa wanajamii wenzangu naomba nielimishwe kama kuna uwezekano wowote wa mheshimiwa Dr. Slaa( PhD YA DARASANI) kupata ubunge wa viti maalumu ikitokea kwa bahati mbaya ccm wakafanikiwa...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Hii ni habari ya uhakika, Kamanda J.J. Mnyika amelitwaa jimbo la ubungo baada ya NEC kushindwa kuchakachua kura.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Dk Shein akizungumza na wananchi wa Zanzibar mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa nafasi ya Urais Fidelis Butahe CCM jana ilifanikiwa kunyakua tena kiti cha urais baada ya mgombea wake, Dk...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunaomba mwenye hali ya Mzee Sumari kule Arumeru East atuhabarishe.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wanajamii mbona matokeo ya urais yanatangazwa kwa kusuasua natena kwa upendeleo"naimanisha yanatangazwa kule mgombea wa urais wa CCM anakubalika!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nasikiliza BBC hapa, tume inadai haijatoa matokeo mpaka sasa kwa sababu software mpya ya kuload data za uchaguzi inawafanya wawe too slow. Kwa hiyo wamekubaliana na vyama husika kutumia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
KIJANA aliyejulikana kwa jina la Matekele Mbayi mwenye umri kati ya miaka 18 hadi 20, mkazi wa Manispaa ya Musoma, Mkoani Mara amefariki dunia baada ya kupigwa na wafuasi wa Chadema wakati...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom