Inasikitisha kuona kuwa vyombo vya habari vinashindwa wanashindwa kutangaza matokeo ya kura za urais katika majimbo ambapo kura zimekwishatangazwa kwa kisingizio kuwa wanasubiri matokeo hayo...
Mwanzoni NEC ilituahidi matokeo ya Uraisi yangelitangazwa Majimboni lakini baadaye NEC ikageuza utaratibu huo na kuamua yatumwe Dar-Es-Salaam ili wao wenyewe pale Dar ndiyo...
Ndugu zangu watanzania, kama mnavyofahamu, NEC ilipoona mwelekeo wa matokeo ya Urais, mara moja walibadilisha kibao na kuanza kutangaza wenyewe toka makao makuu na siyo jimboni tena. Hii...
Wana JF,
Taarifa nilizonazo ni kuwa CCM imetwaa Majimbo mawili ambayo CHADEMA ilikuwa ikitegemea kuyatwaa. La kwanza ni lile la Mbeya Vijijini ambalo lilikuwa linagombwa na Shitambala (CHADEMA)...
Angalia Majimbo yafuatayo na Umuhimu wake kimkakati;
Ilemela na Nyamagana - Mji wa Mwanza ndo capital of western Tanzania ukitegemewa sana na wakazi wa Shinyanga, Kagera, Mara, Kigoma na Tabora...
kuwalazimisha wananchi waongozwe na mtu wasiemtaka haipendezi.wapenihaki yao walioshinda miaka bado ipo ukishindwa leo utajipanga next election utagombea tena.mbona watu wanarisiti mitihani hata...
Hebu sikia baadhi ya maneno aliyosema Lema wakati ametangazwa kuwa mshindi wa jimbo la Arusha. "Wao wana pesa sisi tuna Mungu". Kwa kweli sikumuelewa alikuiwa anamananisha nini hapo.
Wana JF...
Kumekuwa na uvumi kuwa wapinzani ambao wameshinda wamekuwa wakiahidiwa pesa kabla ya kutangaza matokeo ili wauze kura zao.....hili jamani linanipa shida sana....je ni kweli wanahongwa hizo pesa na...
- Asalam aleykum ndugu zangu Jamiiforums, habari za matokeo ya uchaguzi wa jana yana tia moyo kwa maana ya kwamba sio siri sasa kwamba wananchi wa Tanzania, wameanza kuamka usingizini na sio kama...
nipo royola, Jamaa bado wanalalia matokeo, niko hapa hapa saa nne usiku, inaeelekea ccm wako hooooooi. mnyika yuko na detailed result kutoka kila kituo, sidhani kama wataweza kuchakua, utakua...
Tunaomba walio na mamlaka wawanyang"anye pasi za kusafiria kwani tuna mashtaka nao,
tunataka kumfilisi na kumlisha nyasi mr mramba, chenge tumfilisi vijisenti na kumcharaza bakora kwa kutuaibisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.